ibramy
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 641
- 972
Yani wanasema mwenye nacho ataongezewa ndo hii ya mkurugenzi
Huyu mzee katisha.
Huyu mzee katisha.
Inauma sana mkuu.
Heee!!uliamini zile propaganda za meko?!!mbona mala nyingi tu alikuwa bado anasema unakuta mtu anajilipa milioni 30, lakini bado haridhiki tu!!watu wengi tu bado wanapata mishahara hiyo .Mshahara mpya au maana wote walipunguziwa isizidi m 15
Mhimbili ni taasisi, Mkurugenzi hawezi kujipendekeza kuwa mfanyakazi bora, ila menejimenti na Bodi vinaweza kumpendekeza, na kama anastahili kwanini asipewe? Hebu tuacheni hizi roho mbaya,
Mbona mwandiko wako kama wa Prof. Mseru?Kwani ni yeye amejipa au ni watu waliomchagua mkuu, akipendekezwa yeye awakatalie kisa ana mshahara huo mbona viongozi wengine hupewa tuzo na wapo wa chini yao wanaopiga mzigo wa kutosha
Vipi kama siyo mkurugenzi kuhakikisha vifaa vyote vinakuwepo hao manesi wangekamua majipu with bare hand, bila gloves hao wa mochwari wangeweza kutunza maiti bila vifaa tujaribu kuappreciate siku mojamoja siyo kila kitu kupinga tu vipi angekuwa mfanyakazi bora kila mwaka si ndiyo ungeandika hii hbr majukwaa yote mpk JF Chef mkuu
Ha ha ha hapana mkuu mimi siye ila umenichekesha kweli, ila penye ukweli tuusemeMbona mwandiko wako kama wa Prof. Mseru?
Unajua Muhimbili ina watumishi wangapi? Unajua kazi zinazofanyika hapo Muhimbili na vitengo vyake? Unajua kuna watu wanahangaika usiku kucha mawodoni wakati mkurugenzi anakula kiyoyozi na kupokea tu ripoti za watu wa chini?Mhimbili ni taasisi, Mkurugenzi hawezi kujipendekeza kuwa mfanyakazi bora, ila menejimenti na Bodi vinaweza kumpendekeza, na kama anastahili kwanini asipewe? Hebu tuacheni hizi roho mbaya,
Kuna level ukifikia vitu vidogo vidogo unapotezea tu. Angewaachia manesi au wale wahudumu wanaofua damu au uharisho wa wagonjwa kwenye mashuka.Kwani ni yeye amejipa au ni watu waliomchagua mkuu, akipendekezwa yeye awakatalie kisa ana mshahara huo mbona viongozi wengine hupewa tuzo na wapo wa chini yao wanaopiga mzigo wa kutosha
Vipi kama siyo mkurugenzi kuhakikisha vifaa vyote vinakuwepo hao manesi wangekamua majipu with bare hand, bila gloves hao wa mochwari wangeweza kutunza maiti bila vifaa tujaribu kuappreciate siku mojamoja siyo kila kitu kupinga tu vipi angekuwa mfanyakazi bora kila mwaka si ndiyo ungeandika hii hbr majukwaa yote mpk JF Chef mkuu
Mkuu umeongea kama upo kichwani mwangu. Yeye ana maposho na masafari kibao.Sio roho mbaya mkuu inafahamika mkurugenzi ni msimamizi wa taasisi tajwa.... Kwa mshahara mnono anaojipatia itoshe kusema hakustaili iyo zawadi" yeye kuonekana anafanya vizuri ni watendaji wake ndo wamefanya yeye aonekane mzuri au sio????! Sasa tulitamani hawa waliomfanya aonekane anafanya vizuri ndo wapewe iyo zawadi na sio roho mbaya... Roho mbaya ni mtu mmoja kutaka kila dili ale kwani yeye kama mkurugenzi ana posho nyingi,vikao,semina, hii ilikuwa ni kwa watumishi wake wa kawaida kabisa madoctor na nesi
Mkurugenzi, manesi na watu wa mochwari kimajukumu na kimamlaka ni watu tofauti sana, huwezi kuwashindanisha kwenye category moja.....mkurugenzi utamshindanisha na wakurugenzi wenzake.Ila mfanyakazi bora alitakiwa mmoja tu. Shortcut ni kumpa bosi, si ndio mkuu?
Nlishawahi kufanya kazi sehemu miaka zaidi ya 7 alikuwa anajipendekeza mtu wa masijala. Pia hata hawa viongozi wa vyama vya wafanyakazi huko halmashauri wengi ni watu wa masijala. Sasa mtu wa masijala anaweza mtetea afisa kweli??? Ndo mana ikifika siku ya may mosi baada ya tshirt na kofiia hakuna kipyaaHa ha ha hasa ukikaribia kustaafu.
Tena ukikaribiaa kasi inaongezekaaa mzeeHa ha ha hasa ukikaribia kustaafu.
Wewe Prof.Mseru pokea hiyo challenge. jibu swali la msingi ni nani aliyekupebdekeza wewe kwamba ni mfanyakazi bora.Thibitisha kama hujapendelewaKwani ni yeye amejipa au ni watu waliomchagua mkuu, akipendekezwa yeye awakatalie kisa ana mshahara huo mbona viongozi wengine hupewa tuzo na wapo wa chini yao wanaopiga mzigo wa kutosha