Prof. Mwandosya atoa ufafanuzi juu ya elimu yake

Prof. Mwandosya atoa ufafanuzi juu ya elimu yake

Hapa kazi ipo!!!!! Watanzania tu wagumu sana, hivi Mwandosya alikuwa anaelezea elimu yake au alikuwa anamtetea Jesca? Nadhani watu hapa wanachanganya mwandosya alikuwa anafafanua elimu yake na wala hajaeleza chochote kumhusu Jesca sasa hawa vilaza wanatoka kwenye jina la Waziri mkuu wa Zaire wakaitumia kama sehemu ya utetezi, Yaani mtu akizolewa na maji hata karatasi ataishika ili imuokoe! Mwandosya kafafanua alivyopitia ili kuweka record kwa Malisa sawa, na kama Malisa pia ni muungwana lazima arekebisha na kuomba radhi kwa kuwa alichukua mfano ambao sio SAHIHI ikiwa kweli maelezo ya Malisa na Prof Mwandosya hayashabihiani, na huo utakuwa ndio uungwana ! Suala la special diploma halina mjadala ni kitu kinachowezekana na ni halali, suala la mwandosya kutoa ufafanuzi wa elimu yake ni sahihi na hakuna sababu za kumshambulia labda tu kama aliendelea na kumtetea Jesca, Suala la Jesca JOHN Magufuli kudahiliwa bila vigezo linabaki pale pale hadi serekali itoe ufafanuzi na uthibitisho pasi na Shaka!
 
Nae anawasemaji ?ha ha ha ha tutambuane tu vilaza wajulikane maana kelele nyingi kumbe mnatetea vilaza wenzako
 
Nyie watu sijui matatizo yenu ni nini tu!!

Je, ni kwa sababu hamtaki kukubaliana na ukweli kuwa Rais amepotoshwa na yeye kupotoka sana kwa ishu ya vijana hawa wa UDOM?

Na kuhusu Mark Mwandosya, binafsi sidhani kama ni ishu hapa.

Kilicho cha ukweli ni kuwa, wapo wasomi wengi katika viwango tofauti tofauti vya elimu kuanzia maprofesa, madaktari, wenye shahada moja, mbili au stashahada ya juu, stashahada ya kawaida ambao walipitia njia sawa sawa na hawa vijana wanaosomea diploma maalum ya ualimu wa masomo ya sayansi pale UDOM ambao leo wanetukanwa na Rais kwa kuitwa "vilaza!!"

Si hivyo tu, bali hata miaka ya 1980 hadi 1990 kulikuwa na vyuo ambavyo vilikuwa vinachukua vijana waliomaliza kidato cha nne moja kwa moja kwenda kusomea stashahada ya ualimu!!

Mfano wa vyuo hivi ni kama Shinyanga TTC (wakati huo kikiitwa SHY - COM kwa sbb kilikuwa ni maalumu kwa walimu wa masomo ya biashara i.e Commerce & Book Keeping), Chang'ombe TTC, Korogwe
TTC nk. Hawa tuliwaita wanaenda kusomea nusu kombi!!

Tofauti na wanafunzi waliomaliza kidato cha sita (form six) waliokuwa wanachaguliwa kwenda kusomea Stashahada ya ualimu kwa miaka miwili, hawa waliomaliza kidato cha nne course duration yao ilikuwa ni miaka miatatu badala ya miwili!!

Huyu aliyemaliza kidato cha sita na kwenda kuchukua diploma yake alikuwa sawasawa na huyu aliyemaliza kidato cha nne na kwenda kusomea nusu kombi ndani yake anasoma na ualimu!!

Sasa leo kwa hawa vijana wa special diploma pale UDOM cha ajabu ni nini
eti??

Labda tofauti na kasoro pekee ambayo mimi binafsi naiona ni kuchukua hadi wale waliopata alama mbaya za ufaulu tofauti na standards zilizowekwa

Hii kamwe haikupaswa kuwa kesi kubwa kwa kiasi ambacho ikafikia hatua ya hadi Rais kulisemea hili kwa kutumia lugha isiyo na staha wala kupendeza hata mbele ya ummajambo linaloishusha credibility yake!!

Hii inasababisha watu kuanza kujiuliza kulikoni huyu ndugu yetu Rais? Huwa anafikiria kweli kabla ya kusema jambo? Au ndo mizuka yenyewe hii?
Umeandika maelezo mengi bila sababu. Mimi nilikuwa kwenye hoja ya Prof, Mwandosya na si uhalali wa form four kusoma au kutosoma degree. Hayo mambo ya kufukuzwa vs ukilaza sikuyazungumzia kabisa na wala sikusema nayaunga mkono. Naomba usome tena hoja ya hii thread ni nini.
 
Tatizo la Malisa ni kupost majina ya watu wasiohusika na huu mjadala badala ya jina moja alilokuwa anazungumzia. Wakati huo yeye pia ni kilaza wa kutosha tu. Matokeo ya Malisa Godlisten ya pale Minaki Form IV 2007: 0044,M,GODLBISTEN MALISA,27,IV,CIV-C HIS-F GEO-D KIS-D ENG-D PHY-D CHE-D BIO-D BAS-D. Link: http://www.matokeo.necta.go.tz/csee/S0133.htm
Duh,Historia kapata F?
 
Sawa mzee tumekusoma lakini haibadilishi ukilaza wa Jesca Magufuli kubaki Udom...
 
Weka kitu kamili tujue aliongea nini na akapotosha nini na huu ufafanuzi wa Prof Mwandosya unafuta vipi hoja ya Malisa. Kijana haukuwa unashiriki debate wakati unasoma?
Kama kawaida ya watanzania hatutaki kushughulisha bongo zetu. Soma post zote za thread hii utajua tunazungumzia nini. Nia ya hii thread sio kufuta hoja ya Malisa! HATA KIDOGO. Nia ni kutoa ufafanuzi wa kina Pro. Mwandosya walipitia kwenye mkondo gani wa elimu.
 
28051e336ff0b786102433fc98dba722.jpg
Ukitaka kujua mtu kafail angalia matokeo ya hesabu. Mbona jamaa yuko njema.
 
Yaani tumesahau Lugumi kabisa....tunadiscuss matokeoa ya watu...

Huko fb ndo watu wanachafuana mbaya...though muwe makini katika kupost matokeo feki ya watu.....

Manake mtu atasimama na wewe mahakamani kwa staili hii....

Mwenye yangu ayalete[emoji13] [emoji13]
Mkuu wangu kama ulikuwa kichwani mwangu...hii nchi ni nchi ya matukio...likitokea hili linashikiliwa bango weeee...likitokea jingine la mwanzo limeshahaulika linaanza kushikiwa bango lililopo...hata watawala wetu walishatujua ndo maana ni mabingwa wa kutengeneza matukio...kwangu tukio kama la udom naweza kusema lilitengenezwa kusahaulisha watu ishu ya Lugumi....sasa kuna katukioa kengine hapa ka Jesca nako ndo kamekuja kumaliza kabisa....mkuu wangu sidhani kama utakaa usikie tena ishu ya Lugumia inazungumzwa....ndo basi tena imeshapita na upepo na mtoto wa mfalme a.k.a shoe shiner anaendelea kula mema ya nchi...masikini tanzania yangu...
 
MALISA HAJASOMA MINAKI kasoma MAJENGO SEC

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2007 EXAMINATION RESULTS


S1038 J.K. NYERERE SECONDARY SCHOOL


DIV-I = 22 DIV-II = 35 DIV-III= 72 DIV-IV = 69 FAIL= 6

CNO

SEX

CANDIDATE NAME

AGGT

DIV

DETAILED SUBJECTS

0001

F

AGNESS M MACHA

29

IV

CIV-F HIS-F GEO-F BIB-D KIS-C ENG-D BIO-D BAS-F COM-D BOO-F

0002

F

AGUSTINA W MSHANGA

29

IV

CIV-D HIS-D GEO-F KIS-C ENG-D BIO-D BAS-F COM-F BOO-F

0003

F

AIKARUWA P MATAY

20

II

CIV-B HIS-F GEO-D KIS-B ENG-C PHY-D CHE-C BIO-C BAS-D FOO-C

0004

F

AMINA M JABU

28

IV

CIV-D HIS-F GEO-F KIS-C ENG-D BIO-D BAS-F COM-F BOO-C

0005

F

AMNE E MANANGWA

20

III

CIV-C HIS-D GEO-D BIB-D KIS-B ENG-A PHY-D CHE-C BIO-C BAS-F

0006

F

ANISAA M MINJA

26

IV

CIV-D HIS-D GEO-F KIS-C ENG-D BIO-D BAS-F COM-D BOO-C

0007

F

ANISIA E KIWELU

29

IV

CIV-D HIS-F GEO-F BIB-F KIS-C ENG-C BIO-F BAS-F COM-D BOO-F

0008

F

ASHA KARATA

34

FLD

CIV-F HIS-F GEO-F KIS-D ENG-F BIO-F BAS-F

0009

F

ASTERIA MASSAWE

25

III

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-C ENG-C BIO-D BAS-D COM-D BOO-C

0010

F

BRENDA P MBUYA

17

I

CIV-C HIS-C GEO-C FIN-F KIS-B ENG-B PHY-C CHE-B BIO-B BAS-C

0011

F

CALISTA J MMASSY

31

IV

CIV-D HIS-F GEO-F KIS-D ENG-D BIO-F BAS-F COM-F BOO-D

0012

F

CHRISTINA N SHAFURI

31

IV

CIV-D HIS-F GEO-F BIB-D KIS-D ENG-D BIO-F BAS-F COM-F BOO-F

0013

F

CONSOLATA P KIMARIO

28

IV

CIV-F HIS-D GEO-F KIS-C ENG-D BIO-D BAS-F COM-C BOO-F

0014

F

DEVOTHA J KOYI

22

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-B ENG-C PHY-D CHE-C BIO-C BAS-F

0015

F

ELIZABETH M MOSHA

29

IV

CIV-D HIS-F GEO-F FIN-F KIS-C ENG-D BIO-D BAS-F COM-D BOO-F

0016

F

ELIZABETH P MBWAMBO

32

IV

CIV-F HIS-F GEO-F KIS-C ENG-D BIO-F BAS-F COM-F BOO-F

0017

F

ELIZABETH S LYIMO

17

I

CIV-B HIS-C GEO-D KIS-B ENG-B PHY-D CHE-C BIO-C BAS-D FOO-B

0018

F

EMILIANA A MBEGALO

26

IV

CIV-D HIS-D GEO-F KIS-D ENG-B BIO-D BAS-F COM-D BOO-D

0019

F

EVALINE J MNKENI

19

II

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-B ENG-C BIO-C BAS-C FOO-B COM-C BOO-D

0020

F

FADHILA H NYANGE

22

III

CIV-C HIS-C GEO-D KIS-C ENG-B PHY-F CHE-D BIO-C BAS-F

0021

F

FATMA A ALLY

24

III

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-B ENG-C PHY-D CHE-D BIO-C BAS-F

0022

F

FATUMA A KILONGOLA

29

IV

CIV-D HIS-D GEO-F KIS-C ENG-C BIO-F BAS-F COM-F BOO-F

0023

F

FATUMA I MZENZI

25

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-B ENG-D BIO-D BAS-F COM-D BOO-D

0024

F

FILOMENA J SHAYO

28

IV

CIV-D HIS-F GEO-D KIS-B ENG-C BIO-F BAS-F COM-F BOO-F

0025

F

FRIDA B AKARO

28

IV

CIV-C HIS-D GEO-F BIB-F KIS-C ENG-C BIO-F BAS-F COM-F BOO-F

0026

F

FURAHA H MLAKI

20

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-B ENG-C PHY-D CHE-C BIO-C BAS-F FOO-B

0027

F

GLORY E MSEMO

19

II

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-B ENG-C BIO-C BAS-D FOO-B COM-C BOO-C

0028

F

GLORY F MINJA

22

III

CIV-C HIS-C GEO-C KIS-C ENG-D FRE-F PHY-D CHE-D BIO-B BAS-D

0029

F

GLORY G SEMPANGA

26

IV

CIV-C HIS-F GEO-F BIB-F KIS-C ENG-C BIO-C BAS-F COM-D BOO-F

0030

F

GLORY W TEMU

20

II

CIV-D HIS-C GEO-C FIN-F KIS-C ENG-C PHY-C CHE-C BIO-B BAS-D

0031

F

GRACEANNA D MUSHI

28

IV

CIV-C HIS-F GEO-F KIS-C ENG-C BIO-D BAS-F COM-F BOO-F

0032

F

HAIKA MWANDRY

30

IV

CIV-D HIS-F GEO-F BIB-F KIS-C ENG-D BIO-D BAS-F COM-F BOO-F

0033

F

HALIMA B MMBONYO

22

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-C ENG-C FRE-D PHY-D CHE-C BIO-C BAS-C

0034

F

HAPPINESS A MWAKAKUSYU

34

FLD

CIV-D HIS-F GEO-F KIS-F ENG-F BIO-F BAS-F COM-F BOO-F

0035

F

HAPPY W SWAY

31

IV

CIV-F HIS-F GEO-F KIS-C ENG-D FRE-F BIO-D BAS-F COM-F BOO-F

0036

F

HELLEN R SABUNI

25

III

CIV-C HIS-F GEO-F FIN-F KIS-C ENG-C PHY-D CHE-D BIO-C BAS-F

0037

F

JACKLINE F POLE

27

IV

CIV-D HIS-F GEO-F KIS-D ENG-D BIO-D BAS-F FOO-C COM-D BOO-D

0038

F

JACKLINE M LEKULE

26

IV

CIV-C HIS-D GEO-D BIB-X KIS-C ENG-D PHY-D CHE-D BIO-D BAS-D

0039

F

JACKLINE S SIMKANGA

29

IV

CIV-D HIS-F GEO-F KIS-D ENG-D BIO-D BAS-F FOO-C COM-F BOO-F

0040

F

JANETH T NGONYANI

28

IV

CIV-C HIS-D GEO-F BIB-F KIS-C ENG-D BIO-F BAS-F COM-D BOO-F

0041

F

JASMIN A SAID

27

IV

CIV-C HIS-D GEO-F KIS-C ENG-D BIO-D BAS-F COM-F BOO-D

0042

F

JOSEPHINE A SILAYO

29

IV

CIV-D HIS-D GEO-F KIS-C ENG-D BIO-D BAS-F COM-F BOO-F

0043

F

JOYCE P MUSHI

32

IV

CIV-F HIS-D GEO-F KIS-D ENG-D BIO-F BAS-F COM-F BOO-F

0044

F

KANISIA J NKINGA

22

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-B ENG-C PHY-C CHE-D BIO-C BAS-D

0045

F

LEAH N KIJO

23

III

CIV-C HIS-F GEO-D KIS-C ENG-C PHY-D CHE-D BIO-C BAS-F FOO-C

0046

F

LIGHTNESS E MMARY

26

IV

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-C ENG-D BIO-D BAS-F FOO-D COM-D BOO-F

0047

F

LILIAN M CHUWA

30

IV

CIV-C HIS-F GEO-F BIB-F KIS-C ENG-D BIO-F BAS-F COM-F BOO-F

0048

F

LOVENICE J LYIMO

30

IV

CIV-D HIS-F GEO-F KIS-C ENG-D BIO-F BAS-F COM-D BOO-F

0049

F

MAGDALENA K JEREMIAH

22

III

CIV-B HIS-C GEO-D BIB-F KIS-B ENG-D BIO-D BAS-F COM-C BOO-D

0050

F

MAGRETH P RWETABULA

22

III

CIV-C HIS-D GEO-F KIS-C ENG-D PHY-D CHE-C BIO-C BAS-D FOO-B

0051

F

MAGRETH T MBOTTA

29

IV

CIV-D HIS-D GEO-F KIS-C ENG-D BIO-D BAS-F COM-F BOO-F

0052

F

MARIAM A HASSAN

33

IV

CIV-F HIS-F GEO-F KIS-D ENG-F BIO-D BAS-F COM-F BOO-F

0053

F

MARIAM S MKUKI

23

III

CIV-D HIS-F GEO-D KIS-C ENG-C PHY-D CHE-C BIO-C BAS-D FOO-C

0054

F

MARIAM R ATHUMAN

33

IV

CIV-D HIS-F GEO-F KIS-D ENG-F BIO-F BAS-F COM-F BOO-F

0055

F

MARIAM S SHAYO

26

IV

CIV-C HIS-D GEO-F KIS-B ENG-D BIO-F BAS-F COM-D BOO-D

0056

F

MARTHA ANDRABETH

31

IV

CIV-F HIS-D GEO-F BIB-D KIS-D ENG-D BIO-F BAS-F

0057

F

MARY C RIWA

23

III

CIV-D HIS-D GEO-F KIS-B ENG-C PHY-D CHE-C BIO-D BAS-C

0058

F

MARY P LYIMO

26

IV

CIV-D HIS-F GEO-F KIS-D ENG-C FRE-F PHY-D CHE-C BIO-C BAS-F

0059

F

MARY S BOAZI

23

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-B ENG-D BIO-C BAS-F FOO-C COM-F BOO-F

0060

F

MATILDA A MTEMA

24

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-B ENG-D BIO-C BAS-F COM-D BOO-D

0061

F

MWAJUMA S MSHANA

27

IV

CIV-D HIS-D GEO-F KIS-C ENG-D BIO-D BAS-F COM-F BOO-C

0062

F

MWANAIDI RAMADHANI

26

IV

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-B ENG-D BIO-F BAS-F COM-D BOO-D

0063

F

NEEMA F KIANGI

30

IV

CIV-D HIS-F GEO-F KIS-B ENG-D BIO-F BAS-F COM-F BOO-F

0064

F

NEEMA Y MSANGI

19

II

CIV-C HIS-C GEO-D KIS-B ENG-D BIO-C BAS-D FOO-B COM-C BOO-C

0065

F

PATRICIA M MSUYA

26

IV

CIV-D HIS-D GEO-F KIS-B ENG-C FRE-F BIO-F BAS-F COM-C BOO-F

0066

F

PENUEL E MZAVA

19

III

CIV-C HIS-C GEO-D KIS-B ENG-D FRE-X PHY-C CHE-B BIO-B BAS-F

0067

F

PREMILA M MOSHI

27

IV

CIV-C HIS-D GEO-F KIS-B ENG-D BIO-F BAS-F COM-F BOO-D

0068

F

PRISCA F SCHULA

23

III

CIV-C HIS-D GEO-F KIS-B ENG-C PHY-F CHE-C BIO-D BAS-D

0069

F

RACHEL L KIMAMBO

19

II

CIV-D HIS-D GEO-F BIB-C KIS-B ENG-B PHY-C CHE-C BIO-C BAS-C

0070

F

RACHEL R MALISA

23

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-B ENG-C BIO-C BAS-F COM-D BOO-F

0071

F

RAHMA S BENDERA

22

III

CIV-B HIS-D GEO-D KIS-B ENG-C FRE-F BIO-C BAS-F COM-D BOO-F

0072

F

REHEMA A MBAWALA

30

IV

CIV-D HIS-D GEO-F KIS-D ENG-C BIO-F BAS-F COM-F BOO-F

0073

F

RESTITUTA C CHAMI

26

IV

CIV-D HIS-D GEO-F BIB-F KIS-B ENG-D PHY-D CHE-D BIO-D BAS-D

0074

F

RESTITUTA E SAMBILI

26

IV

CIV-D HIS-F GEO-D BIB-F KIS-C ENG-C PHY-D CHE-D BIO-D BAS-F

0075

F

RIZIKI J MSANGI

32

IV

CIV-F HIS-D GEO-F FIN-F KIS-D ENG-D BIO-F BAS-F COM-F BOO-F

0076

F

ROSE E ENEZA

30

IV

CIV-D HIS-F GEO-F KIS-C ENG-D FRE-X BIO-F BAS-F COM-D BOO-F

0077

F

SARAH W SIMULE

20

II

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-B ENG-C PHY-C CHE-C BIO-C BAS-D FOO-C

0078

F

SHUFAA S SHABANI

27

IV

CIV-C HIS-D GEO-F KIS-B ENG-D BIO-D BAS-F COM-F BOO-F

0079

F

SILIVIA F RAUYA

26

IV

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-D ENG-F PHY-D CHE-C BIO-D BAS-F

0080

F

SITTY M MAWALA

31

IV

CIV-F HIS-F GEO-F KIS-C ENG-D BIO-F BAS-F COM-F BOO-D

0081

F

SOPHIA A MAMUYA

23

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-C ENG-C PHY-D CHE-C BIO-C BAS-F

0082

F

SOPHIA M EDWARD

20

III

CIV-B HIS-D GEO-D BIB-D KIS-B ENG-C PHY-D CHE-C BIO-B BAS-F

0083

F

STELLA W RWEKAMWA

22

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-B ENG-C FRE-X BIO-D BAS-F COM-B BOO-D

0084

F

TUNU F ELIAS

21

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-C ENG-C PHY-C CHE-B BIO-C BAS-F FOO-D

0085

F

UPENDO F KIMEI

20

II

CIV-D HIS-F GEO-D KIS-B ENG-C PHY-C CHE-B BIO-C BAS-C

0086

F

VERONICA J MBWAMBO

23

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-B ENG-D BIO-C BAS-D FOO-C COM-D BOO-D

0087

F

VIVIAN D SABA

22

III

CIV-C HIS-C GEO-D KIS-C ENG-D FRE-F PHY-C CHE-C BIO-C BAS-F

0088

F

WILHELMINA J MVUNGI

25

III

CIV-C HIS-C GEO-F KIS-C ENG-C BIO-D BAS-F COM-D BOO-F

0089

F

WINFRIDA A TEMU

22

III

CIV-D HIS-F GEO-C KIS-C ENG-B PHY-D CHE-D BIO-C BAS-F FOO-C

0090

F

ZAWADI H MWAITA

26

IV

CIV-C HIS-D GEO-F KIS-C ENG-B BIO-D BAS-F COM-F BOO-F

0091

F

ZAWADI A KIPACHA

23

III

CIV-C HIS-D GEO-F KIS-C ENG-D FRE-F PHY-C CHE-C BIO-C BAS-D

0093

M

ABEDNEGO Y MBWILO

20

II

CIV-B HIS-D GEO-D KIS-C ENG-C PHY-C CHE-B BIO-C BAS-D

0094

M

ABUTWALIBU R MSUYA

19

II

CIV-B HIS-D GEO-D KIS-A ENG-C PHY-D CHE-C BIO-B BAS-D

0095

M

ALHAJI I MSHANA

19

II

CIV-B HIS-D GEO-D KIS-C ENG-B PHY-D CHE-C BIO-B BAS-D FOO-C

0096

M

ALLEN D MSUYA

20

III

CIV-B HIS-C GEO-D KIS-B ENG-B BIO-F BAS-F COM-B BOO-F

0098

M

ALLY R MUSHI

23

III

CIV-D HIS-F GEO-D KIS-D ENG-C PHY-C CHE-C BIO-B BAS-D

0099

M

AMIRI E DISMAS

25

III

CIV-D HIS-D GEO-D FIN-D KIS-C ENG-C BIO-C BAS-D COM-D BOO-F

0100

M

ARON E KAMEME

12

I

CIV-B HIS-C GEO-C KIS-A ENG-C PHY-B CHE-A BIO-B BAS-A

0101

M

ATHANAS MARIKI

24

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-C ENG-D PHY-D CHE-C BIO-C BAS-F

0102

M

AVUMBA A KHALIFA

27

IV

CIV-D HIS-C GEO-D KIS-C ENG-D BIO-F BAS-F COM-D BOO-I

0103

M

BARAKA H MAKOGA

16

I

CIV-C HIS-C GEO-D KIS-B ENG-C FRE-F PHY-B CHE-B BIO-B BAS-B

0104

M

BARIKI I KONGA

22

III

CIV-C HIS-C GEO-F KIS-C ENG-C PHY-D CHE-C BIO-C BAS-D

0105

M

BONIFACE MBINGO

26

IV

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-D ENG-D PHY-D CHE-C BIO-C BAS-F

0106

M

BOSS J MORA

26

IV

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-C ENG-C PHY-D CHE-D BIO-D BAS-D

0107

M

CHARLES L KAPINGA

20

II

CIV-C HIS-C GEO-D KIS-C ENG-C PHY-C CHE-B BIO-C BAS-C

0108

M

CHARLES R MALIMI

34

FLD

CIV-D HIS-F GEO-F KIS-F ENG-F BIO-F BAS-F COM-F BOO-F

0109

M

COSTANTINO T SILAYO

18

II

CIV-C HIS-D GEO-C KIS-A ENG-C PHY-C CHE-B BIO-C BAS-C

0110

M

DAUDI H MALIMA

25

III

CIV-D HIS-C GEO-C KIS-C ENG-D BIO-F BAS-D COM-D BOO-F

0111

M

DENIS G MALEWA

9

I

CIV-B HIS-C GEO-B KIS-A ENG-B PHY-A CHE-A BIO-A BAS-A FOO-B

0112

M

DEOGRATIUS R KIGHONO

24

III

CIV-C HIS-F GEO-D FIN-F KIS-D ENG-D PHY-C CHE-C BIO-C BAS-D

0113

M

DOMINICK D KIMOLO

29

IV

CIV-D HIS-D GEO-F BIB-F KIS-C ENG-C BIO-F BAS-F COM-F BOO-F

0114

M

EDWIN E JAMES

15

I

CIV-C HIS-D GEO-C FIN-D KIS-B ENG-C PHY-B CHE-B BIO-B BAS-A

0115

M

EFESSO MWAKISOLE

35

FLD

CIV-F HIS-F GEO-F KIS-F ENG-F BIO-F BAS-F COM-F BOO-F

0116

M

ELIEWAHA MBWAMBO

24

III

CIV-C HIS-F GEO-D KIS-B ENG-D PHY-D CHE-C BIO-D BAS-F

0117

M

ELIMRINGI SHAYO

21

II

CIV-C HIS-D GEO-C KIS-B ENG-C PHY-D CHE-C BIO-C BAS-D

0118

M

ELISEI MSHANA

19

II

CIV-C HIS-D GEO-C FIN-C KIS-C ENG-C BIO-C BAS-D COM-B BOO-B

0119

M

EMMANUEL J MBWAMBO

21

II

CIV-C HIS-C GEO-D KIS-C ENG-D BIO-C BAS-B COM-D BOO-C

0120

M

EMILY MMANYI

20

II

CIV-C HIS-D GEO-C KIS-B ENG-C PHY-C CHE-C BIO-C BAS-C

0121

M

EMMANUEL J MWAKAJUMBA

25

III

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-C ENG-C PHY-D CHE-D BIO-C BAS-F

0122

M

EPHATA C MANENTO

27

IV

CIV-D HIS-D GEO-D BIB-F KIS-D ENG-C BIO-D BAS-F COM-D BOO-F

0123

M

ERASMI M RICHARD

19

III

CIV-B HIS-C GEO-C FIN-F KIS-C ENG-C PHY-C CHE-B BIO-C BAS-F

0124

M

ERICK MUNISI

19

II

CIV-C HIS-C GEO-D KIS-C ENG-C BIO-D BAS-C COM-B BOO-B

0125

M

FABIAN S MTALO

22

III

CIV-C HIS-D GEO-D FIN-D KIS-C ENG-C PHY-D CHE-C BIO-C BAS-C

0126

M

FADHILI S SHELUKINDO

27

IV

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-C ENG-D PHY-D CHE-D BIO-D BAS-D

0127

M

FARES FAUSTIN

21

II

CIV-C HIS-C GEO-D KIS-C ENG-C PHY-C CHE-C BIO-F BAS-C

0128

M

FRANCIS S CHALE

30

IV

CIV-D HIS-D GEO-F KIS-C ENG-D BIO-F BAS-F COM-F BOO-F

0129

M

FRANK B MUSHI

20

II

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-B ENG-C BIO-C BAS-C COM-C BOO-C

0130

M

FREDRICK P MINJA

17

I

CIV-C HIS-B GEO-C KIS-B ENG-B BIO-C BAS-B COM-C BOO-C

0131

M

GABRIEL MAKWAIYA

23

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-C ENG-B FRE-F BIO-D BAS-D COM-D BOO-C

0132

M

GEORGE W MREMA

11

I

CIV-B HIS-C GEO-C KIS-B ENG-A PHY-C CHE-A BIO-A BAS-A

0134

M

GEORGE S TEMBA

23

III

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-B ENG-B BIO-C BAS-F COM-D BOO-F

0135

M

GODLISTEN A MALISA

16

I

CIV-C HIS-D GEO-C KIS-B ENG-B PHY-B CHE-B BIO-B BAS-C

0136

M

GODSON G MUNISI

22

III

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-C ENG-C PHY-C CHE-B BIO-C BAS-F

0137

M

GOODCHANCE N MOSHA

24

III

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-B ENG-C BIO-D BAS-C COM-D BOO-D

0138

M

HAMAD A KOMBO

29

IV

CIV-D HIS-F GEO-D KIS-D ENG-F BIO-C BAS-F COM-D BOO-F

0139

M

HASSAN M HAMAD

24

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-C ENG-D PHY-D CHE-C BIO-C BAS-D

0140

M

HERY S NGAYAIKA

22

III

CIV-B HIS-D GEO-D FIN-B KIS-C ENG-C BIO-D BAS-F COM-D BOO-F

0141

M

HOSEIN A JUMA

33

IV

CIV-F HIS-F GEO-F KIS-D ENG-D BIO-F BAS-F COM-X BOO-X

0142

M

HUBERT G KIMASHA

17

I

CIV-B HIS-C GEO-C KIS-C ENG-B BIO-C BAS-D COM-B BOO-B

0143

M

IBRAHIM MAGOA

24

III

CIV-D HIS-D GEO-C KIS-C ENG-D PHY-D CHE-C BIO-C BAS-F

0144

M

ISAAC Z JUMANNE

12

I

CIV-B HIS-C GEO-C KIS-B ENG-C FRE-B PHY-B CHE-A BIO-B BAS-A

0145

M

JACKSON J KIMBUYA

19

II

CIV-C HIS-C GEO-C KIS-B ENG-B PHY-C CHE-C BIO-C BAS-C

0146

M

JAFARI J MWIRU

35

FLD

CIV-F HIS-F GEO-F KIS-F ENG-F BIO-F BAS-F COM-F BOO-F

0147

M

JAMES J CHACHA

22

III

CIV-B HIS-C GEO-D BIB-D KIS-D ENG-C BIO-C BAS-F COM-C BOO-F

0148

M

JEROME M NDOMONDO

23

III

CIV-C HIS-C GEO-D KIS-C ENG-C BIO-D BAS-F COM-D BOO-C

0149

M

JOHN E MCHARO

23

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-B ENG-D PHY-D CHE-D BIO-C BAS-C

0150

M

JOHN H MREMA

25

III

CIV-D HIS-F GEO-D KIS-B ENG-C PHY-D CHE-D BIO-D BAS-F

0151

M

JOSEPH KINANGO

19

III

CIV-C HIS-B GEO-C KIS-B ENG-C BIO-C BAS-F COM-C BOO-D

0152

M

JOSEPH L SENZIA

24

III

CIV-C HIS-D GEO-C KIS-C ENG-D PHY-D CHE-C BIO-D BAS-D

0153

M

JOSAPHATI P MTAMBO

28

IV

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-D ENG-F PHY-D CHE-D BIO-D BAS-F

0154

M

JUSTIN S PATRICK

23

III

CIV-D HIS-F GEO-D KIS-C ENG-C PHY-C CHE-B BIO-D BAS-D

0155

M

JUSTINE P MOSHA

25

III

CIV-C HIS-F GEO-D FIN-C KIS-D ENG-C BIO-F BAS-F COM-D BOO-D

0156

M

KAYUMBA G MAREGESI

10

I

CIV-A HIS-D GEO-C KIS-B ENG-B FRE-C PHY-B CHE-A BIO-A BAS-A

0157

M

KHALID A OMARY

22

III

CIV-C HIS-F GEO-D KIS-C ENG-C BIO-C BAS-F COM-C BOO-C

0158

M

LAURENT C DEDE

17

I

CIV-C HIS-F GEO-C KIS-B ENG-C PHY-B CHE-B BIO-B BAS-D

0159

M

LAURENT L TARIMO

17

I

CIV-C HIS-C GEO-C KIS-B ENG-C FRE-D PHY-B CHE-B BIO-B BAS-C

0160

M

LEONARD MREMA

27

IV

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-D ENG-D FRE-X PHY-D CHE-C BIO-D BAS-D

0161

M

LEONARD E MTANGI

13

I

CIV-B HIS-B GEO-C KIS-B ENG-B FRE-D PHY-C CHE-B BIO-B BAS-A

0162

M

LIVING J CHUWA

20

II

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-C ENG-C PHY-C CHE-B BIO-C BAS-B

0163

M

MATHIAS NDANU

35

FLD

CIV-F HIS-F GEO-F KIS-F ENG-F BIO-F BAS-F COM-X BOO-F

0164

M

MESHACK Y MBWILLO

16

I

CIV-C HIS-D GEO-C KIS-B ENG-D PHY-B CHE-B BIO-C BAS-B FOO-B

0165

M

MICHAEL FUTAKAMBA

25

III

CIV-F HIS-D GEO-D FIN-D KIS-C ENG-D BIO-D BAS-C COM-C BOO-D

0166

M

NICHODEMUS W MAHIMBO

20

II

CIV-C HIS-D GEO-C KIS-C ENG-C PHY-C CHE-C BIO-B BAS-C

0167

M

NICHOLAUS G URASSA

20

II

CIV-C HIS-C GEO-C KIS-B ENG-C BIO-C BAS-D COM-C BOO-C

0168

M

NICKSON S MARANDU

20

II

CIV-B HIS-D GEO-D KIS-B ENG-C PHY-C CHE-C BIO-C BAS-D

0169

M

NIRAV S PARMAR

16

I

CIV-C HIS-C GEO-C KIS-B ENG-D FRE-D PHY-B CHE-A BIO-B BAS-C

0170

M

NOEL R MWAKITALU

21

III

CIV-D HIS-F GEO-D KIS-B ENG-C BIO-C BAS-F COM-B BOO-C

0171

M

OBREY E MRAM

27

IV

CIV-D HIS-F GEO-F KIS-C ENG-D BIO-C BAS-F COM-D BOO-D

0172

M

OMARY O SAIDI

16

I

CIV-B HIS-C GEO-C ELI-X KIS-B ENG-D BIO-C BAS-B COM-A BOO-C

0173

M

PAUL J KIWALE

19

II

CIV-B HIS-D GEO-D BIB-D KIS-C ENG-C PHY-C CHE-B BIO-C BAS-C

0174

M

PAUL S KINGU

26

IV

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-C ENG-D BIO-C BAS-F COM-D BOO-F

0175

M

PAUL P KIMARO

20

II

CIV-B HIS-C GEO-D KIS-C ENG-D FRE-D BIO-C BAS-D COM-B BOO-C

0176

M

PRAISE STANLEY

24

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-C ENG-F PHY-D CHE-C BIO-C BAS-F

0177

M

PRAYGOD G LYIMO

20

II

CIV-C HIS-C GEO-D KIS-C ENG-C PHY-C CHE-B BIO-C BAS-D

0178

M

PRAYGOD A MINJA

24

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-C ENG-D PHY-D CHE-C BIO-C BAS-F

0179

M

RAMADHANI E ODHIAMBO

25

III

CIV-C HIS-D GEO-D FIN-D KIS-C ENG-D BIO-C BAS-F COM-D BOO-D

0180

M

RAMADHANI R KIMWERI

23

III

CIV-D HIS-D GEO-F KIS-B ENG-D BIO-C BAS-D COM-C BOO-C

0181

M

RAMADHANI A SAMBONI

24

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-D ENG-D BIO-C BAS-F COM-B BOO-D

0182

M

RAPHAEL JULIUS

19

II

CIV-C HIS-C GEO-D KIS-B ENG-D PHY-C CHE-B BIO-C BAS-C

0183

M

RASHID O SHEMAHONGE

26

IV

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-B ENG-D BIO-D BAS-D COM-D BOO-D

0184

M

RASHID K NDEE

21

II

CIV-D HIS-C GEO-D KIS-C ENG-D PHY-D CHE-B BIO-C BAS-B

0185

M

ROBERT D MASANJA

28

IV

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-F ENG-D BIO-D BAS-F COM-D BOO-D

0186

M

ROBERT M LARY

21

II

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-C ENG-D PHY-C CHE-C BIO-C BAS-B

0187

M

ROBERT MUTANI

29

IV

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-F ENG-D BIO-D BAS-F COM-X BOO-F

0188

M

SAIDI MAGEA

26

IV

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-C ENG-D BIO-D BAS-D COM-C BOO-F

0189

M

SALEHE MACHAKOS

26

IV

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-C ENG-C BIO-D BAS-D COM-D BOO-F

0190

M

SALIM M MNDEME

17

I

CIV-B HIS-D GEO-C KIS-B ENG-B PHY-C CHE-B BIO-C BAS-C

0191

M

SALIMU K BAKARI

22

III

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-B ENG-C PHY-D CHE-C BIO-C BAS-C

0192

M

SALIM R ALUTE

16

I

CIV-B HIS-C GEO-C KIS-B ENG-C BIO-C BAS-B COM-B BOO-B

0193

M

SEIF Z MUSA

25

III

CIV-D HIS-C GEO-D KIS-D ENG-D FRE-F PHY-D CHE-D BIO-C BAS-C

0194

M

SELEMAN A PARAMBA

30

IV

CIV-F HIS-D GEO-D KIS-D ENG-D PHY-F CHE-F BIO-D BAS-F

0195

M

SHABAN H ZUBERI

0

*E

CIV-I HIS-I GEO-I KIS-I ENG-I BIO-I BAS-I COM-I BOO-I

0196

M

SHAFII H SWAI

21

II

CIV-C HIS-C GEO-C KIS-C ENG-D BIO-C BAS-D COM-C BOO-C

0197

M

SIMON J MALIMA

22

III

CIV-C HIS-D GEO-D BIB-F KIS-B ENG-D PHY-C CHE-C BIO-C BAS-D

0198

M

STEPHANO E MANGARE

21

II

CIV-C HIS-C GEO-D KIS-B ENG-C BIO-D BAS-D COM-C BOO-C

0199

M

STEPHEN J MNGARA

24

III

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-C ENG-D FRE-F PHY-D CHE-C BIO-C BAS-D

0200

M

THADEI MOSHA

25

III

CIV-C HIS-D GEO-C KIS-C ENG-D BIO-F BAS-F COM-D BOO-D

0201

M

THEOBALD F SOKA

17

I

CIV-B HIS-C GEO-C KIS-A ENG-C PHY-C CHE-B BIO-C BAS-C

0202

M

THEODOS MICHAEL

25

III

CIV-C HIS-D GEO-C KIS-D ENG-D BIO-D BAS-F COM-C BOO-D

0203

M

TWALIBU B ABDALLAH

20

III

CIV-C HIS-D GEO-C KIS-B ENG-F PHY-C CHE-B BIO-C BAS-F

0204

M

VALENTINE J NICHOLAUS

21

II

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-A ENG-D BIO-C BAS-D COM-C BOO-C

0205

M

WILLIUM J MUSHI

26

IV

CIV-D HIS-D GEO-D KIS-C ENG-C BIO-D BAS-F COM-D BOO-D

0206

M

YASIN A MWANDAY

20

II

CIV-B HIS-D GEO-D KIS-B ENG-D BIO-C BAS-D COM-B BOO-C

0207

M

YONAZA M NJOKAYA

26

IV

CIV-C HIS-D GEO-D KIS-D ENG-D BIO-C BAS-F COM-D BOO-F

0208

M

ZACHARIA M NKYA

15

I

CIV-B HIS-C GEO-C KIS-B ENG-C FRE-B PHY-D CHE-A BIO-B BAS-C
 
Sasa malisa kakosea wap.... Kuna special diploma ilianzishwa wakat wao kama walivyofanyiwa wa udom
 
Tatizo la Malisa ni kupost majina ya watu wasiohusika na huu mjadala badala ya jina moja alilokuwa anazungumzia. Wakati huo yeye pia ni kilaza wa kutosha tu. Matokeo ya Malisa Godlisten ya pale Minaki Form IV 2007: 0044,M,GODLBISTEN MALISA,27,IV,CIV-C HIS-F GEO-D KIS-D ENG-D PHY-D CHE-D BIO-D BAS-D. Link: http://www.matokeo.necta.go.tz/csee/S0133.htm


Jamaa kilaza kupita maelezo..!!

He has been upgrading himself thru social media, as if ACADEMIC QUALIFICATION is achieved thru social networks...!! Hata kama alipata Div I point 16... still katika BRILLIANT STUDENTS yuko nyuma yangu sana..!! Just a kinda..!!

Div I: 9 O- level yangu hiyo..1999

Div I: 5 A- level...2002...!!

So, ni kinda tu huyo Malisa... kazi kuzunguka in social media finding cheap popularity...!!



#Nyumbu
 
Mwandosya mzee wangu huyu ni wapi alipotuhumiwa?? Malisa si alizungumzia tu kusome kwake hata kufikia uprof pasi na kuitambua hata form 5&6 akimaanisha kwamba ni utaratibu Wa kawaida kupitia ngazi ya certificate mpaka uprof???
 
Yaan huyu kijana anatumia povu zake kama popularity, I wonder nyumbu kama huyu wanamwangalia tu mtaani, teh
Kuna mprofessor wawili tu niliowakuta UDSM Pro. Luhanga na Pro. Mwandosya. Huwezi ukatoka tu na povu zako na umbea umbea wako, ukidomodomo eti unasema prof. Hajakujibu, na hata hivyo huwezi kuolewa akikujibu maana siyo level yako huyo, huyo ni great thinker

Nafunga mjadala wa huyu nyumbu hapa.
 
Back
Top Bottom