Prof. Mwandosya atoa ufafanuzi juu ya elimu yake

Kwani kuna mahali popote alitiliwa mashaka kuwa Elimu yake ni ya Mwendokasi ya kama ya mtoto wa Baba Jesca?

Sipingani na Maelezo na historia ya Prof.Mwandosya ila sasa yeye amefikaje hapa? Maana labda kuna kitu sikielewi.
*SOMA MAKALA YA BWEGE MWENZIO MALISA HII HAPA UTAELEWA*

UFAFANUZI.!

By Malisa GJ

Baada ya timua timua ya wanafunzi walioko vyuoni imeonekana kuna watu wanajadili vitu wasivyovijua vizuri. Watu wengi wanaonekana kuchanganya kati ya wanafunzi waliotimuliwa UDOM na wale waliotimuliwa vyuo vingine kwa kukosa sifa. Ni vizuri wakati wa kujadili tukaelewa tunajadili kundi gani kati ya haya mawili.

#KUNDI_LA_KWANZA ni wale waliopata division one hadi three na wakapata alama "A" au "B" kwenye masomo ya Sayansi (Physics, Maths, Chemistry, Biology). Hawa walidahiliwa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa program maalumu ya miaka mitatu ya kupata diploma ya ualimu wa sekondari.

Utaratibu huu haukuanzishwa na wanafunzi hawa. Ulianzishwa na Rais JK na kupigiwa vigelegele na wafuasi wote wa CCM. Leo JPM anaona ni utaratibu wa hovyo na anawaadhibu wanafunzi kwa kuwafukuza. Cha ajabu wafuasi walewale waliomshangilia JK akianzisha mfumo huu ndio haohao wanaomshangilia JPM akiufuta. Huu ni uzwazwa wa shahaha ya juu kabisa ya uzamivu uliobobea (PhD with gigantic Experiece).

Kwanini tunawahukumu watoto wasio na hatia? Yawezekana tunahitaji marekebisho ktk mfumo wa elimu lakini si kwa style hii. Nadhani kama JPM angekua na busara angesubiri watoto hawa wamalize kisha ndo aufute huu mfumo. Lakini kuufuta sasa hivi wakati ameshawapotezea miaka mitatu ni ukatili. Wanafunzi hawa wangeendelea form five (sifa wanazo) kwa sasa wangekua first year chuo kikuu. Kwahiyo wanafunzi waliotimuliwa UDOM hawajafeli kama inavyoenezwa.

Na kama mfumo huu ulikua haufai kwanini vijana wa CCM mlimshangilia JK alipokua anauanzisha? Si mngemwambia tu wazi kuwa Mzee hii si sawa. But mlipiga makofi kumshangilia halafu leo amekuja mtu mwingine ameufuta mnamshangilia tena?

Hivi vijana wa CCM hamnaga "ujasiri" wa kumkosoa kiongozi awapo madarakani hadi msubiri atoke? Kwa hali hii nina wasiwasi hata JPM akiondoka akija mwingine akarudisha mfumo huu mtamshangilia tena na kuona JPM alifanya ugoro. Kwanini hamna national interest, badala yake mmekuwa wapiga zumari wa Rais aliyeko madarakani hata kama amekosea mnamshangilia tu?

Anyway. Lakini je ni dhambi mtu wa kidato cha nne kwenda chuo kikuu? Je Utaratibu huu ni mpya nchini? Jibu si dhambi. Na utaratibu huu si mpya. Issue sio mtu kuwa chuo kikuu, issue ni anasoma nini huko chuo kikuu. Hivi mhitimu wa kidato cha 4 akienda chuo kikuu akasomea "certificate" tutashangaa? Mbona wapo wengi tu wamejaa huko UDSM, UDOM, SAUT, IFM, CBE, Mzumbe wamesoma "certificate" mwaka mmoja na baadae Diploma na hata "degree" lakini hatuwashangai?

The same applies kwa hawa vijana wa UDOM. Wamemaliza form four wamefaulu vzr wakaenda kusomea Diploma ya ualimu miaka mitatu. Ni sawa na kusema mwaka mmoja wamesoma certificate (foundation course), miaka miwili "diploma". Je hapo kuna ubaya gani?

Eti tunawashangaa na kuwaona wa ajabu. Kabla hatujawashangaa vijana hawa wameendaje chuo kikuu bila kufika form six, tumshangae kwanza Prof.Mark Mwandosya amekuaje Profesa wakati HAIJUI form five wala six.

Mwandosya alipomaliza form four pale Malangali sekondari mwaka 1968, alienda DIT kusoma certificate ya Engineering (FTC) kisha akajiunga na Aston University huko Uingereza kwa BSc. (Engineering). Mbona huyu hatumshangai tunashangaa hawa watoto wa UDOM? Kutokwenda form five sio kitu cha ajabu. Na tuna wataalamu wengi tu hawajapita form five lakini wanafanya vzr sn.

#KUNDI_LA_PILI
Hiki ni kundi la vijana wapatao kama 400+ waliokua wamedahiliwa vyuo vikuu mbalimbali nchini wakitokea form four na wamefeli halafu wanasoma degree wakati hawana "foundation course" yoyote ya certificate wala diploma. Hawa wametimuliwa na mama Ndalichako. Nimeona orodha yao wengi ni watoto wa vigogo. Ajabu walikua wakipewa mikopo 100%. Mmoja wao ni Scholastica Nchimbi aliyekua chuo Kikuu cha St.Joseph akisomea Civil Engineering. Anadaiwa kuwa na division four ya point 29 na hajasoma foundation course popote, lakini alikua chuo kikuu na ana mkopo 100%.

Hawa wa kundi la pili naunga mkono watimuliwe au wahamishiwe level za chini wanazozimudu. Kama wanasoma degree wahamishiwe certificate. Lakini lazima tujiulize waliingiaje? Kama ni watoto wa vigogo it means kuna matumizi mabaya ya madaraka hapa, hivyo viongozi waliohusika ni muhimu wawajibishwe. Pia waliowadahili nao wachukuliwe hatua. Vyuo vilivyowapokea navyo viwajibishwe.

Lakini cha ajabu ni kuwa viongozi wenye tuhuma hizi "hawagusiki". Mmoja wa viongozi ambaye inadaiwa mwanae yupo kundi hili ni RC mmoja ambaye amepewa ubunge juzijuzi. Hivi kiongozi kama huyu aliyeshawishi mwanae ajiunge chuo kikuu wakati ana division four ya 29 anapewaje zawadi ya ubunge kama nyongeza?

Kwa hiyo tunapojenga hoja tujue kuna makundi mawili yanaguswa. Usije kuchanganya vijana wa UDOM (Magenius) na watoto wa kina Mu-longolongo (vilaza) kwa kuwa wote wametimuliwa. Usiwavictimize vijana wa UDOM kwa kuwafananisha na watoto wa mawaziri waliotimuliwa huko St.Joseph na kwingineko. Ni dhambi.!

Malisa G.J
 
Kuna sehemu malisa keshamsema mwandosya embu unganisha huo uzi tuuone tuweze kuchangia usije kuta Umetoka kwenye pango kabla Ya muda!

Mzee wangu Prof Mwandosya ni hoja ipi ya Malisa uliyoijibu ? Kama ni hili la vilaza kama baba Jesca anavyosema sijaona uhusiano kabisa ,au kuna Hoja nyingine ya Malisa tofauti na hii ya vilaza wa maskini??

Tatizo la Malisa ni kupost majina ya watu wasiohusika na huu mjadala badala ya jina moja alilokuwa anazungumzia. Wakati huo yeye pia ni kilaza wa kutosha tu. Matokeo ya Malisa Godlisten ya pale Minaki Form IV 2007: 0044,M,GODLBISTEN MALISA,27,IV,CIV-C HIS-F GEO-D KIS-D ENG-D PHY-D CHE-D BIO-D BAS-D. Link: http://www.matokeo.necta.go.tz/csee/S0133.htm
Duh kumbe ni kilaza!
 
Umebugi aise alisoma J K Nyerere na sio Minaki pole sana kwa kutunga uwongo usio na manufaa
 
Mzee Mwandosya ni brain haba sana kuipata hata kama ni Marekani. Taifa lilitumia pesa nyingi ili aje atumike kuleta maendeleo nchini. Nasikitika, taifa limem-missuse. Anazeeka sasa bila ya ku-utilize at least 50% ya uwezo wake mkubwa ambao yeyote atakaye pinga uwezo alionao anastahili kitanda cha kudumu MIREMBE!
Kosa la nani hadi hapo?
 
Tatizo la Malisa ni kupost majina ya watu wasiohusika na huu mjadala badala ya jina moja alilokuwa anazungumzia. Wakati huo yeye pia ni kilaza wa kutosha tu. Matokeo ya Malisa Godlisten ya pale Minaki Form IV 2007: 0044,M,GODLBISTEN MALISA,27,IV,CIV-C HIS-F GEO-D KIS-D ENG-D PHY-D CHE-D BIO-D BAS-D. Link: http://www.matokeo.necta.go.tz/csee/S0133.htm
acha uzuzu, maliza ana div I ya point 9 na hajasoma Zanaki
 
Mwandosya acha kutuchanganya
1. Ina maana Prof mwandosya kwa kukaa kwako ccm kumekufanya usahau vijana wako wote ambao wametoka Mbeya Tech na Dar tech kuja kusoma hapo mlimani kwa kutumia vyeti vyao vya FTC

2. Kuna wanafunzi wengi sana tena wengi wamejiunga na bachelor degree.kwa kutumia FTC ambayo husomwa kwa miaka 3 baada ya form IV.
 
Kumbe huyu jamaa nae ni KILAZA anashinda anatupigia kelele tu hapa...!!
...... kwa hiyo baba jescar naye alifuata mkumbo wa malisa?....... na kama malisa alifanya kosa (japo siyo kweli)baba jescar naye asisemwe kwa vile kuna malisa naye alifoji..... SHAME....
 
Ukiona hivi ujue hoja imegonga utosi! Kesho utasikia matamko meeengi kutoka kwa watu na heshma zao.
unaitia aibu makapuku.. Kabla ya kuandika kitu jiridhishe kwa nini Mwandosya kaandika hivi. Alichofanya ni kumjibu mganga njaa fulani hivi mwenye kupenda kukurupuka
 
Ngoja nisogeze kiti. Maana toka mada imeanza sijaona nzi wa Lumumba wakitia mguu humu sijui nini kimetokea.
...... misukule ya lumumba imejifungia tangu jana kutafuta japo kiki ya ukuu wa wilaya wapi...... kweli malisa ni kiboko yaani wapiga debe woote wa hiki chama cha vilaza hawaingii jf kisa malisa.... SHIKAMOO MALISA.
 
Mwandosya acha kutuchanganya
1. Ina maana Prof mwandosya kwa kukaa kwako ccm kumekufanya usahau vijana wako wote ambao wametoka Mbeya Tech na Dar tech kuja kusoma hapo mlimani kwa kutumia vyeti vyao vya FTC

2. Kuna wanafunzi wengi sana tena wengi wamejiunga na bachelor degree.kwa kutumia FTC ambayo husomwa kwa miaka 3 baada ya form IV.
hili linahusiana vipi na bandiko la Prof mwandosya? Unajua kwa nini Mwisho Alimtaja Malisa?
 
Hata magufuli amesoma diploma pale mkwawa akiwa ni form 4 tu akichukua kemia na hesabu.
 
...... misukule ya lumumba imejifungia tangu jana kutafuta japo kiki ya ukuu wa wilaya wapi...... kweli malisa ni kiboko yaani wapiga debe woote wa hiki chama cha vilaza hawaingii jf kisa malisa.... SHIKAMOO MALISA.
ukiboko wa Malisa hapo ni upi? Kutoa mfano kwa mtu ambaye hajapitia kile alichoandika? Wakati mwingine jiangalieni kwa kuwa mnakurupuka na kupeana sifa za kijinga.. Kama hili linakufanya wewe umpe shikamoo Malisa basi hustahili kuwepo hapa
 
Nilivyoelewa mie ni kwamba Rais alivyosema vilaza hakuwa akitaja majina. Angetaja majina ya vilaza halafu asimtaje anayedaiwa kuwa mwanaye na kama ni kweli alipata div.4. basi angestahiki kusutwa. Lakini kwa kutaja kwamba div. 4 ni vilaza kwa ujumla, maana yake inawajumuisha wote popote walipo na haibagui yeyote. Hata huyo Jesca kama kweli alipata four, kauli ya rais anajua inamhusu na mtoa kauli anajua hata bintiye (???) inamhusu.
 
Umeandika maelezo mengi bila sababu. Mimi nilikuwa kwenye hoja ya Prof, Mwandosya na si uhalali wa form four kusoma au kutosoma degree. Hayo mambo ya kufukuzwa vs ukilaza sikuyazungumzia kabisa na wala sikusema nayaunga mkono. Naomba usome tena hoja ya hii thread ni nini.

Yes, nilikuelewa sana.

Hoja yako ni kuhusu Mwandosya, sawa. Lakini inahusu njia yake aliyopitia ktk safari yake ya kielimu

Ndiyo maana nasema haijalishi alifika fikaje hapo muhimu ni kwamba amesoma mpaka kiwango hicho.

Na pia hata hawa nao walikuwa kwenye njia sahihi tu. Si ajabu wangeweza kusoma mpaka kufikia level ya profesa Mwandosya!!
 
Back
Top Bottom