Prof. Muhongo kutangaza nia Juni 2 mjini Musoma

Kwanini aliachia ngazi?

Kuachia ngazi si dhambi, na viongozi wengi wanafanya hivyo hata pale wasipohusika na kitu mojamoja, ili mradi kiongozi huyo alikuwa anasimamia hiyo sekta. Mbona mwinyi alijiuzulu na baadaye akaja kuwa rais wa nchi hii. Wewe wajua muhongo ni mtendaji na mchukia rushwa.
 
Wewe hapo ndio umepagawa haswa,ulidhani ukileta hii Mada tutaitikia ndio Mzee,ndio tushasema sasa HAFAI!

Nani anayeleta mada ili aitikiwe ndio,.mada inaletwa ili ijadiliwe kwa hoja, lakini si upuuzi wa vijembe na taarabu kama ufanyavyo wewe, nimetoa taarifa kama haikuhusu pita pembeni. Nasema anafaa, na si lazima ukubaliane na mimi mburula
 
...sasa nimeipata bigger picture...watu hawa waliiba ile hela ya escrow ili waitumie kugombea nafasi za uongozi...kwa maana ya urais....woote hawa watangaza nia ccm seems wanatumia hela waliyokwapua....otherwise wanatoa wapi hela ya kufanya mikutano mikubwa ya kutangaza nia tu ilhali wala hawajui kama watapitishwa huko CC/NEC?....watanzania tumefanywa mabwege sana....
 
Huwa siwataki wanaume wenye kubana pua! Kampuni zenye hela zao? umekuwa Malaya wa kuuza Rasilimali zetu? Angalia Thailand, China, Russia, Botswana, Libya ya Ghaddafi walivyokuwa wana manage Rasilimali zao! We mbulula Dhahabu imetunifaisha nini? Almasi ya Mwadui? Wehu kama nyie mnastahili kunyongwa hadi kufa ... Itoshe kusema kuwa mali iiyoko kwenye ardhi ya Watanzania inapaswa iwe collateral tosha siyo miembe, minazi na maparachihi iliyoko juu ya ardhi mnayotumia kuwadhulumu wananchi ... Thamani ya Gas iliyoko chini ya Bahari ndo mtaji wa watanzania.. Unajua Ophir Gas wametengeneza kiasi gani? ... ww Unawashwa na mimi siwzi kuku saidia ... KUWADI wenu Muhongo anastahili kuwa Keko ...
Wewe kilaza sana, acha kulalamika nyuma ya keyboard, kama una uwezo nenda tpdc, mkiwekewa matangazo muapply vitalu mnanyuti kimyaaa, kampuni zenye hela zao zikipata tenda mnalalamika. Amka acha kulialia wewe, hakuna vitalu vya bureeee
 
Mwanzoni nilidhani naongea na toto lenye jinsia ya kiume kumbe umeongezea na viroba... Mgodi Mkubwa Biharamule aka Tulowaka?!!!! Grrrrrrrrrrr Barrick walikuwa wanatakiwa kulipa 25% ya mapato ya mgodi zitumike kwenye kufunga huo Mgodi ili ardhi irejeshwe kama ilivyokuwa kabla ya ufunguzi wa mgodi ikiwa ni pamoja na kuboresha mazingiza ... Badala ya kulipa 25% ya mapato yote katika uhai wa Mgodi akina Muhongo et al wamechikichia hizo fedha ambazo wanazitumia sasa kuwanunua Malaya wa siasa kama ninyi... Walifanya the same kwa Mgodi wa Resolute kule Nzega!!! ... Muhongo anastahili Kunyongwa... Watanzania hawajasahau ESCROW yake!!! Yale mashamba kule Makiba amenunua kwa fedha zipi zaidi ya UFISADI wake ?... Huyu Kuwadi WAZUNGU worshipper unaweza beba mimba yake kama unampenda sana...
Yani wewe bonge la zombie, eti tpdc wameweza nini hahahaahaa nenda pale ukafanye kazi zao ndio utajua kama huwa wanaenda kucheza karata ofisini ama la. Kuhusu stamico hujasikia kuwa wameweza kuanzisha mgodi mkubwa wa dhahabu huko biharamulo ukiendeshwa na kampuni ya kizawa yenye wazawa ya stamigold??? Anyway huwezi jua sababu wewe ni hater uliyejaa stress za maisha, kila kitu kwako ni negative.
 
Kuachia ngazi si dhambi, na viongozi wengi wanafanya hivyo hata pale wasipohusika na kitu mojamoja, ili mradi kiongozi huyo alikuwa anasimamia hiyo sekta. Mbona mwinyi alijiuzulu na baadaye akaja kuwa rais wa nchi hii. Wewe wajua muhongo ni mtendaji na mchukia rushwa.
Tafakari, Taneso wamekataa re-calculation, Unafikiri ni kwanini?
 
so far this is the only person anaweza kutusaidia katika watangaza nia wa ccm. anajiamini mkweli apindishi pindishi mambo kwa uchumi wa mafuta na gesi tutafaidika zaidi tukipata mtu anayejielewe siyo wenye akili za kushikiwa . ningependekeza ccm waweke mdahalo ili Prof awamalize kwa KO. watu wachaguliwe kwa uwezo wao siyo siasa siasa

go Prof go
 
Akafundishe tu chuo kikuu, siasa hawezi
Kwa hiyo wengine warudi kulima , wengine warudi kuandika hotuba, wengine kubeba zege, wengine kwenye hospital za wanawake, wengine kwenye kuvua samaki, wengine darasani, hakuna watu wenye hatimiliki ya uwakilishi katika ngazi yoyote ya uongozi kila mtu anaprofessional yake lakini kama anauwezo, utashi na nia basi watanzania tumuunge mkono. Mh Msuya alisema taifa linaitaji mtu mwenye attributes za dictator, anadharau kwa wale wasiojua na wanajidai wanajua kama Mh Sendeka anaongelea oil and gas economy wakati ni form 6 failer, Kiburi kwa mafisadi na kejeli kwa wanasiasa uchwara . kwa tulipo mtu kama Prof Muhongo atatusaidia sana.
 
Huwa siwataki wanaume wenye kubana pua! Kampuni zenye hela zao? umekuwa Malaya wa kuuza Rasilimali zetu? Angalia Thailand, China, Russia, Botswana, Libya ya Ghaddafi walivyokuwa wana manage Rasilimali zao! We mbulula Dhahabu imetunifaisha nini? Almasi ya Mwadui? Wehu kama nyie mnastahili kunyongwa hadi kufa ... Itoshe kusema kuwa mali iiyoko kwenye ardhi ya Watanzania inapaswa iwe collateral tosha siyo miembe, minazi na maparachihi iliyoko juu ya ardhi mnayotumia kuwadhulumu wananchi ... Thamani ya Gas iliyoko chini ya Bahari ndo mtaji wa watanzania.. Unajua Ophir Gas wametengeneza kiasi gani? ... ww Unawashwa na mimi siwzi kuku saidia ... KUWADI wenu Muhongo anastahili kuwa Keko ...

Hahahhaha na wewe kuwadi wa nani bebe, miaka yote mmekalia rasilimali hamjaziendeleza na kuingia mikataba mibovu mkitegemea muhongo afanye wonders ndani ya kipindi kifupi??? Na pale alipojaribu wewe na bwana wako si mmemuundia zengwe nyinyi, acha mliwe sababu mnataka mliwe na wapig hela hahahah. Huna lolote povu linakutoka sababu unajua bwana wako atapata wakati mgumu jembe likiingia ikulu. Endelea kutukana bebe mana ndo unachojua, haahhaah chezea kubaniwa madili wewe
 
Prof Mwongo ni yule mwenye dharau,kibri na ujeuri au!!

Watu wavivu, wanaotaka kubebwabebwa lazima waseme hivyo, ukiwa mtendaji mzuri, na sio mpiga dili, huwezi ona dharau za huyu jembe la jiolojia.
 
Tafakari, Taneso wamekataa re-calculation, Unafikiri ni kwanini?

Mzee weka hizo sababu halafu urudi tujadili usipende kutafuniwa kama kinda bana, watu kama nyie msiopenda kuhangaisha ubongo lazima umchukie muhongo
 
Mwanzoni nilidhani naongea na toto lenye jinsia ya kiume kumbe umeongezea na viroba... Mgodi Mkubwa Biharamule aka Tulowaka?!!!! Grrrrrrrrrrr Barrick walikuwa wanatakiwa kulipa 25% ya mapato ya mgodi zitumike kwenye kufunga huo Mgodi ili ardhi irejeshwe kama ilivyokuwa kabla ya ufunguzi wa mgodi ikiwa ni pamoja na kuboresha mazingiza ... Badala ya kulipa 25% ya mapato yote katika uhai wa Mgodi akina Muhongo et al wamechikichia hizo fedha ambazo wanazitumia sasa kuwanunua Malaya wa siasa kama ninyi... Walifanya the same kwa Mgodi wa Resolute kule Nzega!!! ... Muhongo anastahili Kunyongwa... Watanzania hawajasahau ESCROW yake!!! Yale mashamba kule Makiba amenunua kwa fedha zipi zaidi ya UFISADI wake ?... Huyu Kuwadi WAZUNGU worshipper unaweza beba mimba yake kama unampenda sana...

Hata mi nilidhani naongea na kidume kumbe ni bebe!! Hahahaha! Mbona umepagawa sana binti baada ya kusikia tu jamaa anatangaza nia??? Si kila mtu anahitaji kupiga dili kama bwana wako ili afanye mambo fulani, hizo tuhuma zako za kitoto leta ushahidi kaiba shilingi ngapi kaweka kwenye akaunti gani, n.k hahha si unaona kina zitto waliweka mambo hadharani, nani kaingiziwa shilingi ngapi katika akaunti gani. Acha kubwabwaja,mapema hivi hata chama hakijampitisha bado hahahaha!!! Lov u bebe
 
...sasa nimeipata bigger picture...watu hawa waliiba ile hela ya escrow ili waitumie kugombea nafasi za uongozi...kwa maana ya urais....woote hawa watangaza nia ccm seems wanatumia hela waliyokwapua....otherwise wanatoa wapi hela ya kufanya mikutano mikubwa ya kutangaza nia tu ilhali wala hawajui kama watapitishwa huko CC/NEC?....watanzania tumefanywa mabwege sana....

Acha wivu mtoto wa kiume, si kila mwenye hela kapata isivyo halali, na ukumbuke wanaruhusiwa kuwa na wafadhili awe ccm au ukawa. Usilalamike tu
 
Kisharuala kikikuwasha unatafuta mende wakusugue ... sipendi tabia ya kunibania pua ... Muhongo ni JIZI, FISADI, Wazungu Worshipper, EHM ... hayuko kwa maslahi ya Watanzania ...

Back
Top Bottom