Prof. Mark James Mwandosya kuhamia upinzani?

hahah.. ukiwa unabishana na vichaa inabidi uwe na akili ya ukichaa kidogo, vijana wa ukawa wengi wao wanakichaa ivyo dawa ya moto ni moto, wakiweka tusi unawapa matusi ndio dawa yao maana hakuna namna, wakileta hoja basi mnaenda kwa hoja, kashfa kwa kashfa. maana hakuna namna lazima wakome tu

Hii wazungu wanaita mouth diarrhoea
 
Tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya CCM Prof.Mark Mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za CHADEMA na UKAWA bwana Yeriko Nyerere na wenzake.

Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa Prof.Mwandosya na familia yake ameniambia kuwa PROFESA mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa HANA MPANGO WA KUHAMA CCM.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa PROFESA kwa sasa yupo nchini MAREKANI katika shughuli zake binafsi.
Kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama SUMAYE na mwizi mwenzie LOWASSA au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI UCHAGUZI
MUNGU MUONGEZE PROFESA MWANDOSYA KATIKA KUTOA MAAMUZI YAKE
AMEN.

Kama wenzako ni vibara wewe.huna hata jina. Maana hata kijakazi ni jina laheshima sana.Unafikiri nchi hii ni wewe tu una macho.Sisi hakiu maendeleo ambayo hatuna.Ila namna tunaona watanzania Wenzetu wanatesa kamwe hatutaichagua ccm hilo ni agizo la ukoo wote wakiwemo na wakwe zetu ambao miongoni mwao ni ccm lakini hawataichagua
 
Maamzi yamtu yako ndani ya roho yake mkuu huwezi mpangia mtu maamzi yake. Kwa ukawa tumeona dr slaa kachkua maamzi yake mwenyewe pia profs lipumba hao pia tumeona kwaupande wawatawala tumeona pia mheshimiwa lowasa, mheshimiwa sumaye pamoja nawengine wengi akina esta blaya etc. Kwahiyo huwezi semea maamzi yamtu binafs. Lakini kwaupande wawatawala wakitoka watu kama hao kunapwaya sana nakupoteza imani kwawananchi ukilinganisha nahawa wapinzani ambao mpaka sasa nyota yao inangara tofauti nawatawala. Upnzn walio toka hawajafanya madhala makubwa ukilinganisha na wanaotoka kwawatala. JAMBO LAMSINGI TU NIKUFANYA MAOMBI ILI ASIFANYE MAAMZ MAGUM.
 
tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya ccm prof.mark mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za chadema na ukawa bwana yeriko nyerere na wenzake.

Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa prof.mwandosya na familia yake ameniambia kuwa profesa mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa hana mpango wa kuhama ccm.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa profesa kwa sasa yupo nchini marekani katika shughuli zake binafsi.
kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama sumaye na mwizi mwenzie lowassa au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya ccm.

Mungu ibariki tanzania
mungu bariki uchaguzi
mungu muongeze profesa mwandosya katika kutoa maamuzi yake
amen.

sumaye nae kazidiwa na mikutano!!! Inabidi kusali ili proffessor nae aingie kwenye kundi kwani mbowe na vidagaaa kama mnyika, tundu, msigwa, na mdee wameelemewa kwenye majimbo yao kwa hivyo wanahitaji msaada na hawawezi kuwa katika msafara wa mzee wa mahaba!
 
Tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya CCM Prof.Mark Mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za CHADEMA na UKAWA bwana Yeriko Nyerere na wenzake.

Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa Prof.Mwandosya na familia yake ameniambia kuwa PROFESA mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa HANA MPANGO WA KUHAMA CCM.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa PROFESA kwa sasa yupo nchini MAREKANI katika shughuli zake binafsi.
Kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama SUMAYE na mwizi mwenzie LOWASSA au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI UCHAGUZI
MUNGU MUONGEZE PROFESA MWANDOSYA KATIKA KUTOA MAAMUZI YAKE
AMEN.

Magambaz at work
 
utakufa wewe, mmeo, wanao na bibi zako CCM mtaiacha

hili tatizo la kunywa bila kula ndo lilimfanya mkapa kumuharibia magufuli mkutano wake wakati magufuli aliwaita watu awaombe kura bwana viroba yeye akawatus ndo ka we hapa hoja huna unachomokwa na mitusi tu
 
Tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya CCM Prof.Mark Mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za CHADEMA na UKAWA bwana Yeriko Nyerere na wenzake.

Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa Prof.Mwandosya na familia yake ameniambia kuwa PROFESA mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa HANA MPANGO WA KUHAMA CCM.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa PROFESA kwa sasa yupo nchini MAREKANI katika shughuli zake binafsi.
Kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama SUMAYE na mwizi mwenzie LOWASSA au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI UCHAGUZI
MUNGU MUONGEZE PROFESA MWANDOSYA KATIKA KUTOA MAAMUZI YAKE
AMEN.

Mkuu, unawaza kwa kutumia kichwa kweli au kitu kingine? Au Mimi ndiye sijakuelewa?

Yaani Mark Mwandosya akihamia upinzani "ni kujivua nguo?" ......How?

Yaani mtu akihama CCM kwenda upinzani ndo anageuka kuwa "mwizi" na "fisadi" siyo??

I don't get you!!....Ndiyo maana nakuuliza unawaza kutoka juu kichwani au chini ya kiuno??

Kwa sababu wezi hawapaswi kuwa uraiani wakati CCM ndiyo wanaongoza serikali yenye dola!!!... Tusemeje sasa? Wazembe au nyie ndiyo wezi na mafisadi?
 
Hivi haiwezekani kura yangu kwa Lowasa ikatangulia NEC mapema ili niweke rekodi ya kuwa mtanzania wa kwanza kupiga kura ya ndio kwa rais wa awamu ya tano.
 
Tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya CCM Prof.Mark Mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za CHADEMA na UKAWA bwana Yeriko Nyerere na wenzake.

Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa Prof.Mwandosya na familia yake ameniambia kuwa PROFESA mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa HANA MPANGO WA KUHAMA CCM.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa PROFESA kwa sasa yupo nchini MAREKANI katika shughuli zake binafsi.
Kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama SUMAYE na mwizi mwenzie LOWASSA au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI UCHAGUZI
MUNGU MUONGEZE PROFESA MWANDOSYA KATIKA KUTOA MAAMUZI YAKE
AMEN.

Duuuuuu, huenda hoja yako ni nzuri lakini umeiandika kwa jazba. Kuwa na uweo wa ku control hisia zako hasa unapopost vitu ambavyo unajua vinasomwa na watu wengi, zaidi ya hapo unakuwa unaonyesha level (labda level ndogo) ya uelewa wako. Usitake pia kuonyesha watu kwamba huna uelewa wa kutosha katika masuala ya demokrasia. Katika nchi ya kidemokrasia, mtu kuhama chama siyo kujivua nguo au ndo kuanza kutukana watu kama ni wezi. Kuna wakati tuwe na adabu, kumwita mtu mwizi kwenye mitandao, mtu mzima kama hao unaowaita wezi, nadhani hata nafsi zitusute. Siasa siyo uadui, tukosoane kwa adabu bila kuondoa utu wa wenzetu.
 
Kuhama chama cha siasa kimoja kwenda kingine ni kujivua nguo!? Unamaanisha nini mkuu? CCM inasitiri kuliko nguo
tunazoziona wamezivaa?
 
Kawakama ni kweli mkuu,umenena atakuwa amejivua nguo,kwanza ni mtu ambaye mie nadhan anapaswa kurejesha shukran nyingi sana kwa jinsi walivyo mheshimu awamu iliyopita,wakamuuguza hana alicholosewa na naona hana sababu ya kuhama chama.
 
Kuhama chama cha siasa kimoja kwenda kingine ni kujivua nguo!? Unamaanisha nini mkuu? CCM inasitiri kuliko nguo
tunazoziona wamezivaa?
 
Tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya CCM Prof.Mark Mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za CHADEMA na UKAWA bwana Yeriko Nyerere na wenzake.

Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa Prof.Mwandosya na familia yake ameniambia kuwa PROFESA mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa HANA MPANGO WA KUHAMA CCM.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa PROFESA kwa sasa yupo nchini MAREKANI katika shughuli zake binafsi.
Kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama SUMAYE na mwizi mwenzie LOWASSA au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI UCHAGUZI
MUNGU MUONGEZE PROFESA MWANDOSYA KATIKA KUTOA MAAMUZI YAKE
AMEN.

Kumbe ni Gamba linalotupotea muda wa kusoma huu uzi:eek::eek:
 
Back
Top Bottom