hawa ndio warithi wa ukawa.........always ni majiniasi wa ukweli,.
GODLISTEN MALISA DIVISION 1 POINTS 16![]()
ukiniweka nikakaba na point 11 yangu,.
Mwanahabari Huru na point13 yake
Ben Saanane point9 yake,....
Mmawia na point 11 zake,.....sasa bungeni umpambanishe na j wa point30 na ben wa point9 pure kutoka azania miaka hiyooooooo,.j lazima atoe chozi kama yule dada mbunge aliepata points35,.
teh
kitachofata ni kama yale yanayoendelea bungeni,..kumdhihaki lissu
limtu la fisiem lina IV-35,.mbunge wa kuteuliwa
teh
Umesahau ya Mbowe,MSIGWA,na ya lema,