Somoche
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 6,146
- 7,002
KUNA clip moja inasambaa naona Assad akitaja Phases za Stiglers Gorge...Na anasema kabisa "Nakumbuka Report inasema"
Ina maana aliisoma report au alikua na access na hizo taarifa za Stiglers...Lakini akasema juzi kwamba hakuwahi kupata hizo report ....Sasa sijajua ni report ipi alitakiwa kupata...???
Lakini kingine ni kwamba mimi simtetei Magufuli au simanishi makosa hayakuepo tena mengi makubwa na uonevu mwingi...Ukiwasikia wafanyabiashara wanalia kilio chao..wanasiasa wanalia kilio chao. Wakulima wanalia mazao ni yao wamelima wenyewe lakini wakazuiliwa kuuza wanakotaka..Hivyo basi Kila mtu alikumbana na yake lakin tusimsingizie Marehemu uongo jameni.
KAMA KUNA kitu unajua sio kweli basi usitende dhambi hata kama baadhi ya wateule wake waliumiza sana watu kwa uongo.