Prof. Muhongo kutangaza nia Juni 2 mjini Musoma

Fedha za ESCROW zinakuzuzua wewe si bure ... hakuna nchi inayoendelea kwa kuwakebehi wananchi wake na kuwajali wazungu ... kama vipi kula ndimu kalale ...
Acha unafiq mtt wa kiume vilitolewa vigezo vya umiliki wa vitaru akatangaza mwenye uwezo huo aende tpdc we ulitaka ampe mengi hata kama uwezo hana. Yale mambo ya kitaalam na yanaenda kitaalam sio kisiasa nyambafff.
 
wapo wengi wanataka kutangaza nia cdm ila hawawezi fanya hivyo watafukuzwa kama zito kwenye saccosi ya kasikazini,
 
Fedha za ESCROW zinakuzuzua wewe si bure ... hakuna nchi inayoendelea kwa kuwakebehi wananchi wake na kuwajali wazungu ... kama vipi kula ndimu kalale ...

Ma mdogo tunaenda kisomi sio kisiasa ukitaka kujuana kwenye maslahi ya nchi mchagueni lowasa wenu mupeane vitaru wachaga hata kama sifa hamna za kumiliki. Muhongo hakukebehi watz na kujali wazungu aliroa sifa za mtu kumiliki kitaru ndugu kusoma hujui? Kama mengi sifa anazo aende tpdc akachukue fomu mbona akwenda na mpaka leo hajaenda?
 
wapo wengi wanataka kutangaza nia cdm ila hawawezi fanya hivyo watafukuzwa kama zito kwenye saccosi ya kasikazini,

Mbowe mwenyewe anataka Mtei na akina Lissu wanaliana timing tu. Lipumba ye ashatangaza tayari tunasubiri wana saccos.
 
ehee! kichaa LISU nae anataka? ambae alimtukana Nyerer amabaye dunia nzima inamueshimu kisa amesoma visheria uchwala, zambi hiyo itamtafuna.
 
Ma mdogo tunaenda kisomi sio kisiasa ukitaka kujuana kwenye maslahi ya nchi mchagueni lowasa wenu mupeane vitaru wachaga hata kama sifa hamna za kumiliki. Muhongo hakukebehi watz na kujali wazungu aliroa sifa za mtu kumiliki kitaru ndugu kusoma hujui? Kama mengi sifa anazo aende tpdc akachukue fomu mbona akwenda na mpaka leo hajaenda?

Muhongo ana tatizo unafiki wa mengi ndo ulimfanya akaondoka kuriko kuzalilisha elimu yake kubishana na vidaga kama mengi
 
Nikikuuliza kaiba nini huyonijibu

Tanzania kunajengeka chuki za bila sababu!! Ukimwambia athibitishe pasina shaka ataanza kujikanyaga tu ooh escrow ooh nini?! Wakati hadi dk ya mwisho hakuna nyaraka zozote zinazoonesha pesa aliyopokea huyu prof. Unlike Tibaijuka, Chenge, Ngeleja et al.
 
Na kwa tabia hizi kwa nini tusiwe masikini? Tunaishi kama wake wenza bwana mambo ya maana tunaleta siasa na kujuana nani chadema ana uwezo kulinganisha na Muhongo?
 
Duh, 2015 imekuwa vioja.kwli JK apewe pongezi kwa kuufanya uraisi kuwa accessible.

Vyama vya upinzani mnatuangusha, ni aibu kwa chama tawala kuonesha demokrasia ya hali ya juu kuliko nyie wapinzani, wagombea wenu ni wepi?au ni wale wale walioshindwa na Mkapa na JK?

Kula like za kutosha kimweri
 
shost umesomeka ili jifunze kuandika utaeleweka tu!!! Mara Wachagga, Mara Lowassa, Mara Mengi... Mzungu kwako ndo wa maana sana! avatar yako haiendani na viroba unavyotumia ... dhulma dhidi ya Rasilimali za watanzania zitawatokea puani muda si mwingi... TPDC wameweza nini chenye maslahi kwa wananchi? STAMICO? ...kumbe ww mwehu?...
Ma mdogo tunaenda kisomi sio kisiasa ukitaka kujuana kwenye maslahi ya nchi mchagueni lowasa wenu mupeane vitaru wachaga hata kama sifa hamna za kumiliki. Muhongo hakukebehi watz na kujali wazungu aliroa sifa za mtu kumiliki kitaru ndugu kusoma hujui? Kama mengi sifa anazo aende tpdc akachukue fomu mbona akwenda na mpaka leo hajaenda?
 
shost umesomeka ili jifunze kuandika utaeleweka tu!!! Mara Wachagga, Mara Lowassa, Mara Mengi... Mzungu kwako ndo wa maana sana! avatar yako haiendani na viroba unavyotumia ... dhulma dhidi ya Rasilimali za watanzania zitawatokea puani muda si mwingi... TPDC wameweza nini chenye maslahi kwa wananchi? STAMICO? ...kumbe ww mwehu?...

Siku itajapo fika kila MTU ampigie wake then tuone hayo matokeo yatazid 50%....
 
Ikulu kuingia mla rushwa ni sawa na kuchukua mchwa ukamtia kwenye magogo, matokeo yake mmmmmm
 
Utamu wa escrow umemkolea anataka auze taifa.
Hivi kuna mtu mwenye akili timamu atamuunga mkono huyu fisadi?

Wewe kama great thinker dadafua ufisadi wake hapa, sio unaimba kama kasuku, taja wapi au mamlaka ipi imesema kaiba nini na shilingi ngapi
 
Na ccm wampitishe tu tuwafunge wezi wa nchi hii
 
Ndio hivyo tena unashangaa? Hao ndio viongozi kutoka chama kikongwe

Utatoa macho sana, mlifikiri mtamzima kwa zengwe lenu la escrow hahhahhaha the man is here to rule!!!
 
wanatuona mazombie ... EHM mwenye kutamani Gas imilikiwe na Wazungu, Kuwadi wa Rasilimali zetu leo eti na yeye anautaka Urais!!! Grrrrrrrrrrrrrrr

Wewe kilaza sana, acha kulalamika nyuma ya keyboard, kama una uwezo nenda tpdc, mkiwekewa matangazo muapply vitalu mnanyuti kimyaaa, kampuni zenye hela zao zikipata tenda mnalalamika. Amka acha kulialia wewe, hakuna vitalu vya bureeee
 
Back
Top Bottom