Prof. Muhongo kutangaza nia Juni 2 mjini Musoma

Prof. Muhongo kutangaza nia Juni 2 mjini Musoma

Wote wanao tangaza Nia hakuna hata anayefaa Hahaha chi chi em kweli kinakufaaa
 
Ni haki yake ccm tuna demokrasia ya kweli.Na bado tunamshawishi Chenge nayeye atangaze nia.acha wapinzani wabaki na porojo za ufisadi.CCM hatuna ufisadi ni ujanja wa mtu mengine majungu.

mimi namtaka chenge apige kengeza moja tu tanzania tunakula asali na maziwa
 
Of all the people, Muhongo! Hii ni dharau kubwa kwa Watanzania, tumefanywa jalala!

Mkuu muhongo sio mchafu alichafuliwa kutoka na ujeuri wake wa kikurya kwa matajiri,ndio hukuona Jina lake katika watu walioingiziwa pesa kwenye akaunti kama mama tibaijuka
 
Hahahaha aisee nasikia raha na hivi vituko, mpaka October ifike, kutakua na vitimbi tosha!
 
Ni haki yake ccm tuna demokrasia ya kweli.Na bado tunamshawishi Chenge nayeye atangaze nia.acha wapinzani wabaki na porojo za ufisadi.CCM hatuna ufisadi ni ujanja wa mtu mengine majungu.

Kazi ipo
 
CCM nacho ikubali ina rasilimali watu myu kama Muhongo si wakumpoteza kabisa huyu katika nchi yetu inayotegemea gas kwa sasa hawa wachaga wasitusumbue.
 
Back
Top Bottom