Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

Nakuambia huyu ni mbabaishaji kama wababaishaji wengine tu. Sikiliza yote aliyosema kwenye hii hafla kisha uniambie kama kweli hakuona documents za mradi wa umeme wa maji (JNHP)!



Mkuu JIWE kashaenda ,JIWE alikuwa katili ,nina imani kabisa Prof Assad hakuona kabisa docs za Bandari Bwax kama alivyosema possible(100%) hayo maneno kamezeshwa na JIWE ayaseme.

Sina uhakika kama alizungumzia docs za "STEGOLAZ" ila alisema kwamba hakupata Docs za Bagamoyo.
 
Prof Assad mtu mwenye weledi ameongea mimi ni nani nimbishie Prof?? Labda angekuwa Prof wa majalalani huyo tungeweza kuanzisha mjadala.

Huyu bwana tangu aachwe kuteuliwa kuwa CAG kwa mhula mwingine hasira zake hazijawahi kumtoka. That’s why he is all over the place. Ooh mara sipigi tena kura, ooh mara sikupewa nyaraka...

Sikiliza yote aliyosema kwenye hii hafla (hapo juu), kwa mfano!
 
Mkuu JIWE kashaenda ,JIWE alikuwa katili ,nina imani kabisa Prof Assad hakuona kabisa docs za Bandari Bwax kama alivyosema possible(100%) hayo maneno kamezeshwa na JIWE ayaseme.

Sina uhakika kama alizungumzia docs za "STEGOLAZ" ila alisema kwamba hakupata Docs za Bagamoyo.

Kama kila mtu akienda kwa hisia zake hatufiki kokote; itakuwa chaos tu!
 
Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini.

Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi lakini Taifa linashindwa kuwakosoa kutokana na hofu na uwoga.

Prof Assad amesisitiza kwa kukaa kwake ofsini alizihitaji sana hizo nyaraka ili azisome na atoe ushauri wa kibiashara kwani amefanya kazi hizo kwa miaka mingi kabla ya kuwa CAG kabla ya kuzikagua.

Prof Assad ametoa ushauri ni muda muafaka wa serikali kuweka nyaraka wazi kwa Raia wake ili wazichambue na kuboresha mapungufu kuliko Kuzificha Ikulu.

===

Wakati nipo ofisini, katika vitu ambavyo ni vitu vitatu: niliomba SGR, niliomba document ya Air Tanzania upya na niliomba project ya Stiegler's Gorge -- feasibility studies. Na sikupewa hata moja. Nilichopata ilikuwa ni barua kwamba mwaka haujamalizika na kwahiyo ukaguzi wa hesabu si wakati wake.

Na kila mtu mwenye akili alikuwa anajua nilichokuwa nataka kufanya si ukaguzi wa hesabu, lakini ilikuwa ni technical response ya kusogeza muda na kuniondoa katika reli tu. Kwahiyo, mpaka nimeondoka ofisini I never got that information na mpaka sasa hivi sijatafuta na sijasoma.

Wewe ni kama mimi. I'm a private citizen now. Ikitokea taarifa hii ipo wazi, tutaisoma na tutatoa commentary.

View attachment 1749054

Hiyu baba muongo sana
 
View attachment 1749621


Moja kati ya uwekezaji kichaa tuliowahi kufanya ni huu wa ndege. Narudia ili MATAGA wasije kuninukuu vibaya. Sisemi kwamba hatukupaswa kufufua ATCL, ila tulitakiwa kabla ya kufufua tuwe na mkakati wa kujua shirika litajiendeshaje.

Lakini hatukufanya hivyo. Tumefufua ATCL kichwakichwa bila kuwa na mkakati wa kibiashara. Matokeo yake ndio haya tunayoyasikia kwa CAG sasa.

CAG anasema hakuna ndege ya ATCL inayoruhusiwa kuruka kwenye anga la kimataifa zaidi ya India ambapo tuna kibali. Tukienda hata hapo Sudani kwa maskini wenzetu tunakamatwa. ATCL inadaiwa na mamlaka ya usafiri wa anga kimataifa (ICAO) jumla ya TZS 57.4Bilioni ambapo 45Bil ni deni halisi na 12.4Bil ni riba.

Wakati huohuo ATCL inadaiwa Sh71.48 Bilioni na wakala wa ndege za serikali (TGFA) ambayo ni tozo ya kukodisha ndege na fedha ya akiba ya matengenezo. Jumla walikua wanadaiwa 79.62 Bilioni, lakini wamelipa 8.14 Bilioni, na hivyo kubaki na deni la 71.48 Bilioni.

Wakati huohuo mwaka jana ATCL imepata hasara ya 60 Bilioni kwa mujibu wa ripoti ya CAG. Kama haitoshi ndege za ATCL zikiharibika leo haziwezi kutengenezwa kwa sababu ATCL haijalipa 71.48 Bilioni ambazo ni gharama za matengenezo.

Kwahiyo tumenunua ndege ambazo haziruhusiwi kuruka nje (zaidi ya India, Chato na Nyakanazi . Zikiharibika hazitengenezeki, na zinajiendesha kwa hasara ya mabilioni ya pesa kila mwaka. Tukiulizwa tunajitetea eti mashirika yote ya ndege hupata hasara. Uzwazwa.!

Mwendazake alikua na nia njema ya kufufua ATCL lakini hakutaka kushauriwa. Yeyote aliyejaribu kumshauri aliitwa kibaraka wa mabeberu. Nia njema ya mwendazake ilikosa mpango mkakati.

Ni sawa na mtu ana nia ya kuwa daktari lakini hajui asome nini. Kutokana na kukosa exposure anakomaa kusoma Agriculture na Geography. Ukimshauri masomo sahihi ya kusoma anagombana na wewe. Anaamini unataka kumkwamisha asifikie ndoto zake.Mwishowe unamuacha aende anavyotaka. Akija kushtuka safari ya MUHAS imekufa anajikuta chuo cha ufugaji nyuki Tabora. Hiki ndicho kilichotokea kwa mwendazake. Kila aliyemshauri kwa nia njema aligombana nae. Akajikuta anaenda tu bila dira. Na matokeo yake ni haya yalioelezwa na CAG jana.!


By Malisa Godlisten
Naona bado unazunguka ndugu. Maana jamaa hapa juu anaonyesha kukubaliana na suala la kununua ndege shida ikawa plan ya kuendesha shirika. Sasa tuiulize, je ni kweli haipo kabisa au ipo lakini sio plan nzuri.

Pili, solution ya hili tatizo la kukosa plan ni kuuza ndege kisha baadae tuje tukodi au ndege zibaki lakini uandaliwe mpango kazi mwingine wa kuhisha shirika letu? Nieleweshe hapo.
 
Huyu jamaa (CAG) mstaafu kabisa siyo mzalendo, angalikuwa mzalendo angalikuwa na msimamo na hata ni kutupwa gerezani kwa faida ya taifa kwahiyo viongozi kama hawa, wanafiki, hawafai na ni hatari kwa taifa, anagawa wa Tanzania kwa uonga wake. Angalikuwa kama Dr Tuntemeka Sanga aliyekuwa (banished) zuiliwa kijijini kwake enzi hizo kwa kutaka makuu kwa kujiona kasoma kuliko Mtanzania yeyote!! He should have spoken his mind according to his profession and patriotic mind. He let Tanzanians down by not speaking the truth loudly. Kwa sasa tunachukulia kuwa anatafuta kitu kwa faida yake binafsi! Hili ni wazo langu binafsi! I stand to be corrected.
Umewahi clinic kujua ina miezi mingapi?
 
Naona bado unazunguka ndugu. Maana jamaa hapa juu anaonyesha kukubaliana na suala la kununua ndege shida ikawa plan ya kuendesha shirika. Sasa tuiulize, je ni kweli haipo kabisa au ipo lakini sio plan nzuri.

Pili, solution ya hili tatizo la kukosa plan ni kuuza ndege kisha baadae tuje tukodi au ndege zibaki lakini uandaliwe mpango kazi mwingine wa kuhisha shirika letu? Nieleweshe hapo.

Swala la kununua ndege(Sio kwa cash) ilo la kwanza wataalamu walishashauri,Pili kuwe na bizness plan(Kwenye bizness plan kuna kila kitu -Huandaliwa na wataalam wanaofuata steps zote za kitaalamu)

Mkuu Malisa GJ kasahayajibu hayo maswali yako possible umeshindwa labda kung'amua kwasababu tayari una mtazamo wako ,Alichokifanya MEKO ni sawa na Mwanafunzi mwenye ndoto ya kusoma Udaktari lakini akawa anakomaa na masomo ya Agriculture/Geography watu wanamshauri kama unataka kuwa Dr soma PCB lakini mwanafunzi hakuwasikiliza then at the end anakuja kujikuta Chuo cha Nyuki na sio MUHAS.

Kwenye Plan wataalam ndio watashauri kulingana na makosa yaliyofanyika mwanzo ,kama ziuzwe wakakodishe au wazimaintain or wherever,tambua hiyo MIDEGE hairuki nje inadaiwa pili hata ikiharibikia haitengenezwi badi ina madeni ,possible wakikodisha hizo maintanance labda zitakuwa kwa mmiliki na pia kukodisha possible mmiliki ana vibali ,bima etc
 
We SHOGA UNIKOME! kama wewe unaabudu Binaadamu that's up to you usinisingizie uongo! MWENYEZI MUNGU HAKUZAA WALA HAKUZALIWA! KAFIRI MKUBWA wewe.
Bora wazazi wako wangepiga BLOW JOB lingekuwa wazo poa sana. Wangelisaidia taifa.

Taahira.
 
Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.

Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.

Unafikiri wewe unajua na una akili sana kumzidi Prof. Assad?

Hivi unajua marehemu alikuwa nani ktk nchi hii? Unajua ameleta athari kiasi gani kwa sisi tulio hai?

Hasemwi ili aibuke kaburini kuja kujitetea hapa. Na hata akiibuka sasa hakuna atakayemruhusu kujitetea ila moja kwa moja Segerea..!

Tunasema upuuzi na ujinga wa aliyekuwa Rais wa nchi hii Mwendazake Magufuli ili walio hai ukiwemo wewe usije kutenda ujinga na upuuzi..

Viongozi kama Hitler, Mobutu Seseseko, Benito Mussolini nk wameandikiwa vitabu vya historia ya matendo yao ya kinyama na kikatili ili viongozi wa dunia ya leo wajifunze kutofanya makosa hayo...

Hatuhitaji wafufuke kuja kujitetea. Watu kama hao akiwemo Magufuli waende na wasirudi kabisa maana wasije kuendelea kuleta machafuko hapa ulimwenguni...
 
Unafikiri wewe unajua na una akili sana kumzidi Prof. Assad?

Hivi unajua marehemu alikuwa nani ktk nchi hii? Unajua ameleta athari kiasi gani kwa sisi tulio hai?

Hasemwi ili aibuke kaburini kuja kujitetea hapa. Na hata akiibuka sasa hakuna atakayemruhusu kujitetea ila moja kwa moja Segerea..!

Tunasema upuuzi na ujinga wa aliyekuwa Rais wa nchi hii Mwendazake Magufuli ili walio hai ukiwemo wewe usije kutenda ujinga na upuuzi..

Viongozi kama Hitler, Mobutu Seseseko, Benito Mussolini nk wameandikiwa vitabu vya historia ya matendo yao ya kinyama na kikatili ili viongozi wa dunia ya leo wajifunze kutofanya makosa hayo...

Hatuhitaji wafufuke kuja kujitetea. Watu kama hao akiwemo Magufuli waende na wasirudi kabisa maana wasije kuendelea kuleta machafuko hapa ulimwenguni...
Ndio mkuu nina akili sana kuliko Prof.Asad.

Kipimo cha kwanza kidogo tu,

Yeye anabishana na marehemu wakati anajua hawezi kumjibu, hiyo ni akili au matope.
 
155 Reactions
Reply
Back
Top Bottom