Prof. Muhongo kutangaza nia Juni 2 mjini Musoma

huyu jamaa si ndiye aliyesema Watanzania wanaweza kuuza maandazi na kutengeneza juisi, hawauweai uchumi wa gesi. Itaifanyia Tanzania???
 
Bila kuficha huyu jamaa anaweza, mpaka sasa sijaona wa kumfananisha nae kielimu, uzoefu kazini nje na ndani ya nchi, ni mchapakazi mzuri tu sema watu tumezoea kubuluzwa tu,
 
Hii nchi hii haiishi vituko! huyu jizi bichi kabisa kinakwenda wapi tena
 
Jamaa baada ya kuonja asali ya mambo ya siasa na utamu wa deals anataka achonge mzinga, hivi ndugu muhongo kwa nini ulingoja mpaka upigigwe starter ndio uingie kwenye siasa , ulikua unasubiri ubebwe, nini hasa kinakusukuma kugombea urais wakati hata uduwani hukuwahi.
 
Prof Lipumba ajawai ata kuwa diwani wa kuteuliwa. Kila mtu anahaki ya kuchagua na kuchaguli. Ata mkimponda vip Prof huwezi kumfananisha na watia nia wengine.
 
Anauchizi upi unaouona wewe. Watu kwenye mmezoea watu wa ajabu akija mtu genuine mnaweweseka.

Mtetee badala ya kunishangaa!
Mimi naona hafai, alitetea wezi, alishiriki uhujumu, hafai! ikulu sio nyumba ya wahujumu na wenye kashafa za ufisadi.
Ikulu sio sehemu ya watu walioshindwa wizara na kufukuzwa, kwa lugha yeyote ile hawezi kutuongoza watu zaidi 45 milioni kama alishindwa kuitetea Escrow isipigwe au walau kusema tu ule ni wizi!
Hafai hafai.

Pili utaongwazwa vipi na anayeamini sisi tunachoweza ni kuuza juice tu??
 
Kaka mkwawa, hakutetea watu mtemtendaji mkuu kwenye wizara ni kakatibu mkuu na jambo la IPTL liliachiwa kwa bodi ya TANESCO. Yeye kama waziri alichapa kazi sana tu n we all know that. Swala la escrow rais alilizungumza pole pole kwamba pesa mbazo labda zipo niza kodi lakini pale hatukua na letu namnukuu mh rais "bodi ya Tanesco hawana solve the problem but wali manage problem"

Prof Muhongo ni mchapa kazi na mlinzi wa mali zete na ni hodari kweli kwel.Tatizo watu wameliswa sumu na vyombo vya habari vya madalali.

Kama Prof ni fisadi watu walete ushaidi kama hamna ushaidi basi zinabaki ni story za kijiweni.
 
Kisharuala kikikuwasha unatafuta mende wakusugue ... sipendi tabia ya kunibania pua ... Muhongo ni JIZI, FISADI, Wazungu Worshipper, EHM ... hayuko kwa maslahi ya Watanzania ...

Maskini baby girl najua joto limekupanda, hahaha, mi siwezi mchezo unaoutaka wewe bana. Wewe wape haohao waliokutuma hahaha matusi yako hayatasaidia kumzuia muhongo kutangaza nia. Ila usiwashwe sana my bebe. Huu mchakato ni wa ngazi ya chini kwa sasa kwa wezi wa vitalu kama wewe kupagawwa hahahahha!! Lov u
 
huyu jamaa si ndiye aliyesema Watanzania wanaweza kuuza maandazi na kutengeneza juisi, hawauweai uchumi wa gesi. Itaifanyia Tanzania???

Weka sauti hapa akisema hayo. Acha kampeni chafu, mnaburutwa na wezi waliokatiwa mirija wizara ya nishati na nyie mnadakia kama mazombie.
 
Hii nchi hii haiishi vituko! huyu jizi bichi kabisa kinakwenda wapi tena

Mbona mkiulizwa kaiba nini na wapi hamna jibu?? Na wewe unajiita great thinker unaargue bila facts??? Sasa ukiitwa ndorobo utakataa??
 
Hahahaha mkuuu unanichekeshaa mbayaaa

Ombeni ccm isimpitishe wezi wote mtachekea chooni hahhaaha!!! Ndio maana hamuishi kumchafua humu, mlifikiri nyota yake inazima kirahisi hahahahahahahah
 
Mtetee badala ya kunishangaa!
Mimi naona hafai, alitetea wezi, alishiriki uhujumu, hafai! ikulu sio nyumba ya wahujumu na wenye kashafa za ufisadi.
Ikulu sio sehemu ya watu walioshindwa wizara na kufukuzwa, kwa lugha yeyote ile hawezi kutuongoza watu zaidi 45 milioni kama alishindwa kuitetea Escrow isipigwe au walau kusema tu ule ni wizi!
Hafai hafai.

Pili utaongwazwa vipi na anayeamini sisi tunachoweza ni kuuza juice tu??

Alitetea mwizi yupi, hivi nyie mlitaka mtumie umeme wa singasinga bila kulipa?? Kama ni kodi, wizara ya fedha na tra walikuwa wapi??? Inaonekana kumbukumbu zako fupi sana, muhongo alijiuzulu hakufukuzwa, mbona mwinyi alijiuzulu na akaja kuwa Rais. Watu wenye akili flat kama wewe unayetetea dili zilizokuwa zikipigwa katika sekta ya nishati ndio mnaomchukia muhongo na kumchafua kwa namna yoyote ile. Ccm ikiamua awaongoze, atakuongoza wewe na familia yako.
 
Safi sana nimependa bandiko lako.

Kwa hiyo unataka kusema Escrow sio wizi?

je tanesco walipewa haki ya re calcution ili kuokoa overcharge tuliyokuwa nayo for years?
Je tanesco ni kitengo cha wizara ya nishati na madini na Prof Kama waziri alikuwa Boss wake?

Je ni kweli mahakama ya kimaitaifa ilikubali tanesco wafanye recalcution?

Je ni kweli kwamba Prof Muhungo na genege la wezi walikataa recalculation ?
Kama ni kweli kwanini?

Je ni kweli kama Prof Muhongo alitetea kwa nguvu zake zote kwamba fedha ya Escrow yote ni ya IPTL?

Je wewe unasemaje Je fedha ya escrow yote ni ya IPTL?

Kila mmoja tumhukumu kwa haki Lets debate - naomba akili yako kubwa mkuu.
 
Mtetee badala ya kunishangaa!
Mimi naona hafai, alitetea wezi, alishiriki uhujumu, hafai! ikulu sio nyumba ya wahujumu na wenye kashafa za ufisadi.
Ikulu sio sehemu ya watu walioshindwa wizara na kufukuzwa, kwa lugha yeyote ile hawezi kutuongoza watu zaidi 45 milioni kama alishindwa kuitetea Escrow isipigwe au walau kusema tu ule ni wizi!
Hafai hafai.

Pili utaongwazwa vipi na anayeamini sisi tunachoweza ni kuuza juice tu??

unatokwa na povu bure ndugu yangu.....muhongo ndio rais
 
Back
Top Bottom