Ndo namsikia leo hapa.
Wasomi wanajiharibia wenyewe hii nchi inashindwa kupiga hatua kwasababu yao,wao wanadhani kuwa PhD holder ndo baasi na wakati wanatakiwa kudevote muda wao kutoa elimu huko vijijini kama huyu Prof alitakiwa akasaidie watu kujua nini mabaya ya sera za afya kwa wazee,vijana n.k na nini watu wafanye ila tatizo lao wakishapata hizo titles wanahamia Obey na kusahau haraiki ya wanyonge wa nchi hii
R.I.P Prof.
out of contextHivi yule bingwa wa upasuaji wa moyo ilikuwaje akafilisiwaaa?
Wewe ulitakaje afe halafu ndiyo afilisiwe?! Hiyo haikuwa sababu ya kifo chake. Kufilisiwa haiwezi kuwa sababu ya kufa. Kuna wengi ninaowafahmau walifilisiwa na sera za kibaguzi na kidikteta za Azimio la Arusha, na bado wanadunda (wako hai) hadi leo.Yule Dr Masau alifariki baada serikali kumfilisi!
Ndo namsikia leo hapa.
daktari bingwa na nguli katika tasnia ya afya amefariki na kuzikwa arusha, ni katika madaktari wa mwanzo baada ya uhuru, na alifundisha madaktari wengi nchini. Pia alikuwa mkurugenzi mkuu wa taasisi ya afya ya afrika mashariki na kusini kwa muda mrefu sana kabla ya kustaafu.
Alikuwa mkuu wa kwanza mtanzania wa kitivo cha udaktari, mkurugenzi mkuu wa kwanza wa hospitali ya muhimbili, rais wa kwanza wa mat etc etc ( ongeza unavyovijua)
tanzania tuwajali na kuwaenzi wasomi wetu, r.i.p professor