Prof. Muhongo kutangaza nia Juni 2 mjini Musoma

Prof. Muhongo kutangaza nia Juni 2 mjini Musoma

Hiv n kwel prof muhongo nae yumo...?


Ni kweli yumo na taarifa sahihi ndo hiyo June. 2 Musoma na itarushwa na Star TV Channel Ten Clouds TV na Radio. Azam TV. Mwache aongee tumsikie tuamue wenyewe
 
TAMKO LA PROF MUHONGO LA KUOMBA RIDHAA YA WANA-CCM NA WATANZANIA WENGINE WOTE YA KUONGOZA TAIFA LETU:
Prof Muhongo atatoa Tamko lake kati ya tarehe 2 Juni 2015. atatoa Tamko lake juu ya Tanzania Ijayo (2015-2025++) kabla ya kuchukua Fomu. Wana-CCM wanaombwa wajitokeze kumdhamini Prof Muhongo muda ukiwadia. Taarifa hii mpatie mwenzako. TANZANIA YAKO, TANZANIA YETU.

Muhongo katimuliwa kazi kwa kuzembea kuongoza wizara yake,leo hii anautaka urais?
 
Of all the people, Muhongo! Hii ni dharau kubwa kwa Watanzania, tumefanywa jalala!

Weeeeeeeee. Jalala aache kuwa Lowassa akawe Muhongo. we.ndio hujitambui kabisa. niambie.sabab za kusema hivyo halaf usemw kwann Lowassa na.Kwann Mwigulu na.Wasira. Hahahaha we ndo sijui.umeokotwa wapi wewe duh hahahahajahja.
 
Utamu wa escrow umemkolea anataka auze taifa.
Hivi kuna mtu mwenye akili timamu atamuunga mkono huyu fisadi?
 
Dalali naye anatangaza nia za kugombea uraisi?
 
wanatuona mazombie ... EHM mwenye kutamani Gas imilikiwe na Wazungu, Kuwadi wa Rasilimali zetu leo eti na yeye anautaka Urais!!! Grrrrrrrrrrrrrrr

Acha unafiq mtt wa kiume vilitolewa vigezo vya umiliki wa vitaru akatangaza mwenye uwezo huo aende tpdc we ulitaka ampe mengi hata kama uwezo hana. Yale mambo ya kitaalam na yanaenda kitaalam sio kisiasa nyambafff.
 
Back
Top Bottom