TAMKO LA PROF MUHONGO LA KUOMBA RIDHAA YA WANA-CCM NA WATANZANIA WENGINE WOTE YA KUONGOZA TAIFA LETU:
Prof Muhongo atatoa Tamko lake kati ya tarehe 2 Juni 2015. atatoa Tamko lake juu ya Tanzania Ijayo (2015-2025++) kabla ya kuchukua Fomu. Wana-CCM wanaombwa wajitokeze kumdhamini Prof Muhongo muda ukiwadia. Taarifa hii mpatie mwenzako. TANZANIA YAKO, TANZANIA YETU.
mimi namtaka chenge apige kengeza moja tu tanzania tunakula asali na maziwa
Hawa jamaa wanatuona wajinga Sana au....
Kura atapigiwa na nani? Na hawa watanzania ambao uwezo wao ni wakutengeneza juice tu?
Of all the people, Muhongo! Hii ni dharau kubwa kwa Watanzania, tumefanywa jalala!