Prof. Mark James Mwandosya kuhamia upinzani?

Pole mtoa mada kwa kudhani kila aliye ccm ni mwana ccm. Kuna ambao tumewabakiza huko kwa kazi maalum. Wao hufanya kazi ya ukawa ndani ya ccm, na kwa kweli wanaifanya kwa uadilifu mkubwa kiasi kwamba tunaweza kutembea kifua mbele kwamba come oct 25, ccm kwisha kabisa.
 
Wezi tu ndio watakimbilia upinzani

Nadhani umekosea kidogo tu, sahihisha hapo ni kwamba wezi hawawezi kuhama ccm sababu wanaogopa kushtakiwa ila wakibaki ccm wataendelea kulindwa coz ccm ndiyo pango la wezi, wafi wasio na shaka kama Lowassa na Sumaye wamehama na hawajafanywa chochote.
 
E mungu baba uliye juu mbinguni,mwinue profesa mark mwandosia,aje ajiungena UKAWA
Kama mungu akisikia kilio cha watanzani,na ikampendeza prof: Mark mwandosya. tunamkaribisha kwa heshima zote ndani ya UKAWA
 
E mungu baba uliye juu mbinguni,mwinue profesa mark mwandosia,aje ajiungena ukawa.
Kama mungu akisikia kilio cha watanzani,na ikampendeza pr mark mwandosy,tunamkaribisha pr kwa heshima zote ndani ya ukawa
Funguka mkuu.

Swissme
 
Kila asiye kinyume chetu yu'upande wetu by jesus 2000 yrs ago!!!!!! Kwahiyo wote waliojikalia kimya ndani ya ccm wako ukawa.
 
Naona idadi ya watiania inaongezeka...from Sumaye to Mwandosya...huyu nae bado anamatumaini ya kuwa rais wa JMT? Haya..mchukueni na huyu kabisa 👇
 

Attachments

  • 1442361878819.jpg
    1442361878819.jpg
    55.5 KB · Views: 498
Naona idadi ya watiania inaongezeka...from Sumaye to Mwandosya...huyu nae bado anamatumaini ya kuwa rais wa JMT? Haya..mchukueni na huyu kabisa 👇

...wala sikushangai, huyu kwenu hawezi kua na thamani, ccm si imekua ya wafanyabiashara siku hizi!!
 
Back
Top Bottom