Prof. Nyagori: Rais Magufuli yuko sahihi kulinda raia wake, barakoa zinaweza kutumiwa na magaidi kusambaza virusi vya corona

Utadhani misaada ndio tunaanza kupokea leo, unakuta jitu kama hili limesoma huko na kukaa na familia yake zaidi ya miaka kumi now anakuja na simple logics,

Africa tuna shida lkn kipindi hiki Tanzania tumezidi.
Kwani umezuiwa si ununue uvae na ujifungie ndani na usitoke hadi corona iishe
Mimi katika hili nipo pamoja na magu🔥✌
 
Kwani hiyo condom inajivisha yenyewe.yaani unatetea ujinga.eti umeongea na kiingereza
Kwani inavishwa na pua? Au wewe ukishajivisha, hayo mafuta yake huwa unajipaka puani na mdomoni na mpenzi wako unampaka puani? Mind you virusi vya corona haviwezi kuishi kwenye hayo mafuta ya condom.

Hivyo unaweza kuyatumia kama sanitizer madhubuti. It is science. Shida yenu sayansi iliwashinda. Nikikuuliza the chemical composition of the condoms lubricants huwezi kunipa jibu sahihi. Hata ukienda google hutapata jibu lake.
 
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona....
Naishukuru awamu ya 5 kwa kunisaidia kujua kwamba Vyeti havina uhusiano wa moja kwa moja na Elimu ya mtu.
 
Virus vya corona ili viweze kuleta madhara lazima vipitie kwenye njia ya hewa kuyafikia mapafu. Ukiviweka kwenye condom havitaweza kuyafikia mapafu yako kupitia kwenye urethra au rectum yako. Natumaini umeelewa.
Umewaza kuhusu kuwekwa virusi aina nyingine kwenye condom na dawa?
 
Umewaza kuhusu kuwekwa virusi aina nyingine kwenye condom na dawa?
Virusi vya ukimwi na ndiyo maana Afrika ukimwi hautaisha until tutakapokuwa tunatengeneza condoms za kwetu. Huko Amerika ambako ndiko ukimwi ulianzia sasa hivi hauko siku nyingi na condom hawavai tena ila wanatutengenezea sisi na kutupatia bure wakiwa wamezipandikiza vvu.

Tutengeneze vya kwetu. Tusitake kujidanganya kwamba wanatupenda sana hadi wanatupa condom za bure tufyekane!
 
Tanzania kama tuna ugomvi na taifa lolote la nje tukae mezani tumalize tofauti zetu ili tuishi kwa kuaminiana.

Maana bado tunatumia madawa na bidhaa mbalimbali toka nje, wala sidhani kama tuna uwezo wa kuwazuia wakiamua.

Vinginevyo kama serikali imepata ushahidi kwamba kuna maambukizi kwenye Barakoa inyooshe maneno ili wananchi wajue.
 
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona..
Huyo prof itakua cheti kaiba cha mtu,hakuna prof mjinga zaidi ya yeye na kabugii
 
JPM , ana nguvu za ajabu sana , Madaktari wengi wameshatolewa UBONGO , hII methibitishwa na kauli iliyotolewa na chama chao
 
Virus vya corona ili viweze kuleta madhara lazima vipitie kwenye njia ya hewa kuyafikia mapafu. Ukiviweka kwenye condom havitaweza kuyafikia mapafu yako kupitia kwenye urethra au rectum yako. Natumaini umeelewa.
Gaidi au jasusi akitaka kukuangamiza kupitia bidhaa unazoagiza ni lazima asubiri corona?
Hawezi kutumia hizo ARV au bidhaa nyingine kukushambulia?
 
Back
Top Bottom