Prof. Mbele amtolea Uvivu Mwigulu Nchemba

Prof. Mbele amtolea Uvivu Mwigulu Nchemba

Namfahamu mwigulu,hajawahi kuwa na akili kubwa hata kidogo zaidi ya ubishi anaotamani uishie kwenye ugomvi hata hivyo nilishanga sana kuona ccm wanampa madaraka makubwa ya kusima kwa watanzania wenye asili ya usitarabu mkubwa na hii ndiyo sababu pia kuwa ccm haiko makini na hivyo haipaswi kuendelea kutawala baada ya 2015.
 
kilicho nishangaza ni kwa sasa mwigulu kumsifia Kitila Mkumbo adui yale kisiasa
Ni ushabiki tu hana lolote, akiambiwa aeleze anafanya nn kuimarisha upinzani na mfumo wa vyama vingi, utaona kuwa ni mmoja anayefurahi akiona vyama vya upinzani vinasamabaratika. Kuna wakati nilisema chama changu mpaka sasa hakielewi maana ya mfumo wa vyama vingi na hatupotayari kuelewa, hujuma dhidi ya vyama vya upinzani ni tofauti na kushindanisha sera, nashukuru kwasasa Katibiu Mkuu na Mwenezi wameamua kuonyesha kwa vitendo jambo hili badala ya kukaa tu na kupiga porojo. Mapinduzi ya kifikra yanahitajika kujiingiza katika mfumo wa vyama vingi na kuelewa kitu gani kifanyike kukuza demokrasia ya vyama vingi.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Tangu lini Mwigulu akawa na uchungu na Zitto? Mwigulu alishawahi KUITUPA CHINI BAJETI KIVULI iliyoandaliwa na Zitto na kusema ni matapishi. Sasa inakuwa leo anamsifia na kumtetea?
Huu ni unafiki mkubwa
 
Lakn na ww rudu ufanye kazi nchini mwako usiwe brain drain
 
Ni jibu zuri sana ila bado unajishusha kumjibu mtu arrogant asiye na madhara

Inabidi wakati mwingine hawa mburula wa magamba waambiwe kweli!!! Sio siri kuwa kule magambani si tu hakuna wasomi wengi wa maana bali hicho chama hakipendi wasomi; angalia tu watu waliowapitisha kugombea ubunge wa East Afrika ukilinganisha na wasomi waliowakata!!! Hiki ni chama cha mabazazi wasomi kama wakina Kapuya ambao mpaka sasa elimu yao yote imepukutika wanabakia kuwa wabakaji!!!
 
Hii imetokea baada ya Mwigulu kuanza kupinga mabadiliko yaliyofanywa na CDM kwenye blog yake akisema" KUVULIWA VYEO ZITTO NI AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA
Soma aliyoandika Mwigulu ambacho kinaonyesha kumkere sana Prof.
MWIGULU NCHEMBA BLOG: KUVULIWA VYEO ZITTO KABWE"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATWALA AKILI KUBWA"

Joseph MbeleMwigulu NchembaKwanza kabisa, zingatia kuwa maamuzi hayo yamefanywa kidemokrasia. Hakuna mtu katika chama makini ambaye yupo juu ya utaratibu huu

Chama kina wanachama maelfu, hao ndio CHADEMA; sio mtu fulani au mtu fulani. Ungekuwa na akili kubwa ungetambua hilo.

Yawezekana umesoma shule, lakini hujaelimika. Uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo. Unadhani kuwa na vyet na digirii ndio sifa sana.

Ngoja nikueleze.
Mimi ninayeandika hapa ni profesa Mtanzania hapa Marekani. Nilihitimu B.A (First Class, UDSM, 1973), M.A. 1978, UDSM) nikiwa nimepata "A" katika masomo yote, Nikahitimu M.A. (1982) na PhD (1986) katika Chuo Kikuu cha Wisconsin-Madison, Marekani, tena niliibuka na tuzo ya mwanafunzi bora.

Nasikitika kueleza yote haya, na sijawahi, isipokuwa kwa sababaau ya maringo unayoleta hapa, kuwadharau watu waliomaliza high school, imebidi nikupe vidonge.

Pamoja na shahada zangu zote, nawaheshimu watu wote, wakiwemo wazee kule kijini, ambao walinilea na wanaendelea kunilea kwa busara zao. Mtu aliyemaliza hiyo high school anaweza akawa kiongozi mzuri na mwenye busara kuliko yule mwenya Masters au PhD.

Kama kweli unaheshimu shahada za vyuoni anza utafiti huko huko CCM uone wenzako ambao wanaringia shahada ambazo zina utata. Kwa mfano Mary Nagu hakusoma chuo na kupata shahada yake katika chuo kinachotambuliwa na taasisi yoyote ya kitaaluma inayotathmini na kuidhinishaa shughuli za vyuo. Hapa Marekani tunaita "accreditation agencies."

Anza kwanza kuisafisha CCM, ambayo ina watu wanaodai wana PhD kumbe hazijatoka kwenye vyuo vyenye sifa.

Unacholeta hapa ni kile kinachoitwa "intellectual arrogance," ambayo kwa mtazamo wangu ni dalili ya kutoelimika.

Mtu aliyeelimika anapaswa kufahamu kuwa elimu haiko vitabuni au shuleni tu. Inapatikana pia kwa wazee vijijini.

Halafu nashangaa mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini. Mimi sio mwachama wa chama chochote cha siasa, ila nimeona nirekebishe dosari katika kauli yako.

wewe ni prof mchumia tumbo ambaye unaweweseka tu, huna jipya.
ulichofanya hapa ni kujisifu na kuelezea elimu yako, kwani unadhani umesoma peke yako? poor you. utafia kwenye ubeba mabox huko utumwani.
 
Hii imetokea baada ya Mwigulu kuanza kupinga mabadiliko yaliyofanywa na CDM kwenye blog yake akisema" KUVULIWA VYEO ZITTO NI AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA
Soma aliyoandika Mwigulu ambacho kinaonyesha kumkere sana Prof.
MWIGULU NCHEMBA BLOG: KUVULIWA VYEO ZITTO KABWE"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATWALA AKILI KUBWA"

Joseph Mbele Mwigulu NchembaKwanza kabisa, zingatia kuwa maamuzi hayo yamefanywa kidemokrasia. Hakuna mtu katika chama makini ambaye yupo juu ya utaratibu huu

Chama kina wanachama maelfu, hao ndio CHADEMA; sio mtu fulani au mtu fulani. Ungekuwa na akili kubwa ungetambua hilo.

Yawezekana umesoma shule, lakini hujaelimika. Uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo. Unadhani kuwa na vyet na digirii ndio sifa sana.

Ngoja nikueleze. Mimi ninayeandika hapa ni profesa Mtanzania hapa Marekani. Nilihitimu B.A (First Class, UDSM, 1973), M.A. 1978, UDSM) nikiwa nimepata "A" katika masomo yote, Nikahitimu M.A. (1982) na PhD (1986) katika Chuo Kikuu cha Wisconsin-Madison, Marekani, tena niliibuka na tuzo ya mwanafunzi bora.

Nasikitika kueleza yote haya, na sijawahi, isipokuwa kwa sababaau ya maringo unayoleta hapa, kuwadharau watu waliomaliza high school, imebidi nikupe vidonge.

Pamoja na shahada zangu zote, nawaheshimu watu wote, wakiwemo wazee kule kijini, ambao walinilea na wanaendelea kunilea kwa busara zao. Mtu aliyemaliza hiyo high school anaweza akawa kiongozi mzuri na mwenye busara kuliko yule mwenya Masters au PhD.

Kama kweli unaheshimu shahada za vyuoni anza utafiti huko huko CCM uone wenzako ambao wanaringia shahada ambazo zina utata. Kwa mfano Mary Nagu hakusoma chuo na kupata shahada yake katika chuo kinachotambuliwa na taasisi yoyote ya kitaaluma inayotathmini na kuidhinishaa shughuli za vyuo. Hapa Marekani tunaita "accreditation agencies."

Anza kwanza kuisafisha CCM, ambayo ina watu wanaodai wana PhD kumbe hazijatoka kwenye vyuo vyenye sifa.

Unacholeta hapa ni kile kinachoitwa "intellectual arrogance," ambayo kwa mtazamo wangu ni dalili ya kutoelimika.

Mtu aliyeelimika anapaswa kufahamu kuwa elimu haiko vitabuni au shuleni tu. Inapatikana pia kwa wazee vijijini.

Halafu nashangaa mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini. Mimi sio mwachama wa chama chochote cha siasa, ila nimeona nirekebishe dosari katika kauli yako.

We n prof au mfanyakaz wa Shigongo?mbona uneandika uzi wako kiswahil yaaan kizaramo xjui au nmdada uliepata phd ukiwa na miaka 14 nn?cjaona cha maaana ukichokshaur hapa wote n wale wale
 
Kwani Dj alifika hata hiyo high school?

Au kupiga disco nako ni high school
Wee naye huna tofauti na hyu alopewa vidonge ...ufedhuli wa kipuuzi puuzi tu. hili liinchi linaongozwa na mijitu inayojitanabaisha kama ''Dr's na Prof's'' lakini hatuoni lolote la maana.
 
Mpuuzi tu huyu Mwigulu na Wafuasi wake wote, CDM itaendelea kuwepo Daima. TTake it from me
 
"KUVULIWA
VYEO ZITTO NI AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA"

Sijaona sehemu imeandikwa vyeti hapo, ni akili. Ni kama prof ndiye anaamini akili ni vyeti, ndiyo maana akalazimika kutaja wasifu wake.
Huu ni ushahidi kwa vitendo kuwa vyeti si akili, pamoja na mavyeti mengi yenye A A prof kashindwa kuielewa sentesi hiyo fupi!!
Prof "hana chama" lakini amepaniki, anashangaa yanamhusuje Mwigulu huku akijua Mwigulu ni mwanasiasa lakini zaidi ni mtanzania, au kauli ya Mwigulu inamhusuje prof huko marekani?
 
Hebu tulia kidogo mkuu!!!!

Mwanachama wa chadema akawe mwenyekiti wa ccm!!!!????
Hapa umeandika bila kutafakari mkuu!!!!

Ila huoni ajabu kwa wanachama wa ccm kutaka kuwachagulia wanachadema mwenyekiti wa chama! shitbrains!
 
kama ni mzuri hajaoa pelekeni posa, acheni kulalama Zito si mtumishi wa CDM tena mchukueni mapovu yanatutia kinyaa jamani
 
Kitila kama ni mpinzani kweli mbona kapewa cheo kikubwa duce ,wakati profesa baregu kafanyiwa visa mpaka kuondolewa udsm.ni hila za .vyama tawala kutumia pesa na viongozi ndani ya upinzani kuvidhoofisha vyama vya upinzani.kitila na zito wakumbuke yaliyo mpata warid kaburu sasa kwishinei baada ya kujiunga na magamba..wanaosema huu ni mwisho wa chadema ni fikra potofu taasisi ni kubwa kuliko mtu.tuhuma zao hazewezi kuwa ni za kubuni wajumbe wa mkutano ni watu wa elewa na wametendewa haki.jiulize kwanini maamuzi ya chadema viongozi wa ccm wanayapigia kelele kwanini hawapigi kelele wala rushwa na mafisadi kupita misikitini na makanisani kuchangia tasisi hizo.kingumu chama cha mapinduzi
 
Profesa kasema kweli. Hivi ukimchukua Mwigulu mwenye Masters first class ukamuweka na JJ Mnyika form 6 halafu ukawaambia watu waangalie jinsi wanavyojenga hoja zao mbalimbali au jinsi wanavyo behave nani ataonekana msomi zaidi?
hapo umemaliza! kwakweli anapitwa kwa mbali mno.Nadhani hata yeye mwigulu anatambua hilo.mwigulu ni msomi lakini bado ana matongotongo machoni.
 
Mimi sichangii hapa,bado nayapenda macho na kucha zangu endeleeni nyie mnaotembea huku miili imepigwa ganzi.
 
CDM has "cut" the link bxt,! they should/must "scream" hard 'cause their impotant agent of distruction has no more<KWANI CCM IMEWAUMA KIASI HIKI,MWENYE AKILI YA CHINI KABISA ANAWEZA TAMBUA HILI>
 
Back
Top Bottom