Prof. Mwandosya atoa ufafanuzi juu ya elimu yake

Prof. Mwandosya atoa ufafanuzi juu ya elimu yake

Mwandosya acha kutuchanganya
1. Ina maana Prof mwandosya kwa kukaa kwako ccm kumekufanya usahau vijana wako wote ambao wametoka Mbeya Tech na Dar tech kuja kusoma hapo mlimani kwa kutumia vyeti vyao vya FTC

2. Kuna wanafunzi wengi sana tena wengi wamejiunga na bachelor degree.kwa kutumia FTC ambayo husomwa kwa miaka 3 baada ya form IV.

ALICHOSEMA MALISA KUHUSU PROF. MWANDOSYA NI HIKI HAPA....
.......Mwandosya alipomaliza form four pale Malangali sekondari mwaka 1968, alienda DIT kusoma certificate ya Engineering (FTC) kisha akajiunga na Aston University huko Uingereza kwa BSc. (Engineering). Mbona huyu hatumshangai tunashangaa hawa watoto wa UDOM? Kutokwenda form five sio kitu cha ajabu. Na tuna wataalamu wengi tu hawajapita form five lakini wanafanya vzr sn.

ALICHOJIBU MWANDOSYA ILI KUWEKA KUMBUKUMBU SAWA NI HIKI HAPA....
.............si kweli kwamba Profesa Mwandosya alipata cheti cha ufundi halafu akaenda Chuo Kikuu cha Aston Uingereza, bali alipata alama za juu kidato cha sita katika mchepuo wa Hisabati, Hisabati, na Fizikia (Pure Mathematics, Applied Mathematics, and Physics), msingi uliomwezesha hatimaye kupata shahada ya uhandisi umeme daraja la kwanza( First Class Honours), Chuo Kikuu cha Aston, Uingereza, na hivyo kuruhusiwa kufanya shahada ya uzamifu (PhD), Chuo Kikuu cha Birmingham, Uingereza, moja kwa moja bila kupitia shahada ya uzamili(Masters).
 
Nilivyoelewa mie ni kwamba Rais alivyosema vilaza hakuwa akitaja majina. Angetaja majina ya vilaza halafu asimtaje anayedaiwa kuwa mwanaye na kama ni kweli alipata div.4. basi angestahiki kusutwa. Lakini kwa kutaja kwamba div. 4 ni vilaza kwa ujumla, maana yake inawajumuisha wote popote walipo na haibagui yeyote. Hata huyo Jesca kama kweli alipata four, kauli ya rais anajua inamhusu na mtoa kauli anajua hata bintiye (???) inamhusu.
usipotoshe, eleza jesca alovyo toka form 4 mwaka 2011 na kujiunga udom 2014 alifikaje na div 4 yake?
 
ukiboko wa Malisa hapo ni upi? Kutoa mfano kwa mtu ambaye hajapitia kile alichoandika? Wakati mwingine jiangalieni kwa kuwa mnakurupuka na kupeana sifa za kijinga.. Kama hili linakufanya wewe umpe shikamoo Malisa basi hustahili kuwepo hapa
.... utapata u DC kwa kujibu hoja ya malisa, jescar kafikaje udom? siyo kuniatack mimi.... dada umepanic
 
Tatizo la kuelewa Ni kubwa Sana Tanzania, Malisa alijaribu kutolea mfano wa wasomi wanaoheshimika nchini na njia walizopitia kupata mafanikio yao kitaaluma, Ili kuondoa dhana ya uncle Magu ya vilaza iliyoshabikiwa Sana Na hao mnaowaita LB-7, Kwa bahati mbaya taarifa yake kumuhusu prof. Mwandosya ikawa Na kasoro, sasa basi alichofanya prof. Mwandosya Ni kutoa taarifa sahihi kuhusu njia yake ya kitaaluma Ili kuweka rekodi sawa!, cha kushangaza Kuna kundi linamshambulia Malisa kana kwamba hoja yake yote imekataliwa Na prof. Mwandosya (wakati haiko hivyo), Na kundi jingine linamshambulia prof. Mwandosya kwa mtizamo eti anamtetea jesca(wakati haiko hivyo pia), Kumshambulia Malisa au prof. Mwandosya kitaaluma Kama uzi unavyoenda Ni kudhihirisha uwezo mdogo wa kuelewa Na kuruhusu hisia za kiitikadi kukalia akili zenu!.
 
Profeselii mwandosya baba Mzazi wa Nape anajua kuwa mwanae Nape alipata Div 4 form four?
Kuna taarifa mbili hapa. Kwamba ni baba yake Nape. Sheria ya mitandao Isije ikakuhusu. Ya pili, kumbe Nape naye aliambulia Div 4?
 
Naona wadau mmehama reli sasa mnajinadi kwa matokeo,lakini bahati mbaya au nzuri Tzn inaongozwa na watu wenye akili na maono kidogo ndio maana wameivuruga elimu na kushindwa kutumia rasilimali watu mkiwemo nyie wasomi mahili mnaojinadi huku mitandaoni,eg kwa sehemu kubwa vijana waliofika vyuo vikuu hasa vya umma wana ufaulu mzuri sana lakini baada ya ku graduate wengi wao wako jobless lakini vijana wenye ufaulu mdogo wanapelekwa vyuo vya kati na kuajiliwa then wanapanda/jiendeleza hadi kwenye nafasi za maamuzi,sasa kwa mazingira haya nchi haiwezi endelea,hakuna kupanga rasilimali watu kwa maslahi mapana ya nchi.Kuna kisa kimoja kilinipata,kutokana na ukata nili apply diploma ya ualimu lakini sikupata nafasi ikabidi niende hadi kwa mkurugenzi wa mafunzo wizarani ili kuulizia kulikoni hawajanipa nafasi akacheki vyeti kanambia kwa matokeo yangu natakiwa nisubiri degree hapo nilipochoka,so ni hasara sana kuwa na viongozi kwenye nafasi za maamuzi wasio na weledi,maono na mtizamo mpana wa mambo
 
magufuli kasoma form 5 na 6
Kuna kitu miaka ile kilikua kinaitwa short comb, mwanafunzi aliingia akiwa kidato cha 4 na kusoma masomo 2 tu Nayo ni ya sayansi, kwa miaka 3 mwaka mmja ni advance na miaka miwili ni ualimu , ndivyo magufuli kasoma hakwenda form 5 kama wemgine, kama unabishi angalia CV yake utaona advance mkwawa, ualimu mkwawa.
 
Walimu wa half combination ndo walimu waliokuwa wamejaa katika sekondari zote za serikali miaka ya 1980 hadi 1990 (samahanini hiyo ndiyo miaka niliyoma ngazi za sekondari), na katika miaka hiyo hakukuwa na malalamiko ya kushuka kwa elimu(???). Waliojiunga na kozi hizo ni wale waliokuwa na interest na ualimu na ama ambao kombination zao ziligoma kuwapeleka form 5 lakini ufaulu wa mwisho ilikuwa div. 3 za mwanzo mwanzo. Katika hili la udom nafikiri Concern ya rais ni ufaulu wao uliowapeleka udom na pengine ni kwanini wapelekwe university wakati vyuo vyetu vya ualimu vinavyotoa diploma vikiwa havina wanafunzi. Lakini vile vile lengo la special program hii kwa ajili ya walimu wa sayansi lisingetimia kwa sababu uzoefu wangu (kwa kuona) unanieleza kwamba wanafunzi wengi wanaopata kuanzia div.3 za mwisho mwisho hadi ziro huwa ni wale wasioweza masomo yote ya sayansi hasa fizikia na hisabati. Sasa hao div.4 wa udom ndo walikuwa wanaandaliwa wakawe walimu wa fizikia na hisabati? Bora hata walivyoondoshwa mapema. Kuhusu rais kutumia lugha kali na kuita watu vilaza kiasi fulani inauma LAKINI labda ndo ukweli kwa wakati huo japokuwa rais kaonesha namna unaweza kufanya ili kufika university kama ilitokea bahati mbaya ukateleza form 4.
 
Walimu wa half combination ndo walimu waliokuwa wamejaa katika sekondari zote za serikali miaka ya 1980 hadi 1990 (samahanini hiyo ndiyo miaka niliyoma ngazi za sekondari), na katika miaka hiyo hakukuwa na malalamiko ya kushuka kwa elimu(???). Waliojiunga na kozi hizo ni wale waliokuwa na interest na ualimu na ama ambao kombination zao ziligoma kuwapeleka form 5 lakini ufaulu wa mwisho ilikuwa div. 3 za mwanzo mwanzo. Katika hili la udom nafikiri Concern ya rais ni ufaulu wao uliowapeleka udom na pengine ni kwanini wapelekwe university wakati vyuo vyetu vya ualimu vinavyotoa diploma vikiwa havina wanafunzi. Lakini vile vile lengo la special program hii kwa ajili ya walimu wa sayansi lisingetimia kwa sababu uzoefu wangu (kwa kuona) unanieleza kwamba wanafunzi wengi wanaopata kuanzia div.3 za mwisho mwisho hadi ziro huwa ni wale wasioweza masomo yote ya sayansi hasa fizikia na hisabati. Sasa hao div.4 wa udom ndo walikuwa wanaandaliwa wakawe walimu wa fizikia na hisabati? Bora hata walivyoondoshwa mapema. Kuhusu rais kutumia lugha kali na kuita watu vilaza kiasi fulani inauma LAKINI labda ndo ukweli kwa wakati huo japokuwa rais kaonesha namna unaweza kufanya ili kufika university kama ilitokea bahati mbaya ukateleza form 4.
 
Wakati niko CoET, Prof Luhanga alinifundisha na kipindi hikohiko alikuwa VC wa UDSM, alikuwa anasema maprof wako wawili tu pale UDSM ni yeye na Prof Mwandosya,
Ikanipa wasaa wa kutafuta machapisho yake, yalikuwa ni machapisho bora yenye citations za hali ya juu kabisa. kwa wale wasiomuelewa mwandosya wafanye review kidogo tu kujua ni mtu wa aina gani




Mzee Luhanga yupo vizuri nimepata kufundishwa nae huku nikuwa nimeata nyayo za mzee wangu ambae alikuwa mwanafunzi wake kpenzi miaka 80...acheni wazee wapumzike wamefanya kazi kubwa sana acheni kutumia reference ya mtoto wa mkuru kwa wazee wenye heshima
 
unaitia aibu makapuku.. Kabla ya kuandika kitu jiridhishe kwa nini Mwandosya kaandika hivi. Alichofanya ni kumjibu mganga njaa fulani hivi mwenye kupenda kukurupuka
Aksante sana Kapuku. Huo ni mtizamo wangu na akili yangu ya ukapuku imenifikirisha hivyo, na hii tofauti ipo kila sehemu kwa kuwa bin' adamu tumeumbwa kufikirishwa tofauti.
 
28051e336ff0b786102433fc98dba722.jpg
unajua huyu anaenda certifacate????????
kwenda cert.mwsho ni foo ya 28,.haya j je?
 
alivyojibu hapo juu,.ni sawa tu na profesa majimarefu........
hovyo kabisa
 
CCM ACHENI UKILAZA WA MWENDO KASI. NANI KASEMA MALISA KAPATA FOUR?? MALISA HAJAWAHI KUSOMA MINAKI HAYO MATOKEO MNAYOSAMBAZA SI YAKE. BOTH O LEVEL NA A.LEVEL KASOMA MOSHI. MATOKEO YAKE HAYA HAPA.

O.LEVEL,

GODLISTEN MALISA DIVISION 1 POINTS 16

J.K NYERERE SECONDARY SCHOOL, MOSHI 2007

CIV-C HIS-D GEO-C KIS-B ENG-B PHY-B CHE-B BIO-B BAS-C

http://www.matokeo.necta.go.tz/csee/S1038.htm
Vijana wa CCM mmeishiwa.Malisa alisoma J.K Nyerere na sio Minaki. Mmekurupuka
Mbona hajajibu hoja yoyote..... kweli ccm mnahali mbaya sana
hawa ndio warithi wa ukawa.........always ni majiniasi wa ukweli,.
GODLISTEN MALISA DIVISION 1 POINTS 16
imageuploadedbyjamiiforums1465020849-934567-jpg.353533
 
Back
Top Bottom