Prof. Ndalichako, watazame hawa watoto wakiwa wanakwenda shuleni

Hapo hakuna watoto wa kiume wanaosoma? ila wawe makini kwenda muda ambao mawimbi siyo makubwa. Maana kuna wimbi linaweza kupiga hata watu wazima mkapoteana......risk analysis ifanyike kuona huo umbali, kina cha maji na uwezekano wa kubadilika ghafla hali ya ziwa, au wanaweza kuwepo watu wazima wakawa wanawavusha......
 
Wanafunzi wa kike wanakwenda shuleni, kila mtu awaonee huruma Hawa watoto .
View attachment 1967835
Dan
Hapo hakuna watoto wa kiume wanaosoma? ila wawe makini kwenda muda ambao mawimbi siyo makubwa. Maana kuna wimbi linaweza kupiga hata watu wazima mkapoteana......risk analysis ifanyike kuona huo umbali, kina cha maji na uwezekano wa kubadilika ghafla hali ya ziwa, au wanaweza kuwepo watu wazima wakawa wanawavusha......
Ni shida tupu huko vijijini...wako wanafunzi wanaoliwa na mamba marneo mengine, pia wanyama wakali Kama fisi na chui...pia chatu....yaani vijijini maisha ni shida...lakini viongozi wachache wanaliona hili...Mungu mkubwa...
 
Na ndo maana wakimaliza shule wanakosa ajira kwasababu yakutokuwekeza vijijini huduma kama za mjini, Sasa kwanini shule isijengwe karibu?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom