peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,833
- 21,466
Wanafunzi wa kike wanakwenda shuleni, kila mtu awaonee huruma hawa watoto.
Ngoja aje Mheshimiwa akujibuWanafunzi wa kike wanakwenda shuleni, kila mtu awaonee huruma Hawa watoto .
View attachment 1967835
Watoto wanafaham kwamba Kazi inabd iendelee tu, hakuna namna..kongole kwao👏.Mwenyez Mungu aendelee kuwalinda na kuwaongoza.#mabahariaO.GWanafunzi wa kike wanakwenda shuleni, kila mtu awaonee huruma Hawa watoto .
View attachment 1967835
LindiAsee, ni wapi hiyo mkuu?
DanWanafunzi wa kike wanakwenda shuleni, kila mtu awaonee huruma Hawa watoto .
View attachment 1967835
Ni shida tupu huko vijijini...wako wanafunzi wanaoliwa na mamba marneo mengine, pia wanyama wakali Kama fisi na chui...pia chatu....yaani vijijini maisha ni shida...lakini viongozi wachache wanaliona hili...Mungu mkubwa...Hapo hakuna watoto wa kiume wanaosoma? ila wawe makini kwenda muda ambao mawimbi siyo makubwa. Maana kuna wimbi linaweza kupiga hata watu wazima mkapoteana......risk analysis ifanyike kuona huo umbali, kina cha maji na uwezekano wa kubadilika ghafla hali ya ziwa, au wanaweza kuwepo watu wazima wakawa wanawavusha......
Sasa hilo ni suala la Waziri au ndio usafiri wenyewe? Kama wanakotokea kuna watu wachache ndio utawajengea shule?Wanafunzi wa kike wanakwenda shuleni, kila mtu awaonee huruma Hawa watoto .
View attachment 1967835
Ndalicako unampa kazi isiyoyakeWanafunzi wa kike wanakwenda shuleni, kila mtu awaonee huruma Hawa watoto .
View attachment 1967835
Kwa wahusika wetu mpaka litokee Janga ndiyo utasikia wanapaza SautiWanafunzi wa kike wanakwenda shuleni, kila mtu awaonee huruma Hawa watoto .
View attachment 1967835
Na ndo maana wakimaliza shule wanakosa ajira kwasababu yakutokuwekeza vijijini huduma kama za mjini, Sasa kwanini shule isijengwe karibu?Dan
Ni shida tupu huko vijijini...wako wanafunzi wanaoliwa na mamba marneo mengine, pia wanyama wakali Kama fisi na chui...pia chatu....yaani vijijini maisha ni shida...lakini viongozi wachache wanaliona hili...Mungu mkubwa...
Hakuna kipimo cha hali ya hewa wala kasi ya mawimbi, nashauri liuzwe V8 moja wajengewe shule katika eneo lao wapo kwenye risk sanaWanafunzi wa kike wanakwenda shuleni, kila mtu awaonee huruma Hawa watoto .
View attachment 1967835
PM yuko ziarani hukohuko, hakuna mbunge wala diwani anayewasemeaNgoja aje Mheshimiwa akujibu