Prof. Mbele amtolea Uvivu Mwigulu Nchemba

Prof. Mbele amtolea Uvivu Mwigulu Nchemba

Hebu tulia kidogo mkuu!!!!

Mwanachama wa chadema akawe mwenyekiti wa ccm!!!!????
Hapa umeandika bila kutafakari mkuu!!!!

Mkuu hujamwelewa tu, ni kwamba Hao akina zito na kitila ni wanachama na watendaji wa CCM waliopo Chadema kwa kazi maalumu. Wanakuwa wazuri wanapofanyakazi chadema ila wakirudi ccm wanakuwa hawana kazi tena
 
Hili swali hakuna mwanccm anayeweza kulijibu
Kwanini mnataka Zitto awe mwenyekiti wa cdm na sio awe mwenyekiti wenu wa ccm kwasababu ana akili kubwa kama mnavyotaka kutuaminisha?

Hapa ndipo napoona akili kiduchu ya maCCM.

karata yao kwenye uongozi wa chadema ime fail kabla ya kuanza....again.
 
kilicho nishangaza ni kwa sasa mwigulu kumsifia Kitila Mkumbo adui yale kisiasa

Alichokuwa hakijui mwigulu ni kuwa Kitila nae ni mwanachama wa CCM aliyepo chadema kwa kazi maalumu.

Kama hiyo nayo ni ngumu kumeza, chukua hii, ADUI WA ADUI YAKO NI RAFIKI YAKO
 
Nipe link nikasome mkuu au kama una titles za vitabu vyake,nahitaji alichoandika kuliko kumfahamu yeye!!!!!!

wewe ni kilaza na ni limbuken katika masuala ya kitaaluma,yaaan mpaka ueleweshwe vp??wewe ulishagawah kuandika hata kipeperushi??
 
yeye na uprofesa wake anatofauti gani na sugu kafanya nini hata mtaani kwake tu.

Ule msukule wa mwigulu ambao alikuwa anatembea nao kila mahali uliishia wapi? :A S 39:!!!
 
Hii imetokea baada ya Mwigulu kuanza kupinga mabadiliko yaliyofanywa na CDM kwenye blog yake akisema" KUVULIWA VYEO ZITTO NI AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA
Soma aliyoandika Mwigulu ambacho kinaonyesha kumkere sana Prof.
MWIGULU NCHEMBA BLOG: KUVULIWA VYEO ZITTO KABWE"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATWALA AKILI KUBWA"


Joseph MbeleMwigulu NchembaKwanza kabisa, zingatia kuwa maamuzi hayo yamefanywa kidemokrasia. Hakuna mtu katika chama makini ambaye yupo juu ya utaratibu huu

Chama kina wanachama maelfu, hao ndio CHADEMA; sio mtu fulani au mtu fulani. Ungekuwa na akili kubwa ungetambua hilo.

Yawezekana umesoma shule, lakini hujaelimika. Uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo. Unadhani kuwa na vyet na digirii ndio sifa sana.

Ngoja nikueleze. Mimi ninayeandika hapa ni profesa Mtanzania hapa Marekani. Nilihitimu B.A (First Class, UDSM, 1973), M.A. 1978, UDSM) nikiwa nimepata "A" katika masomo yote, Nikahitimu M.A. (1982) na PhD (1986) katika Chuo Kikuu cha Wisconsin-Madison, Marekani, tena niliibuka na tuzo ya mwanafunzi bora.

Nasikitika kueleza yote haya, na sijawahi, isipokuwa kwa sababaau ya maringo unayoleta hapa, kuwadharau watu waliomaliza high school, imebidi nikupe vidonge.

Pamoja na shahada zangu zote, nawaheshimu watu wote, wakiwemo wazee kule kijini, ambao walinilea na wanaendelea kunilea kwa busara zao. Mtu aliyemaliza hiyo high school anaweza akawa kiongozi mzuri na mwenye busara kuliko yule mwenya Masters au PhD.

Kama kweli unaheshimu shahada za vyuoni anza utafiti huko huko CCM uone wenzako ambao wanaringia shahada ambazo zina utata. Kwa mfano Mary Nagu hakusoma chuo na kupata shahada yake katika chuo kinachotambuliwa na taasisi yoyote ya kitaaluma inayotathmini na kuidhinishaa shughuli za vyuo. Hapa Marekani tunaita "accreditation agencies."

Anza kwanza kuisafisha CCM, ambayo ina watu wanaodai wana PhD kumbe hazijatoka kwenye vyuo vyenye sifa.

Unacholeta hapa ni kile kinachoitwa "intellectual arrogance," ambayo kwa mtazamo wangu ni dalili ya kutoelimika.

Mtu aliyeelimika anapaswa kufahamu kuwa elimu haiko vitabuni au shuleni tu. Inapatikana pia kwa wazee vijijini.

Halafu nashangaa mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini. Mimi sio mwachama wa chama chochote cha siasa, ila nimeona nirekebishe dosari katika kauli yako.
Professor kasema kitu cha maana sana. Huyu ni kijana ambaye yuko CCM lakini hajui historia ya CCM. Enzi zetu Chama ndicho kilikuwa na nguvu na siyo mwanachama mmoja, enzi zile baada ya kutangaza Azimio la Arusha kuna wanaTANU walipinga na wakajiona wao muhimu kuliko Chama, waakajiondoa ama tukwaondoa, mara nyingi pale Dodoma- Chimwaga wanachama mashuhuri waliondolewa ni nani hajui umaarufu wa kiutendaji aliokuwa nao Katibu Mkuu Kolimba(RIP) kwa wakati ule, akina Faki, Mzee wetu Jumbe? yanapokuja maslahi ya chama hakuna cha akili kubwa ama ndogo bali uamuzi sahihi. Sisi CCM tushafanya mara nyingi ila sasa wanapofanya wenzetu tunaona hawapo sawa, ni ukosefu wa kutojua demokrasia ya vyma vingi na kutumia ushabiki usio na tija. Hawa ni vijana ambaao siasa ni kama ushabiki kwao, wale tuliofundwa katika TANU youth League tunajua maana ya uongozi na nini kinatakiwa mwanachama anaapojifanya yuko juu ya chama ama ni muihimu kuliko chama. TANU ilikataa hujuma hii, na iliwaaondoa wote walikuwa kinyume cha agenda ya chama kimoja, kauli moja kujenga nchi. Mie naona CCM tunatakiwa kuwa hivyo ili kukisafisha chama hasa dhidi ya rushwa iliyokithili ambayo kila siku tunawasikia watu wakisema bila kutaja wahusika na kuwaondoa katika chama kama vile zoezi la kuondoa mafisadi tuliloliasisi lilivyoshindwa.
 
Profesa anafanya mambo kama yule leprofesori wa kwny original comedy khaa
 
Hebu tulia kidogo mkuu!!!!

Mwanachama wa chadema akawe mwenyekiti wa ccm!!!!????
Hapa umeandika bila kutafakari mkuu!!!!

Hili mnapaswa mlitambue kwamba hata siku moja cdm haiwezi kuendeshwa kwa remote kutoka Lumumba hata mfanyeje.
When we say cdm is not one man army we mean by actions not just a mere words like kujivua gamba lililoishia kiunoni.
 
hii imetokea baada ya mwigulu kuanza kupinga mabadiliko yaliyofanywa na cdm kwenye blog yake akisema" kuvuliwa vyeo zitto ni akili ndogo inatawala akili kubwa
soma aliyoandika mwigulu ambacho kinaonyesha kumkere sana prof.
mwigulu nchemba blog: Kuvuliwa vyeo zitto kabwe"ndani ya chadema akili ndogo inatwala akili kubwa"


joseph mbelemwigulu nchembakwanza kabisa, zingatia kuwa maamuzi hayo yamefanywa kidemokrasia. Hakuna mtu katika chama makini ambaye yupo juu ya utaratibu huu

chama kina wanachama maelfu, hao ndio chadema; sio mtu fulani au mtu fulani. Ungekuwa na akili kubwa ungetambua hilo.

Yawezekana umesoma shule, lakini hujaelimika. Uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo. Unadhani kuwa na vyet na digirii ndio sifa sana.

Ngoja nikueleze. Mimi ninayeandika hapa ni profesa mtanzania hapa marekani. Nilihitimu b.a (first class, udsm, 1973), m.a. 1978, udsm) nikiwa nimepata "a" katika masomo yote, nikahitimu m.a. (1982) na phd (1986) katika chuo kikuu cha wisconsin-madison, marekani, tena niliibuka na tuzo ya mwanafunzi bora.

Nasikitika kueleza yote haya, na sijawahi, isipokuwa kwa sababaau ya maringo unayoleta hapa, kuwadharau watu waliomaliza high school, imebidi nikupe vidonge.

Pamoja na shahada zangu zote, nawaheshimu watu wote, wakiwemo wazee kule kijini, ambao walinilea na wanaendelea kunilea kwa busara zao. Mtu aliyemaliza hiyo high school anaweza akawa kiongozi mzuri na mwenye busara kuliko yule mwenya masters au phd.

Kama kweli unaheshimu shahada za vyuoni anza utafiti huko huko ccm uone wenzako ambao wanaringia shahada ambazo zina utata. Kwa mfano mary nagu hakusoma chuo na kupata shahada yake katika chuo kinachotambuliwa na taasisi yoyote ya kitaaluma inayotathmini na kuidhinishaa shughuli za vyuo. Hapa marekani tunaita "accreditation agencies."

anza kwanza kuisafisha ccm, ambayo ina watu wanaodai wana phd kumbe hazijatoka kwenye vyuo vyenye sifa.

Unacholeta hapa ni kile kinachoitwa "intellectual arrogance," ambayo kwa mtazamo wangu ni dalili ya kutoelimika.

Mtu aliyeelimika anapaswa kufahamu kuwa elimu haiko vitabuni au shuleni tu. Inapatikana pia kwa wazee vijijini.

Halafu nashangaa mambo ya chadema yanakuhusu nini. Mimi sio mwachama wa chama chochote cha siasa, ila nimeona nirekebishe dosari katika kauli yako.

mwabie huyo gaidi
 
Ipi hiyo kiongozi???

Kuwa na tabia ya "Mfumko wa Bei" Maana yake ni kwamba bei ya bidhaa hupanda pale bidhaa zinapokuwa adimu, yeye sasa hivi anajisifia kuwa anayo degree ya Uchumi FIRST CLASS, Hapo bidhaa za Uchumi First Class zimeadimika, kwahiyo bei ya bidhaa iliyopo lazima ipande ambayo ni yeye huyu kuzunguka nchi nzima akijinadi ni Economist First Class. Umenipata hapo?
 
Back
Top Bottom