Prof. Mbele amtolea Uvivu Mwigulu Nchemba

Prof. Mbele amtolea Uvivu Mwigulu Nchemba

alicho kieleza Prof ni kweli elimu siyo ya darasani,kuna watu hata shahada hawakuwa nazo ila walifanya mambo makubwa mpaka leo tunawakumbuka EINSTEN,NEWTON,BILL GATES mbona hawakuwa na hata shahada ila mambo waliyofanya ni makubwa sana
 
Mtu aliyesoma vitabu huchambua mambo kwa utafiti na rejea lakini mtu aliye na cheti hushabikia mambo na kulaani watu na hata kuwahukumu.tusishangae ni kwa nini wtz wengi wanalaumu mambo mengi ya nchi hii lakini hawana jibu na sulhu ya matatizo yao.bali huishia kuwa washabiki wa watu na vyama vyao.
 
Weka wazi, mafuriko yaliyotokea wapi? Tangu lini bongo tukatoa misaada ya mafuriko kwenda Illinois au Phillipines? Hiyo ndo kazi inakuweka mjini na kuweza kupiga picha mbele ya Vogue la weñyenazo. Kama hiyo syo kazi yako tuambie sasa kazi yako ni ipi na ofisi ziko wapi?
Mkuu mimi ofisi ni popote pale penye boksi
 
mtu mwenyewe anaitwa mbele halafu ashindane na mwigulu kwa kipi huyo ni miongoni mwa maprofesa wachovu ambao hawajitambui.

Walewalee... hata kanuni za uandishi huzijui eti unamkosoa prof. Bongo vijana wengi mnatembea mkiwa mmekufa akili mmebakiwa na ubomgo tu.
 
Maprofesa Wakichagga bana hata wakielimika bado Wanaendekeza Ubaguzi,kila mtu ana haki ya kutoa maoni!!nakumbuka kwenye utafiti wao UD walisema TZ imeshika juu kabisa,wananchi wao kukata tamaa,hata nchi hizi wametuzidi,SOMALIA MISIRI SUDAN, AFRIKA YAKAT.YAN WAMEKAA KICHADEMACHADEMA TU.

Pole sana, wewe una shida sana na wachaga? Kwani walikutenda nini watanzania hawa? Tangu lini MBELE akawa mchaga? Una matatizo ya kisaikolojia kiasi kwamba kila mpamabanaji unaamini kwamba ni mchaga.
 
"KUVULIWA
VYEO ZITTO NI AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA"

Sijaona sehemu imeandikwa vyeti hapo, ni akili. Ni kama prof ndiye anaamini akili ni vyeti, ndiyo maana akalazimika kutaja wasifu wake.
Huu ni ushahidi kwa vitendo kuwa vyeti si akili, pamoja na mavyeti mengi yenye A A prof kashindwa kuielewa sentesi hiyo fupi!!
Prof "hana chama" lakini amepaniki, anashangaa yanamhusuje Mwigulu huku akijua Mwigulu ni mwanasiasa lakini zaidi ni mtanzania, au kauli ya Mwigulu inamhusuje prof huko marekani?
​Duh! Walewale! Sasa hii katika CCM ndio Akili Kubwa? ​Kweli haya majanga.
 
Wee kenge hapo nilikuwa napakia mizigo ya misaada kwa ajili ya ndugu zako waliopatwa na mafuriko halafu leo unanicheka. Ngoja mvua zianze kunyesha tena..

Acha uongo, msaada huo ulitoa wewe? Huna pesa ya kutoa msaada wewe ni kuli tu na tapeli. Chadema walikushtukia mapemaaaaaaaaaa.
 
Wee kenge hapo nilikuwa napakia mizigo ya misaada kwa ajili ya ndugu zako waliopatwa na mafuriko halafu leo unanicheka. Ngoja mvua zianze kunyesha tena..

Lete hoja wee kuli mkubwa wa UK, acha kuita wenzio Kenge na kutuombea mafuriko au mara hii umeshasahau kwenu umeacha vibibi vya kihehe ambavyo haviwezi kimbia mafuriko? Na kwa taarifa yako hivi sasa kwenu mvua inamwagika hata ulanzi haupandi tena?
 
Prof Mbele namkubali sana. Toka mwaka 2008 nimekuwa nikisoma sana machapisho yake. Ni msomi anayejitambua na anayefahamu nini anafanya.
 
una uhakika gani kama huyu Prof kasoma masomo ambayo ayana hesabu au ukishaona B.A OR M.A unajua tu kua kasoma masomo ambao hamna hesabu. Hacha utaira wewe kwani Huyu mumbwa @Mwigulu si amesoma Economics je kwa mlimani hiyo faculty hiyo inaitwaje km si BA ECONOMICS ,alafu kwani ukisoma masomo ambao hayana hesabu ndo unakuaje hacha kukurupuka kwa usilolijua mumbwa mkubwa wewe.

ndo shida ya kusoma masomo ambayo hayana hesabu
 
Prof yapaswa tukufahamishe kuwa huyu mwenezi wa ccm ni punguani,maneno yasiingie akilini kwako!ndiye ndondocha la chama
Nimechekaje kujifanya unaakiri kubwa halafu ukakutana na kubwa lao,matokeo yake lazima udate.Pole mwigulu utajibeba braza
 
nape na mwigulu ni kansa kubwa ccm, wanashindwa kushughulikia matatizo makubwa ndani ya ccm, wanarukia ya chadema, mimi naona elimu ya mwigulu ina walakini hata kama amesoma, ina wezekana alitoa ujinga tu, sasa amchukue huyo zitto ampe cheo ccm, roho yake isuzike
 
Profesa kasema kweli. Hivi ukimchukua Mwigulu mwenye Masters first class ukamuweka na JJ Mnyika form 6 halafu ukawaambia watu waangalie jinsi wanavyojenga hoja zao mbalimbali au jinsi wanavyo behave nani ataonekana msomi zaidi?
Mwigulu ni mchumi daraja la I sio kwamba alipata first class hili lifahamike hivyo. Hajafikia level ya Senior Economist kuelekea Principal Economist hadi Chief Economist (Kama kina Prof. LIPUMBA). So anawachanganya watu wafikiri alipata first class. Katika level ya wachumi huyu ni mtu mdogo sana hawezi pewa kazi ya kuandika mradi ama kusimamia kwenye mashirika ya kimataifa coz hajafikia level zinazotakiwa .
 
Back
Top Bottom