Prof. Mbele amtolea Uvivu Mwigulu Nchemba

Prof. Mbele amtolea Uvivu Mwigulu Nchemba

Kwani Dj alifika hata hiyo high school?

Au kupiga disco nako ni high school

km hakufika halfu ni soo kuliko walio maprof..na madr..ni wazi kuwa hakuw an ahaja ya kufika huko.NI wazi kuwa hupaswi jipima naye kwa lolote.
 
Mwigulu unashangaza sana umma.kwanza neno lenyewe umecopy na kupaste"akili ndogo kutawala akili kubwa"from mchungaji peter msigwa akifyatuka bungeni youtube june"ignorance will never govern enknowledge"george matson.inawezekana kwa ufinyu wa elimu yako ya kukariri hata neno hili umekariri but kimatumizi na kimuktadha hujui hata kulitumia kwa sababu ikiwa zzk umemwona ndiye mwenye akili kubwa kwanini ikupain wakati ni pilipili ya shamba usiyoila yakuwashiani? au you have a secrete issue to mr.zzk?ccm ndio mlisharuhusu akili ndogo zitawale akili kubwa and mnaiplement indeed so your self your among of that ring and you will not escape 4rever.we nkow u very well.umekaririshwa na msigwa inatakiwa umshukuru kwa kukukaririsha.na umemeza kweli ndo maana hata elimu yako ni kumezeshwa.pole sana nchemba.nasikitika kupoteza muda wangu ila nchemba ni kama gunia la misumari kuambiwa ulibebe iwe kichwani au begani u must get painful and hangover to yourmind.
 
wewe ni kilaza na ni limbuken katika masuala ya kitaaluma,yaaan mpaka ueleweshwe vp??wewe ulishagawah kuandika hata kipeperushi??

Hata concept note sina mkuu ila nina kiu ya kujifunza kutoka kwenu waelewa saaaaana,sasa ndio naomba nami nikasome,sasa ukilaza wangu nini hapo!!!??????
Ulimbukeni kutaka source nami nikasome jamani????!!!

Boot lickers bana,wengine hatuogopi majina tunapenda kusoma nasi,sasa wewe Mrs Mbele watu kutaka kusoma machapisho ya mumeo ndio uje na mipasho???!!!

Is this scholarly?????!!!!! Weka source mama tujisomeee
 
"KUVULIWA
VYEO ZITTO NI AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA"

Sijaona sehemu imeandikwa vyeti hapo, ni akili. Ni kama prof ndiye anaamini akili ni vyeti, ndiyo maana akalazimika kutaja wasifu wake.
Huu ni ushahidi kwa vitendo kuwa vyeti si akili, pamoja na mavyeti mengi yenye A A prof kashindwa kuielewa sentesi hiyo fupi!!
Prof "hana chama" lakini amepaniki, anashangaa yanamhusuje Mwigulu huku akijua Mwigulu ni mwanasiasa lakini zaidi ni mtanzania, au kauli ya Mwigulu inamhusuje prof huko marekani?

Wengine mnakera mpaka mnatulazimisha kujibu hata kama hatutaki! Wee hujaona kama muigulu alikuwa anamaanisha vyeti kwenye mada yake? Hujaona anataja madarasa? Ushabiki unapofua chunga sana
 
Hii inaonyesha jinsi ulivyo na uwezo mdogo wa kuelewa na kuchanganua mambo kilichoandikwa kinatokana na uhalisia kwani wanaCCM wengi ndio wapo nyuma ya ZITTO kutaka awe Mwenyekiti wa CDM kwa hiyo umeulizwa kama mnaona ZITTO anafaa kwa uenyekiti wa chama TAIFA si mumbebe aje kwenu huko CCM na awe mwenyekiti wenu? kwani huku CHADEMA nafasi hiyo hana.

Wonderful,wangapi hao wengi na unawajua kwa njia gani!!!!!!
Mtu kuogopa kivuli ni aibu kubwa sana!!!
 
Mwigulu unashangaza sana umma.kwanza neno lenyewe umecopy na kupaste"akili ndogo kutawala akili kubwa"from mchungaji peter msigwa akifyatuka bungeni youtube june"ignorance will never govern enknowledge"george matson.inawezekana kwa ufinyu wa elimu yako ya kukariri hata neno hili umekariri but kimatumizi na kimuktadha hujui hata kulitumia kwa sababu ikiwa zzk umemwona ndiye mwenye akili kubwa kwanini ikupain wakati ni pilipili ya shamba usiyoila yakuwashiani? au you have a secrete issue to mr.zzk?ccm ndio mlisharuhusu akili ndogo zitawale akili kubwa and mnaiplement indeed so your self your among of that ring and you will not escape 4rever.we nkow u very well.umekaririshwa na msigwa inatakiwa umshukuru kwa kukukaririsha.na umemeza kweli ndo maana hata elimu yako ni kumezeshwa.pole sana nchemba.nasikitika kupoteza muda wangu ila nchemba ni kama gunia la misumari kuambiwa ulibebe iwe kichwani au begani u must get painful and hangover to yourmind.
Well Said Kamanda
 
Hili swali hakuna mwanccm anayeweza kulijibu
Kwanini mnataka Zitto awe mwenyekiti wa cdm na sio awe mwenyekiti wenu wa ccm kwasababu ana akili kubwa kama mnavyotaka kutuaminisha?

Hili swali labda profesa maji marefu analiweza,
 
Uko sahihi kabisa professa, jamaa hayupo chadema lakini anayashtukia ya chama ambacho siyo chake, pili wakifika ughaibuni kama Marekani hawawezi kutoa hotuba kwa kiingereza kwenye umati wa wanafunzi wa sekondari!!! tatizo lugha lakini wanajifanya viongozi wazuri wa vyama vya siasa. Pili wanalindana mpaka waziri mzima anadhubutu kusema kwenye kongamano la kimataifa Afrika ya kusini kuwa Muungano wa Tanzania ni kutokana na Tanganyika na Zimbabwe badala ya Zanzibar na Tanganyika maajabu jamaa bado ni waziri wa elimu!
 
Back
Top Bottom