Prof. Muhongo kutangaza nia Juni 2 mjini Musoma

Prof. Muhongo kutangaza nia Juni 2 mjini Musoma

Mkuu muhongo sio mchafu alichafuliwa kutoka na ujeuri wake wa kikurya kwa matajiri,ndio hukuona Jina lake katika watu walioingiziwa pesa kwenye akaunti kama mama tibaijuka

Unawafahamu Beneficiaries wa Stanibic?
 
shost umesomeka ili jifunze kuandika utaeleweka tu!!! Mara Wachagga, Mara Lowassa, Mara Mengi... Mzungu kwako ndo wa maana sana! avatar yako haiendani na viroba unavyotumia ... dhulma dhidi ya Rasilimali za watanzania zitawatokea puani muda si mwingi... TPDC wameweza nini chenye maslahi kwa wananchi? STAMICO? ...kumbe ww mwehu?...

Yani wewe bonge la zombie, eti tpdc wameweza nini hahahaahaa nenda pale ukafanye kazi zao ndio utajua kama huwa wanaenda kucheza karata ofisini ama la. Kuhusu stamico hujasikia kuwa wameweza kuanzisha mgodi mkubwa wa dhahabu huko biharamulo ukiendeshwa na kampuni ya kizawa yenye wazawa ya stamigold??? Anyway huwezi jua sababu wewe ni hater uliyejaa stress za maisha, kila kitu kwako ni negative.
 
Ikulu kuingia mla rushwa ni sawa na kuchukua mchwa ukamtia kwenye magogo, matokeo yake mmmmmm

Kala rushwa kiasi gani, kama una ushahidi nenda mahakamani, vinginevyo wewe ni kibaraka wa wapenda vitalu vya bure
 
lini chenge? au anamsuport rafiki yake?

Muhongo hana urafiki na mwizi yeyote, hata hao kina zitto wanamjua ni mtu safi ndio maana hakumtaja popote kachukua shilingi ngapi hahahhaha!!! Unajua nyie wapiga dili mnaona nchi haitakalika ndio maana mnajitahidi kumchafua hahahahahah
 
Tuambie wewe ni.kina nani na.kiasi walichochota, vinginevyo hufai kuitwa great thinker, unaongea kwa hisia, huna facts. Kaa kimya

Wewe ndio Great Thinker sasa hapo unajiona? Mtu gani huwezi kukubali kutokubaliana? Ulitaka niitikie ndio Mzee kila unachosema? Huwa mnaingia humu JF kufanya nini kama hamuwezi majadiliano? Idiot!
 
TAMKO LA PROF MUHONGO LA KUOMBA RIDHAA YA WANA-CCM NA WATANZANIA WENGINE WOTE YA KUONGOZA TAIFA LETU:
Prof Muhongo atatoa Tamko lake kati ya tarehe 2 Juni 2015. atatoa Tamko lake juu ya Tanzania Ijayo (2015-2025++) kabla ya kuchukua Fomu. Wana-CCM wanaombwa wajitokeze kumdhamini Prof Muhongo muda ukiwadia. Taarifa hii mpatie mwenzako. TANZANIA YAKO, TANZANIA YETU.
Pesa za eskroo siyo za watanzania by prof. Muhongo et-al
 
Muhongo hana urafiki na mwizi yeyote, hata hao kina zitto wanamjua ni mtu safi ndio maana hakumtaja popote kachukua shilingi ngapi hahahhaha!!! Unajua nyie wapiga dili mnaona nchi haitakalika ndio maana mnajitahidi kumchafua hahahahahah
Kwanini aliachia ngazi?
 
Povu linavyokutoka utadhani una kiwanda cha OMO mdomoni! Ndio tulishasema sasa HAFAI!

Hahhhhaha povu lakutoka wewe ulokuja kubwabwaja humu. Na sie tushasema anafaaaaaaa hahahaa!!lazima mkimbie
 
Ni haki yake ccm tuna demokrasia ya kweli.Na bado tunamshawishi Chenge nayeye atangaze nia.acha wapinzani wabaki na porojo za ufisadi.CCM hatuna ufisadi ni ujanja wa mtu mengine majungu.

Hivi kuonyesha mihemko ndio demokrasia kwako?
 
Muhongo katimuliwa kazi kwa kuzembea kuongoza wizara yake,leo hii anautaka urais?

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Muhongo! Wizara imemshinda Nchi ndio ataiweza? Aende akawasujudie hao matajiri atuache sisi Wauza juice lol!
 
Si ndio hao kina Bill Gates.Sasa wauza juice na Professa wapi na wapi!

Hivi kumbe kuuza juisi ni umasikini eee, hahaha basi kina ceres watakuwa masikini zaidi. Hahahahah wabongo bana yani mtu ukipewa option ya biashara oooh nimedharauliwa, mbona azam anafanyia kazi ushauri wa muhongo na sasa wakulima wetu wanafaidika kwa kuuza matunda. Nyie mnaosubiri vitalu vya bure endeleeni kulalamika
 
Hahhhhaha povu lakutoka wewe ulokuja kubwabwaja humu. Na sie tushasema anafaaaaaaa hahahaa!!lazima mkimbie

Wewe hapo ndio umepagawa haswa,ulidhani ukileta hii Mada tutaitikia ndio Mzee,ndio tushasema sasa HAFAI!
 
Mbona umemsahau presidaaa alikomelea msumari kwenye hiyo kauli???? Mlitaka mtumie umeme wa bure bila kulipa, mtaolewaaaa
Taneso wakataa re-calculation!!!!, ulanguzi wa umeme (Prof. Mwizi)
 
Back
Top Bottom