Chukua cha maana tu
Member
- May 7, 2013
- 49
- 10
huyo anatabia za kujipendekeza kama mtu haamini afuatirie aliupataje ukiranja mkuu MAZENGO SEC
Hii imetokea baada ya Mwigulu kuanza kupinga mabadiliko yaliyofanywa na CDM kwenye blog yake akisema" KUVULIWA VYEO ZITTO NI AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA
Soma aliyoandika Mwigulu ambacho kinaonyesha kumkere sana Prof.
MWIGULU NCHEMBA BLOG: KUVULIWA VYEO ZITTO KABWE"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATWALA AKILI KUBWA"
Joseph Mbele Mwigulu NchembaKwanza kabisa, zingatia kuwa maamuzi hayo yamefanywa kidemokrasia. Hakuna mtu katika chama makini ambaye yupo juu ya utaratibu huu
Chama kina wanachama maelfu, hao ndio CHADEMA; sio mtu fulani au mtu fulani. Ungekuwa na akili kubwa ungetambua hilo.
Yawezekana umesoma shule, lakini hujaelimika. Uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo. Unadhani kuwa na vyet na digirii ndio sifa sana.
Ngoja nikueleze. Mimi ninayeandika hapa ni profesa Mtanzania hapa Marekani. Nilihitimu B.A (First Class, UDSM, 1973), M.A. 1978, UDSM) nikiwa nimepata "A" katika masomo yote, Nikahitimu M.A. (1982) na PhD (1986) katika Chuo Kikuu cha Wisconsin-Madison, Marekani, tena niliibuka na tuzo ya mwanafunzi bora.
Nasikitika kueleza yote haya, na sijawahi, isipokuwa kwa sababaau ya maringo unayoleta hapa, kuwadharau watu waliomaliza high school, imebidi nikupe vidonge.
Pamoja na shahada zangu zote, nawaheshimu watu wote, wakiwemo wazee kule kijini, ambao walinilea na wanaendelea kunilea kwa busara zao. Mtu aliyemaliza hiyo high school anaweza akawa kiongozi mzuri na mwenye busara kuliko yule mwenya Masters au PhD.
Kama kweli unaheshimu shahada za vyuoni anza utafiti huko huko CCM uone wenzako ambao wanaringia shahada ambazo zina utata. Kwa mfano Mary Nagu hakusoma chuo na kupata shahada yake katika chuo kinachotambuliwa na taasisi yoyote ya kitaaluma inayotathmini na kuidhinishaa shughuli za vyuo. Hapa Marekani tunaita "accreditation agencies."
Anza kwanza kuisafisha CCM, ambayo ina watu wanaodai wana PhD kumbe hazijatoka kwenye vyuo vyenye sifa.
Unacholeta hapa ni kile kinachoitwa "intellectual arrogance," ambayo kwa mtazamo wangu ni dalili ya kutoelimika.
Mtu aliyeelimika anapaswa kufahamu kuwa elimu haiko vitabuni au shuleni tu. Inapatikana pia kwa wazee vijijini.
Halafu nashangaa mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini. Mimi sio mwachama wa chama chochote cha siasa, ila nimeona nirekebishe dosari katika kauli yako.
"KUVULIWA
VYEO ZITTO NI AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA"
Sijaona sehemu imeandikwa vyeti hapo, ni akili. Ni kama prof ndiye anaamini akili ni vyeti, ndiyo maana akalazimika kutaja wasifu wake.
Huu ni ushahidi kwa vitendo kuwa vyeti si akili, pamoja na mavyeti mengi yenye A A prof kashindwa kuielewa sentesi hiyo fupi!!
Prof "hana chama" lakini amepaniki, anashangaa yanamhusuje Mwigulu huku akijua Mwigulu ni mwanasiasa lakini zaidi ni mtanzania, au kauli ya Mwigulu inamhusuje prof huko marekani?
Da kweli mkuu! Siku hiyo nilikuwa dukani nimetune TV,da Mwigulu alikashifu sana lakini sikujua kama iliandaliwa na Zitto.Tangu lini Mwigulu akawa na uchungu na Zitto? Mwigulu alishawahi KUITUPA CHINI BAJETI KIVULI iliyoandaliwa na Zitto na kusema ni matapishi. Sasa inakuwa leo anamsifia na kumtetea?
Huu ni unafiki mkubwa
Kwani Dj alifika hata hiyo high school?
Au kupiga disco nako ni high school
Hebu tulia kidogo mkuu!!!!
Mwanachama wa chadema akawe mwenyekiti wa ccm!!!!????
Hapa umeandika bila kutafakari mkuu!!!!
your right professor several times I used to ask myself ''who taught the first professor?'' mwache huyo mwehu mwigulu na first yake fake ambayo haisaidii hata familia yake nini jimbo lakeHii imetokea baada ya Mwigulu kuanza kupinga mabadiliko yaliyofanywa na CDM kwenye blog yake akisema" KUVULIWA VYEO ZITTO NI AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA
Soma aliyoandika Mwigulu ambacho kinaonyesha kumkere sana Prof.
MWIGULU NCHEMBA BLOG: KUVULIWA VYEO ZITTO KABWE"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATWALA AKILI KUBWA"
Joseph MbeleMwigulu NchembaKwanza kabisa, zingatia kuwa maamuzi hayo yamefanywa kidemokrasia. Hakuna mtu katika chama makini ambaye yupo juu ya utaratibu huu
Chama kina wanachama maelfu, hao ndio CHADEMA; sio mtu fulani au mtu fulani. Ungekuwa na akili kubwa ungetambua hilo.
Yawezekana umesoma shule, lakini hujaelimika. Uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo. Unadhani kuwa na vyet na digirii ndio sifa sana.
Ngoja nikueleze. Mimi ninayeandika hapa ni profesa Mtanzania hapa Marekani. Nilihitimu B.A (First Class, UDSM, 1973), M.A. 1978, UDSM) nikiwa nimepata "A" katika masomo yote, Nikahitimu M.A. (1982) na PhD (1986) katika Chuo Kikuu cha Wisconsin-Madison, Marekani, tena niliibuka na tuzo ya mwanafunzi bora.
Nasikitika kueleza yote haya, na sijawahi, isipokuwa kwa sababaau ya maringo unayoleta hapa, kuwadharau watu waliomaliza high school, imebidi nikupe vidonge.
Pamoja na shahada zangu zote, nawaheshimu watu wote, wakiwemo wazee kule kijini, ambao walinilea na wanaendelea kunilea kwa busara zao. Mtu aliyemaliza hiyo high school anaweza akawa kiongozi mzuri na mwenye busara kuliko yule mwenya Masters au PhD.
Kama kweli unaheshimu shahada za vyuoni anza utafiti huko huko CCM uone wenzako ambao wanaringia shahada ambazo zina utata. Kwa mfano Mary Nagu hakusoma chuo na kupata shahada yake katika chuo kinachotambuliwa na taasisi yoyote ya kitaaluma inayotathmini na kuidhinishaa shughuli za vyuo. Hapa Marekani tunaita "accreditation agencies."
Anza kwanza kuisafisha CCM, ambayo ina watu wanaodai wana PhD kumbe hazijatoka kwenye vyuo vyenye sifa.
Unacholeta hapa ni kile kinachoitwa "intellectual arrogance," ambayo kwa mtazamo wangu ni dalili ya kutoelimika.
Mtu aliyeelimika anapaswa kufahamu kuwa elimu haiko vitabuni au shuleni tu. Inapatikana pia kwa wazee vijijini.
Halafu nashangaa mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini. Mimi sio mwachama wa chama chochote cha siasa, ila nimeona nirekebishe dosari katika kauli yako.
Mwanachama wa chadema akawe mwenyekiti wa ccm!!!!????
Hapa umeandika bila kutafakari mkuu!!!!
Huna lolote,vitu vilivyoachwa na mkoloni vyote mashamba makubwa,reli,bandari,elimu ccm imeviua halafu unakuwadia ccm bila aibu hata chembewewe ni zaidi ya punguani jiangalie vizuri.
Hii imetokea baada ya Mwigulu kuanza kupinga mabadiliko yaliyofanywa na CDM kwenye blog yake akisema" KUVULIWA VYEO ZITTO NI AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA
Soma aliyoandika Mwigulu ambacho kinaonyesha kumkere sana Prof.
MWIGULU NCHEMBA BLOG: KUVULIWA VYEO ZITTO KABWE"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATWALA AKILI KUBWA"
Joseph Mbele Mwigulu NchembaKwanza kabisa, zingatia kuwa maamuzi hayo yamefanywa kidemokrasia. Hakuna mtu katika chama makini ambaye yupo juu ya utaratibu huu
Chama kina wanachama maelfu, hao ndio CHADEMA; sio mtu fulani au mtu fulani. Ungekuwa na akili kubwa ungetambua hilo.
Yawezekana umesoma shule, lakini hujaelimika. Uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo. Unadhani kuwa na vyet na digirii ndio sifa sana.
Ngoja nikueleze. Mimi ninayeandika hapa ni profesa Mtanzania hapa Marekani. Nilihitimu B.A (First Class, UDSM, 1973), M.A. 1978, UDSM) nikiwa nimepata "A" katika masomo yote, Nikahitimu M.A. (1982) na PhD (1986) katika Chuo Kikuu cha Wisconsin-Madison, Marekani, tena niliibuka na tuzo ya mwanafunzi bora.
Nasikitika kueleza yote haya, na sijawahi, isipokuwa kwa sababaau ya maringo unayoleta hapa, kuwadharau watu waliomaliza high school, imebidi nikupe vidonge.
Pamoja na shahada zangu zote, nawaheshimu watu wote, wakiwemo wazee kule kijini, ambao walinilea na wanaendelea kunilea kwa busara zao. Mtu aliyemaliza hiyo high school anaweza akawa kiongozi mzuri na mwenye busara kuliko yule mwenya Masters au PhD.
Kama kweli unaheshimu shahada za vyuoni anza utafiti huko huko CCM uone wenzako ambao wanaringia shahada ambazo zina utata. Kwa mfano Mary Nagu hakusoma chuo na kupata shahada yake katika chuo kinachotambuliwa na taasisi yoyote ya kitaaluma inayotathmini na kuidhinishaa shughuli za vyuo. Hapa Marekani tunaita "accreditation agencies."
Anza kwanza kuisafisha CCM, ambayo ina watu wanaodai wana PhD kumbe hazijatoka kwenye vyuo vyenye sifa.
Unacholeta hapa ni kile kinachoitwa "intellectual arrogance," ambayo kwa mtazamo wangu ni dalili ya kutoelimika.
Mtu aliyeelimika anapaswa kufahamu kuwa elimu haiko vitabuni au shuleni tu. Inapatikana pia kwa wazee vijijini.
Halafu nashangaa mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini. Mimi sio mwachama wa chama chochote cha siasa, ila nimeona nirekebishe dosari katika kauli yako.
kwa hiyo ulitaka sugu amwage hela mtaani kwakeyeye na uprofesa wake anatofauti gani na sugu kafanya nini hata mtaani kwake tu.
na pia mwambie prof kajua hilo ndio maana kaweka angalizo ''sikutaka kufika hapa''Hajajishusha hata kidogo kwani Vikizidi kama vya Mwigu huwa ni mno hivyo kuna wakati vinatakiwa kupunguzwa kama visipojipunguza.
kwa hiyo ndio degree ya mnyalu aliyokuwa anachukua uingereza?View attachment 122943 View attachment 122944
Pole sana ndugu ndio unatekeleza ile kauli ya nafuu kuwa mfungwa Uingereza kuliko kuishi Tanzania
Kelele tu wote hao!!!!!
Angetuwekea machapisho ya njia za kuinua vijana wa Kitanzania kutokana na shughuli za kiuchumi za hapa!!!!!!