Prof. Muhongo kutangaza nia Juni 2 mjini Musoma

Prof. Muhongo kutangaza nia Juni 2 mjini Musoma

Unafanya kosa kufikiri kuna mtu anamvizia mtu! matendo yao maovu ndio yanawamaliza.

hakuna nyota wala mwezi hapa. Ni kazi tu record safi na uadilifu. Raisi wa nchi hatakiwi kuwa mtu watu wanamashaka naye.

Kama unampenda sana mfanye mlinzi wako utamuona kila siku.
 
Prof Muhongo.jpg
 
Back
Top Bottom