Prof. Mayunga Nkunya kwa hili Unatuchanganya kabisa!

Jamani nimepatwa na mshtuko na mzee wetu huyu ambae
watu wengi wanampenda na kumheshimu tangu akiwa
udsm;nashangaa vipi leo hii awe mstari wa mbele kutetea
vihiyo wa elimu;je akuhsika kupitisha wanafunzi feki huyu
akiwa udsm
nimepatwa na woga hata elimu yake mwenye nafasi atusaidie
pamoja na kwamba yuko tcu tunaweza kutafuta uhalisi wa
prof yake
alunta kontinyua
vihiyo wa elimu wajitokeze sasa kuhakiki elimu zao

CV ya mkuu huyu iko hapa;
http://nairobi.daad.de/daad_scholar_stephen_gaya_agong.php

Haina tatizo sana ila naamini hoja ni yale yaliyosemwa na Bw. Musemakweli. Kwamba anawinda heshima kwa wanasiasa ingawa hata yeye anafahamu udhaifu wao ktk shule.

Mwanzoni nilidhani ujumbe wake ulikuwa kwa spika kwa kujichukulia hatua za kupitisha vyeti vya Waziri Matayo. Mawaziri na wabunge wanaonekana kupata kinga toka kwa spika utadhani ndiye aliyewapa Vyeti.

Elimu ya Spika ikoje? Au anawinda kura zao ktk kuwania uspika?
 
....................................................[snip]

Nilikuwa na thread ya Dr Magufuli kuhoji Phd yake ya miaka 3 ,wakati ni full time Cabinet minister,nimeshangaa kuona watu hawataki kuelewa mantiki .JE NI KWELI SUPERVISOR WAKE ALIKUWA NKUNYA?hebu wanaojua semeni ukweli

Supevisor wake alikuwa classmate wake aitwaye Dr Akwilapo anaonekana hata mtandaoni.

Yaonekana jamaa alifanyiwa kazi maana hata maabara alikuwa haingii.

Ni sahihi kusema ma-prof. Uchwala watatuponza maana hakuna mwanasiasa atakayekosa Ph.D
 
Prof. Mayunga Nkunya ni mmoja ya wasomi dhaifu na waoga sana. Elimu aliyopata haijampa uhuru kamili, anawaogopa sana wanasiasa kwani anaamini ndiyo wanaomfadhili kwa kumpa vyeo uchwara. Kuna wasomi wa aina mbili, wapo waliokombolewa na elimu yao,ambao wao vyeo uchwara siyo priority na kila siku wanasema ukweli tu.

Nadhani Prof. alikuwa katika nafasi nzuri kulitolea hili maelezo kwa mujibu wa taratibu zilizoanzisha hicho chombo. Kama hicho chombo kipo kisheria na hakitimizi wajibu wake/au hakina meno sasa Watanzania wafanye je?

Nkunya ameshindwa kuufahamisha umma, kama hao waliotaka awapelekee vyeti vyao kuvithibistisha wasipotii watachukuliwa hatua gani.

Na je, utaratibu huu umekuwepo tangu kuanzishwa kwa hiki chombo na kama haupo kwanini, na leo unatumia utaratibu gani kuwaagiza hawa?

Na je, hiki chombo kimekuwa kikiratibu vipi shahada mbalimbali ambazo yeye anadai kuwa ndio chombo pekee chenye madaraka?

Na je, tangu hii kashfa imeibuliwa, kwa yeye kufahamu na kuwa kiongozi wa hiki chombo amechukua hatua gani kabla ya msemakweli kuhamua kulivalia njuga hili?

Sio kweli kuwa anatumika na wanasiasa hao hao kuwafunga waTanzania midomo yao dhidi ya mafisi/mafisadi hawa elimu?
 
TCU: Officials want us to verify their degrees

By Dominic Nkolimwa
15th February 2010

Goverment officials alleged to possess fake degrees, have started contacting the Tanzania Commission for Universities (TCU) to have their certificates verified.

The move comes at a time when a number of ministers and politicians are alleged to possess fake academic certificates.

The debate highlighting high profile officials, including Members of Parliament, allegedly holding fake degrees, took a new turn when the TCU said those questioning the documents were indulging in witch-hunting.

TCU Secretary, Prof Mayunga Nkunya told this paper through a telephone interview that already his office has started receiving calls from government officials expressing their intention to present their degree certificates for verification.

Prof Nkunya, without disclosing the names of the officials who had contacted him, said the matter should be handled with care because the alleged officials are public figures.

“What has been done by Kainerugaba Msemakweli is totally wrong, because he has no mandate of announcing or verifying any academic certificate. It is TCU alone that has the mandate to verify degree certificates,” he said.

He said Msemakweli’s allegations were against Act No7 which states the establishment, composition and functions of the Commission.

But Msemakweli defended what he has published, claiming a thorough investigation was carried out and that he was ready to defend it before a court of law.

Prof Nkunya on the other hand, insisted that only TCU and the National Accreditation Council for Technical Education (NACTE) were mandated to verify the credentials.

“We have never co-operated with Msemakweli in verifying the credentials and validity of the awards of the people he has named,” he said, adding that what the writer had done was against the law.

“That is pure witch-hunting and is very dangerous for a country like Tanzania which is well known for observing the law and safeguarding human dignity,” Prof Nkunya noted.

Few months ago, Msemakweli named some government officials claiming they were possessing fake degree certificates.

He later published a book entailing names and pictures of ministers alleged to possess such degrees.

SOURCE: THE GUARDIAN
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom