MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,009
- 2,173
Jamani nimepatwa na mshtuko na mzee wetu huyu ambae
watu wengi wanampenda na kumheshimu tangu akiwa
udsm;nashangaa vipi leo hii awe mstari wa mbele kutetea
vihiyo wa elimu;je akuhsika kupitisha wanafunzi feki huyu
akiwa udsm
nimepatwa na woga hata elimu yake mwenye nafasi atusaidie
pamoja na kwamba yuko tcu tunaweza kutafuta uhalisi wa
prof yake
alunta kontinyua
vihiyo wa elimu wajitokeze sasa kuhakiki elimu zao
CV ya mkuu huyu iko hapa;
http://nairobi.daad.de/daad_scholar_stephen_gaya_agong.php
Haina tatizo sana ila naamini hoja ni yale yaliyosemwa na Bw. Musemakweli. Kwamba anawinda heshima kwa wanasiasa ingawa hata yeye anafahamu udhaifu wao ktk shule.
Mwanzoni nilidhani ujumbe wake ulikuwa kwa spika kwa kujichukulia hatua za kupitisha vyeti vya Waziri Matayo. Mawaziri na wabunge wanaonekana kupata kinga toka kwa spika utadhani ndiye aliyewapa Vyeti.
Elimu ya Spika ikoje? Au anawinda kura zao ktk kuwania uspika?