Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
Kwani Dj alifika hata hiyo high school?
Au kupiga disco nako ni high school
"Nyani haoni ------------"
Kwani Dj alifika hata hiyo high school?
Au kupiga disco nako ni high school
Mkuu, hivi kuwa DJ kwenye club unayoimiliki na kuwa mbeba mabox ambayo yana mali usiyoimiliki, ipi kazi yenye heshima? Hapa chini ni picha yako halisi ukiwa unabeba maboxKwani Dj alifika hata hiyo high school?
Kwani Dj alifika hata hiyo high school?
Au kupiga disco nako ni high school
Kelele tu wote hao!!!!!
Angetuwekea machapisho ya njia za kuinua vijana wa Kitanzania kutokana na shughuli za kiuchumi za hapa!!!!!!
Hii imetokea baada ya
Mwigulu kuanza kupinga mabadiliko yaliyofanywa na CDM kwenye blog yake
akisema" KUVULIWA VYEO ZITTO NI AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA
Soma aliyoandika Mwigulu ambacho kinaonyesha kumkere sana Prof.
MWIGULU
NCHEMBA BLOG: KUVULIWA VYEO ZITTO KABWE"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO
INATWALA AKILI KUBWA"
Joseph
Mbele Mwigulu NchembaKwanza
kabisa, zingatia kuwa maamuzi hayo yamefanywa kidemokrasia. Hakuna mtu
katika chama makini ambaye yupo juu ya utaratibu huu
Chama kina wanachama maelfu, hao ndio CHADEMA; sio mtu fulani au mtu
fulani. Ungekuwa na akili kubwa ungetambua hilo.
Yawezekana umesoma shule, lakini hujaelimika. Uwezo wako wa kuchambua
mambo ni mdogo. Unadhani kuwa na vyet na digirii ndio sifa sana.
Ngoja nikueleze. Mimi ninayeandika hapa ni profesa Mtanzania hapa
Marekani. Nilihitimu B.A (First Class, UDSM, 1973), M.A. 1978, UDSM)
nikiwa nimepata "A" katika masomo yote, Nikahitimu M.A. (1982) na PhD
(1986) katika Chuo Kikuu cha Wisconsin-Madison, Marekani, tena niliibuka
na tuzo ya mwanafunzi bora.
Nasikitika kueleza yote haya, na sijawahi, isipokuwa kwa sababaau ya
maringo unayoleta hapa, kuwadharau watu waliomaliza high school, imebidi
nikupe vidonge.
Pamoja na shahada zangu zote, nawaheshimu watu wote, wakiwemo wazee kule
kijini, ambao walinilea na wanaendelea kunilea kwa busara zao. Mtu
aliyemaliza hiyo high school anaweza akawa kiongozi mzuri na mwenye
busara kuliko yule mwenya Masters au PhD.
Kama kweli unaheshimu shahada za vyuoni anza utafiti huko huko CCM uone
wenzako ambao wanaringia shahada ambazo zina utata. Kwa mfano Mary Nagu
hakusoma chuo na kupata shahada yake katika chuo kinachotambuliwa na
taasisi yoyote ya kitaaluma inayotathmini na kuidhinishaa shughuli za
vyuo. Hapa Marekani tunaita "accreditation agencies."
Anza kwanza kuisafisha CCM, ambayo ina watu wanaodai wana PhD kumbe
hazijatoka kwenye vyuo vyenye sifa.
Unacholeta hapa ni kile kinachoitwa "intellectual arrogance," ambayo kwa
mtazamo wangu ni dalili ya kutoelimika.
Mtu aliyeelimika anapaswa kufahamu kuwa elimu haiko vitabuni au shuleni
tu. Inapatikana pia kwa wazee vijijini.
Halafu nashangaa mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini. Mimi sio mwachama wa
chama chochote cha siasa, ila nimeona nirekebishe dosari katika kauli
yako.
Prof. wa Kiswahili kaingia dah
Prof ana machapisho mengi sana, hujaamua kumfatilia tu
mtu mwenyewe anaitwa mbele halafu ashindane na mwigulu kwa kipi huyo ni miongoni mwa maprofesa wachovu ambao hawajitambui.
Kama kweli CCM wanawaona zito na kitila ni wazuri kihivyo kwan nini wameumia kufukuzwa kwao chadema, kwa nini wasifurahie kufukuzwa kwao chadema ili wawachukue huko ccm? CCM wanafikiri hizi ni enzi za NCCR kuwa wanaweza kuivuruga chadema kwa propaganda za kitoto. Chadema inajitayarisha kuchukua nchi, watendaji wote wa CCM waliopo chadema lazima wang'olewe kabla ya 2014.
ukirusha jiwe kwenye giza ukasikia mayowe ujue limenasa mipango yao na wasaliti wa ndani ya chama imenasa kwa chadema oksjeni ya mtanzania inawauma waliowatuma hawatawaelewa kwani plan imefeli huku imekula muda na fedha na imenasa kirahisi sasa inawauma
chadema yatosha
chadema tumaini jipya
imekula kwao na masalia wao
DAH! You are a great thinker bro! CCM wamchukue huyo zzk awe m/kiti wao, HUO NI UPUUZI WAO TU.Hili swali hakuna mwanccm anayeweza kulijibu
Kwanini mnataka Zitto awe mwenyekiti wa cdm na sio awe mwenyekiti wenu wa ccm kwasababu ana akili kubwa kama mnavyotaka kutuaminisha?
support!