Prof. Mseru, huo ni ufisadi

Prof. Mseru, huo ni ufisadi

Mhimbili ni taasisi, Mkurugenzi hawezi kujipendekeza kuwa mfanyakazi bora, ila menejimenti na Bodi vinaweza kumpendekeza, na kama anastahili kwanini asipewe? Hebu tuacheni hizi roho mbaya,
Mbona Kimei alipewa VX jamani wakati yeye ndiye alikuwa CEO wa CRDB!
 
Wewe ndio mkurugenzi mkuu wa hospitali ya Muhimbili utajipaje ufanyakazi bora na kujipa zawadi ya milioni 7??? Ni nani anayekagua utendaji wako?

Hebu fikiria mshahara wako kwa mwezi ni zaidi ya milioni 25, posho na safari kibao za ndani na nje ya nchi bado tu unakaba hadi penati?

Kuna manesi wengi hapo wanashinda wodini kukamua vidonda na usaha wa wagonjwa kwanini wasipewe ufanyakazi bora?

Kuna vijana hapo Mochwari kila siku wanashinda kupanga na kuosha maiti ila mmeshindwa kutambua mchango wao.

Wakurugenzi acheni ubinafsi.
Well said my friend!!!!!

Leadership/Uongozi ni kuonyesha njia na kuangalia ni nani anaefuata njia uliyoionyesha, halafu anaeifuata hiyo njia vyema anatiwa moyo na kupongezwa!!!!!

Sasa swali linakuja, Prof. Maseru kaonyeshwa njia na nani ambae ndiye alietakiwa kumpongeza Prof. Maseru??

Kwa maana hivyo basi, kwasababu Prof. Maseru ndiye kiongozi wa ngazi ya juu pale Muhimbili National Hospital kama Mkurugenzi Mkuu, basi yeye alitakiwa awapongeze na kuwatia moyo walio chini yake, na sio alivyofanya.

Prof. Maseru ajitafakari kwa Professorial eyes!!!😆😆😆😆
 
Mshahara wake milioni 5 hauzidi ... Hiyo 25 umetoa wapi
 
Huyu ndiye aliyekuwa anasema tbc kuwa covid ni sawa na mafua tu haina madhara ili tu kujipendekeza kwa Magu. No wonder kuona uhuni huu uliofanyika.
 
Wewe ndio mkurugenzi mkuu wa hospitali ya Muhimbili utajipaje ufanyakazi bora na kujipa zawadi ya milioni 7??? Ni nani anayekagua utendaji wako?

Hebu fikiria mshahara wako kwa mwezi ni zaidi ya milioni 25, posho na safari kibao za ndani na nje ya nchi bado tu unakaba hadi penati?

Kuna manesi wengi hapo wanashinda wodini kukamua vidonda na usaha wa wagonjwa kwanini wasipewe ufanyakazi bora?

Kuna vijana hapo Mochwari kila siku wanashinda kupanga na kuosha maiti ila mmeshindwa kutambua mchango wao.

Wakurugenzi acheni ubinafsi.
uko sahihi mkuu
 
Nachosema mabosi wote waliojilipa hela ya mfanyakazi Bora warudishe hizo hela maana huo nao ni wizi wa wazi wazi maana hawakwati kwenye mishahara yao na hawaruhusiwi kujiunga kwenye vyama vya wafanyakazi wala kugombea nafasi za kwenye vyama vya wafanyakazi.
 
Mshahara mpya au maana wote walipunguziwa isizidi m 15
Duuu Kwa mshahara huu kila baada ya miezi 2 anaweza jenga nyumba ya maana ya kutufaa sisi walalahoi. The World is very unfair.
 
Wewe ndio mkurugenzi mkuu wa hospitali ya Muhimbili utajipaje ufanyakazi bora na kujipa zawadi ya milioni 7??? Ni nani anayekagua utendaji wako?

Hebu fikiria mshahara wako kwa mwezi ni zaidi ya milioni 25, posho na safari kibao za ndani na nje ya nchi bado tu unakaba hadi penati?

Kuna manesi wengi hapo wanashinda wodini kukamua vidonda na usaha wa wagonjwa kwanini wasipewe ufanyakazi bora?

Kuna vijana hapo Mochwari kila siku wanashinda kupanga na kuosha maiti ila mmeshindwa kutambua mchango wao.

Wakurugenzi acheni ubinafsi.
Utumishi wa umma kwa taifa hili unakatisha tamaa sana, ni bora kwenda kulima bangi. Tumeweka siasa kwenye utendaji kazi
 
Back
Top Bottom