Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

Nakuambia huyu ni mbabaishaji kama wababaishaji wengine tu. Sikiliza yote aliyosema kwenye hii hafla kisha uniambie kama kweli hakuona documents za mradi wa umeme wa maji (JNHP)!


Mkuu JIWE kashaenda ,JIWE alikuwa katili ,nina imani kabisa Prof Assad hakuona kabisa docs za Bandari Bwax kama alivyosema possible(100%) hayo maneno kamezeshwa na JIWE ayaseme.

Sina uhakika kama alizungumzia docs za "STEGOLAZ" ila alisema kwamba hakupata Docs za Bagamoyo.
 
Prof Assad mtu mwenye weledi ameongea mimi ni nani nimbishie Prof?? Labda angekuwa Prof wa majalalani huyo tungeweza kuanzisha mjadala.

Huyu bwana tangu aachwe kuteuliwa kuwa CAG kwa mhula mwingine hasira zake hazijawahi kumtoka. That’s why he is all over the place. Ooh mara sipigi tena kura, ooh mara sikupewa nyaraka...

Sikiliza yote aliyosema kwenye hii hafla (hapo juu), kwa mfano!
 

Kama kila mtu akienda kwa hisia zake hatufiki kokote; itakuwa chaos tu!
 
Your browser is not able to display this video.

Hiyu baba muongo sana
 
Naona bado unazunguka ndugu. Maana jamaa hapa juu anaonyesha kukubaliana na suala la kununua ndege shida ikawa plan ya kuendesha shirika. Sasa tuiulize, je ni kweli haipo kabisa au ipo lakini sio plan nzuri.

Pili, solution ya hili tatizo la kukosa plan ni kuuza ndege kisha baadae tuje tukodi au ndege zibaki lakini uandaliwe mpango kazi mwingine wa kuhisha shirika letu? Nieleweshe hapo.
 
Umewahi clinic kujua ina miezi mingapi?
 

Swala la kununua ndege(Sio kwa cash) ilo la kwanza wataalamu walishashauri,Pili kuwe na bizness plan(Kwenye bizness plan kuna kila kitu -Huandaliwa na wataalam wanaofuata steps zote za kitaalamu)

Mkuu Malisa GJ kasahayajibu hayo maswali yako possible umeshindwa labda kung'amua kwasababu tayari una mtazamo wako ,Alichokifanya MEKO ni sawa na Mwanafunzi mwenye ndoto ya kusoma Udaktari lakini akawa anakomaa na masomo ya Agriculture/Geography watu wanamshauri kama unataka kuwa Dr soma PCB lakini mwanafunzi hakuwasikiliza then at the end anakuja kujikuta Chuo cha Nyuki na sio MUHAS.

Kwenye Plan wataalam ndio watashauri kulingana na makosa yaliyofanyika mwanzo ,kama ziuzwe wakakodishe au wazimaintain or wherever,tambua hiyo MIDEGE hairuki nje inadaiwa pili hata ikiharibikia haitengenezwi badi ina madeni ,possible wakikodisha hizo maintanance labda zitakuwa kwa mmiliki na pia kukodisha possible mmiliki ana vibali ,bima etc
 
We SHOGA UNIKOME! kama wewe unaabudu Binaadamu that's up to you usinisingizie uongo! MWENYEZI MUNGU HAKUZAA WALA HAKUZALIWA! KAFIRI MKUBWA wewe.
Bora wazazi wako wangepiga BLOW JOB lingekuwa wazo poa sana. Wangelisaidia taifa.

Taahira.
 
Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.

Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.

Unafikiri wewe unajua na una akili sana kumzidi Prof. Assad?

Hivi unajua marehemu alikuwa nani ktk nchi hii? Unajua ameleta athari kiasi gani kwa sisi tulio hai?

Hasemwi ili aibuke kaburini kuja kujitetea hapa. Na hata akiibuka sasa hakuna atakayemruhusu kujitetea ila moja kwa moja Segerea..!

Tunasema upuuzi na ujinga wa aliyekuwa Rais wa nchi hii Mwendazake Magufuli ili walio hai ukiwemo wewe usije kutenda ujinga na upuuzi..

Viongozi kama Hitler, Mobutu Seseseko, Benito Mussolini nk wameandikiwa vitabu vya historia ya matendo yao ya kinyama na kikatili ili viongozi wa dunia ya leo wajifunze kutofanya makosa hayo...

Hatuhitaji wafufuke kuja kujitetea. Watu kama hao akiwemo Magufuli waende na wasirudi kabisa maana wasije kuendelea kuleta machafuko hapa ulimwenguni...
 
Ndio mkuu nina akili sana kuliko Prof.Asad.

Kipimo cha kwanza kidogo tu,

Yeye anabishana na marehemu wakati anajua hawezi kumjibu, hiyo ni akili au matope.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…