Prof. Mukandala afanya kufuru UDSM

Jamani wala sishangai mie nilikutana na V8 yake iko na dereva tu inapelekwa kijijini kwajili ya mizunguko yake. Shughuli za kijiji zikiisha inarudishwa dsm. Umwinyi huu jamani??? devera haruhusiwi kutoa lift hata akute majeruhi barabarani atachafua ngali.
 
Unaona sasa....wewe umezaliwa lini kwani?

Kutoka mwaka 1980 - 1988 vice chancellor wa UDSM alikuwa Nicholas Kuhanga! Bonyeza hapa uongeze ufahamu wako.

Alikua mtumishi mwadilifu sana sasa hivi serikali hii imemsahau... Mukandara chukua chako mapema nchi hii haina fadhila....
 
kwa mpango wa nyumba function zote za kichuo mukandala inabidi akaribishe wageni katika makazi rasmi ambayo ni hiyo nyumba hapo so nadhani kuhusu nyumba ni utaratibu kisheria wa chuo labda tuongeleee ufisadi mwwingine uliokubuhuu
 
aliagiza magari yake mawili ya kifahari aina ya V8 kutangulia Iringa kumpokea yakiwa 'full tank' na bila mtu yeyote ndani yake

Kwenye nyekundu ulidanganya uma

Kwa hiyo hayo magari yalikuwa yanajiendesha yenyewe?
 
we kilaza nyamaza wewe...we lini umesoma udsm?we si mbeba box mbele baada ya kufeli tz?acha mada zinazohusu wasomi wadiscuss wasomi nyani wewe..
 
Dah! nilipofungua nilifikiri jamaa kafanya ufisadi mkuubwa kumbe milioni 4 tu kwako ndo kufuru je ukisikia wizi wa kule Open University utasemaje? Hiyo amount ni ndogo sana kumbuka yule ni mtu mkubwa kukodi ndege ni kawaida tu tena hapo kabana sana matumizi wanaokula mabilioni na tusemeje kama milioni 4 ni kufuru?
 
Waache kazi hawalipwi mishahara yao?
 
Bado viongozi wanataka tuamini nchi yetu masikini. Mia
 
Maisha ndivyo yalivyo nchi yenye mmomonyoko wa maadili unategemea nini, tumia kadili uwezavyo muda wako ukiisha unaondoka, ni lini umewahi kusikia viongozi wanafungwa kwa matumizi mabaya ya ofisi? Hii ndo tanzagiza
 
Acheni wivu nyie,walaumun baba zenu kwa kucheza disco na ubaba na mama wakati mwenzao akiwa maktaba anakula buku,leo anachuma matunda yake mnaanza lalama,M8 sio kitu uliza UD inaingza shi ngapi chin ya utawala wake?lazma ale jasho lake axhen chuki
 
Siyo rahisi kumwondoa. Huyu ni mpiga debe wa chama chake yeye na Bana. Ndiyo maana wanaanzisha tafiti zisizokuwa na kichwa wala miguu ili tu matokeo yafurahishe wahafidhina.
 
Acheni wivu nyie,walaumun baba zenu kwa kucheza disco na ubaba na mama wakati mwenzao akiwa maktaba anakula buku,leo anachuma matunda yake mnaanza lalama,M8 sio kitu uliza UD inaingza shi ngapi chin ya utawala wake?lazma ale jasho lake axhen chuki

Bila shaka wewe ni Mukandala mwenyewe. Hakuna anayeweza kutetea huu uozo na wizi wa mchana kweupe isipokuwa aliyeutenda.
 
Acheni wivu nyie,walaumun baba zenu kwa kucheza disco na ubaba na mama wakati mwenzao akiwa maktaba anakula buku,leo anachuma matunda yake mnaanza lalama,M8 sio kitu uliza UD inaingza shi ngapi chin ya utawala wake?lazma ale jasho lake axhen chuki

Kwa maelezo yako ni sawa na kuruhusu mshenga alale na mkeo kwa sababu yeye ndiye aliyepeleka posa iliyokufanya umpate huyo mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…