Prof. Mbele amtolea Uvivu Mwigulu Nchemba

Prof. Mbele amtolea Uvivu Mwigulu Nchemba

Kumjadili Mwigulu unaitaji kuwa na mda wa kupoteza
 
Naona umejitoa ufahamu,amemaanisha apewe uwanachama,then 2015 apewe Umwenyekiti,umeelewa!?
Hebu tulia kidogo mkuu!!!!

Mwanachama wa chadema akawe mwenyekiti wa ccm!!!!????
Hapa umeandika bila kutafakari mkuu!!!!
 
wewe ni prof mchumia tumbo ambaye unaweweseka tu, huna jipya.
ulichofanya hapa ni kujisifu na kuelezea elimu yako, kwani unadhani umesoma peke yako? poor you. utafia kwenye ubeba mabox huko utumwani.
tulia acha kutokwa na povu msumari uwaingie taratibu ni mara ngapi mwiguru ametishia hiyo degree yake ya chupi kuanzia bungeni mpaka jimboni ukupayuka kiasi hiki?
 
Mfumo wa Elimu wa sasa, hata mtu akisoma awe Professa sitaona mabadiliko yeyote tofauti na form six, kwakuwa kila kitu ubabaishaji, ni heli drs la nne la enzi ya Nyerere....
 
Hii imetokea baada ya Mwigulu kuanza kupinga mabadiliko yaliyofanywa na CDM kwenye blog yake akisema" KUVULIWA VYEO ZITTO NI AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA
Soma aliyoandika Mwigulu ambacho kinaonyesha kumkere sana Prof.
MWIGULU NCHEMBA BLOG: KUVULIWA VYEO ZITTO KABWE"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATWALA AKILI KUBWA"


Joseph MbeleMwigulu NchembaKwanza kabisa, zingatia kuwa maamuzi hayo yamefanywa kidemokrasia. Hakuna mtu katika chama makini ambaye yupo juu ya utaratibu huu

Chama kina wanachama maelfu, hao ndio CHADEMA; sio mtu fulani au mtu fulani. Ungekuwa na akili kubwa ungetambua hilo.

Yawezekana umesoma shule, lakini hujaelimika. Uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo. Unadhani kuwa na vyet na digirii ndio sifa sana.

Ngoja nikueleze. Mimi ninayeandika hapa ni profesa Mtanzania hapa Marekani. Nilihitimu B.A (First Class, UDSM, 1973), M.A. 1978, UDSM) nikiwa nimepata "A" katika masomo yote, Nikahitimu M.A. (1982) na PhD (1986) katika Chuo Kikuu cha Wisconsin-Madison, Marekani, tena niliibuka na tuzo ya mwanafunzi bora.

Nasikitika kueleza yote haya, na sijawahi, isipokuwa kwa sababaau ya maringo unayoleta hapa, kuwadharau watu waliomaliza high school, imebidi nikupe vidonge.

Pamoja na shahada zangu zote, nawaheshimu watu wote, wakiwemo wazee kule kijini, ambao walinilea na wanaendelea kunilea kwa busara zao. Mtu aliyemaliza hiyo high school anaweza akawa kiongozi mzuri na mwenye busara kuliko yule mwenya Masters au PhD.

Kama kweli unaheshimu shahada za vyuoni anza utafiti huko huko CCM uone wenzako ambao wanaringia shahada ambazo zina utata. Kwa mfano Mary Nagu hakusoma chuo na kupata shahada yake katika chuo kinachotambuliwa na taasisi yoyote ya kitaaluma inayotathmini na kuidhinishaa shughuli za vyuo. Hapa Marekani tunaita "accreditation agencies."

Anza kwanza kuisafisha CCM, ambayo ina watu wanaodai wana PhD kumbe hazijatoka kwenye vyuo vyenye sifa.

Unacholeta hapa ni kile kinachoitwa "intellectual arrogance," ambayo kwa mtazamo wangu ni dalili ya kutoelimika.

Mtu aliyeelimika anapaswa kufahamu kuwa elimu haiko vitabuni au shuleni tu. Inapatikana pia kwa wazee vijijini.

Halafu nashangaa mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini. Mimi sio mwachama wa chama chochote cha siasa, ila nimeona nirekebishe dosari katika kauli yako.


Nikifuatilia yaliyosemwa na Mwigulu, na hili jibu la professor, kuna moja mwigulu ingefaa kulijua, kuna wale akili kubwa isiyoweza kujiongoza na inaongozwa na akili ndogo. Huo mfano ni mzuri sana kwa huyu professor:

1. Anatuambia hapendi kujisifu au hii ndio mara yake ya kwanza kuzungumzia matokeo ya elimu yake, Kwa mimi ni furaha yangu kuona mtanzania mwenzangu has achieved so much, lakini kujieleza mpaka grade zako za kufaulu ni self praising na inaonyesha ni mtu wa kupenda sifa.

2. Professor kama msomi wa hali ya juu, nadhani you are not street smart but academically smart, mwigulu alikuwa anazngumzia uzembe wa chadema kuwaweka kataka tabaka moja watu kama Lema na zitto, while lima is destructive na zitto is an achiever. while Lema has a bad and a crimanal profile, Z
itto has an impeccable profile.

3. Professor read between the lines and translate, wengi waliosoma au watakao usoma uzi wako huu, wanajua kwamba you are a Chadema member ni uongo usemapo huna chama, it shows in your writings. na kuwa mwanachama au mshabiki wa chama chochote ni haki yako ya ki democrasy, hakuna aliye na haki ya kukushtumu na hilo. but when you hide yourself behind a smoke screen, than that shows weakness.
 
Kelele tu wote hao!!!!!

Angetuwekea machapisho ya njia za kuinua vijana wa Kitanzania kutokana na shughuli za kiuchumi za hapa!!!!!!

Hiyo siyo kazi yake, kamwambie CCM Baba yako ndiyo wajibu wake kuondoa umasikini nchini.
 
Maprofesa Wakichagga bana hata wakielimika bado Wanaendekeza Ubaguzi,kila mtu ana haki ya kutoa maoni!!nakumbuka kwenye utafiti wao UD walisema TZ imeshika juu kabisa,wananchi wao kukata tamaa,hata nchi hizi wametuzidi,SOMALIA MISIRI SUDAN, AFRIKA YAKAT.YAN WAMEKAA KICHADEMACHADEMA TU.
 
Kwa hakika ukisoma maelezo ya Mwigulu yanaibua maswali mengine hata nje ya upeo na uelewa wake. Inaelekea wale wanaosema kuwa migogoro ya cdm ni ya kutengeneza, wanaweza wakawa na ukweli fulani na ni wazi maamuzi haya katika calculations zao hawakuyategemea hivyo inabidi walalmike hadharani. Ngoja tusubiri ukweli utakuja tu.
Haya majigambo ya Mwigulu na usomi naamini angelikuwa anatokea maeneo ya huku kwetu basi chuki zingelikuwa zimeongezeka zidi dhidi yetu. Bora Profesa kamuweka wazi.
KUVULIWA VYEO ZITTO KABWE"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATWALA AKILI KUBWA"
Kuvuliwa vyeo kwa Zitto Zuberi Kabwe na Dr Kitila Mkumbo kutakuwa na visingio vingi, ukweli ni kwamba "NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA" It is natural kwamba akili ndogo ikitawala akili kubwa,
1) Yatatumika mabavu na nguvu nyingi kuizuia akili kubwa kupanda juu,
2) Zitatafutwa sababu nyingi na visingizio uchwara kuhalalisha kuizima akili kubwa tofauti na vigezo vya hoja kwakuwa akili ndogo haiwezi kuizidi akili kubwa kwa hoja,
3) Hutumika vitisho vingi kuzuia akili kubwa kuchukua hadhi yake
4) Akili ndogo ni rafiki wa akili ndogo mwenzake, hivyo akili ndogo huzungukwa na akili ndogo kwakuwa ushauri wa akili kubwa akili ndogo hushindwa kutumia ama kushindwa kuonesha umiliki mbele za watu.
Kwenye chadema wenye akili wote wako nje ya uzio wa chemichemi ya mawazo. Pale bungeni watu wanaoweza kufundisha na waliokuwa wakifundisha hata unaibu waziri kivuli hawapati kwakuwa wanatumia akili zaidi badala ya nguvu.
Lakini walioishia kidato cha kwanza, pili, tatu na zero ndio think tanks na ndio majembe ya chadema kwakuwa wanatumia mabavu na manguvu zaidi kuliko akili sawasawa na matakwa mahitaji ya akili ndogo inayoongoza akili kubwa.
Vijana wahitimu wa vyuo wanaopenda siasa waliandikiwa barua kuwazuia kuhutubia mkutano wowote wa hadhara sawasawa na matakwa ya akili ndogo inapotawala akili kubwa. Zito, Kitila, Christowaja, Matiko, Opulukwa, Baregu, Leticia, Selasini, Arfi, Akunay, Naste wengi wao MA holders kwa chadema ni rejects. Ukiwa mwanafamilia au ukoo au kazi au wito maalum wa viongozi ndio utakwepo kwenye list.
I know Zitto tangu tukiwa chuoni, he is a brilliant and consistent politician, namjua Dr Kitila tangu chuoni, he is resourceful. Hivi kosa walilofanya ni kubwa kuliko mchango wao waliofanya kwenye kuwajenga watanzania kuwaamini vijana kwenye siasa? Je kosa lao ni kubwa kuliko mchango wao unavyohitajika? Vijana tuko kazini na wakati huohuo tuko mafunzoni.
Sio adhabu nzuri ya kuwafukuza ama kuwaondoa kwenye fursa ya kujifunza zaidi
 
Wee kenge hapo nilikuwa napakia mizigo ya misaada kwa ajili ya ndugu zako waliopatwa na mafuriko halafu leo unanicheka. Ngoja mvua zianze kunyesha tena..

Weka wazi, mafuriko yaliyotokea wapi? Tangu lini bongo tukatoa misaada ya mafuriko kwenda Illinois au Phillipines? Hiyo ndo kazi inakuweka mjini na kuweza kupiga picha mbele ya Vogue la weñyenazo. Kama hiyo syo kazi yako tuambie sasa kazi yako ni ipi na ofisi ziko wapi?
 
Maprofesa Wakichagga bana hata wakielimika bado Wanaendekeza Ubaguzi,kila mtu ana haki ya kutoa maoni!!nakumbuka kwenye utafiti wao UD walisema TZ imeshika juu kabisa,wananchi wao kukata tamaa,hata nchi hizi wametuzidi,SOMALIA MISIRI SUDAN, AFRIKA YAKAT.YAN WAMEKAA KICHADEMACHADEMA TU.
nani kakuambia prof ni mchaga? Naona buku 7 imeshaingia
acha ukabila wewe, unafikiri kila anaeipinga ccm ni mchaga..
 
Kwani Dj alifika hata hiyo high school?

Au kupiga disco nako ni high school
Majibu marahisi kwa maswali magumu. wakati mwingine watu wenye akili zao wakiwa wanachangia bora ukae kimya. Unajidhalilisha sana. Bora ukae kimya tuu. Au na wwe ni mzee wa buku 7 pale Lumumba. manake jioni kabla ya kupokea buku 7 lazima waangalie ume comment mara ngapi
 
Wee kenge hapo nilikuwa napakia mizigo ya misaada kwa ajili ya ndugu zako waliopatwa na mafuriko halafu leo unanicheka. Ngoja mvua zianze kunyesha tena..

Wewe nafikiri ndio utakuwa Kenge kwani kwa akili za kawaida inatakiwa uelewe tunafahamu vizuri nini unachofanya huko na isitoshe upakiaji mzigo hiyo ni ajira yako usitake kukwepesha ukweli na kuleta ukali hapa na namalizia kwa kusema UKWELI UNAUMA
 
mtu mwenyewe anaitwa mbele halafu ashindane na mwigulu kwa kipi huyo ni miongoni mwa maprofesa wachovu ambao hawajitambui.

Unamlinganisha na Kapuya au Maji Marefu!?
CCM ina maprofesa watatu, Mwakyusa, Mwalyosi na Mwandosya
 
nani kakuambia prof ni mchaga? Naona buku 7 imeshaingia
acha ukabila wewe, unafikiri kila anaeipinga ccm ni mchaga..

Wanadhani CHADEMA ikikosa mchaga hata mmoja ndo CCM itaweza kuleta maisha bora kwa kila mtanzania!
 
Back
Top Bottom