Prof. Mark James Mwandosya kuhamia upinzani?

Whoever posted this is too myopic.
The fact that someone chooses the other political party over CCM doesnt make him or her a fool.
I wonder if your schooling brought any positive impact in your life.
I doubt if u really understand the term democracy. You think decimally. Grow up

I doubt if you really know the way Tanzanian politics goes......you must be insulted and cursed if you oppose someones ideas.
 
sumaye hana tofauti na bata au popo ambaye alidhani anamnyea Mungu aliyemuumba kwa kulala kichwa chini miguu juu ili amnyee Mungu matokeo yake akinya mavii yote yanamrudia yeye by Lusinde

Hahahahahahahaahhaahahah sasa nimejua kwann umeandika uliyoandika kwny thread yako hii hahahahaah
 
Tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya CCM Prof.Mark Mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za CHADEMA na UKAWA bwana Yeriko Nyerere na wenzake.

Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa Prof.Mwandosya na familia yake ameniambia kuwa PROFESA mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa HANA MPANGO WA KUHAMA CCM.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa PROFESA kwa sasa yupo nchini MAREKANI katika shughuli zake binafsi.
Kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama SUMAYE na mwizi mwenzie LOWASSA au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI UCHAGUZI
MUNGU MUONGEZE PROFESA MWANDOSYA KATIKA KUTOA MAAMUZI YAKE
AMEN.
Mbona umeshajijibu mwenyewe halafu huna uhakika na jibu lako.
 
Kwa hiyo akirudi upinzani na yeye utamuitamwizi?
 
tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya ccm prof.mark mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za chadema na ukawa bwana yeriko nyerere na wenzake.

Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa prof.mwandosya na familia yake ameniambia kuwa profesa mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa hana mpango wa kuhama ccm.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa profesa kwa sasa yupo nchini marekani katika shughuli zake binafsi.
kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama sumaye na mwizi mwenzie lowassa au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya ccm.

Mungu ibariki tanzania
mungu bariki uchaguzi
mungu muongeze profesa mwandosya katika kutoa maamuzi yake
amen.

kaka tuweke siasa pembeni na ushabiki,unakumbuka wakati sumaye anataka kuhamia ukawa maneno gani yalikanushwa?hata siku moja usipende kufuatilia au kuchunguza mambo binafsi ya mtu,kama anahama mbona ni sawa tu,ni mtu mzima na anafahamu anachokifanya,
kuna msemo unaseme "it is always impossible until it is done"
 
Tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya CCM Prof.Mark Mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za CHADEMA na UKAWA bwana Yeriko Nyerere na wenzake.

Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa Prof.Mwandosya na familia yake ameniambia kuwa PROFESA mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa HANA MPANGO WA KUHAMA CCM.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa PROFESA kwa sasa yupo nchini MAREKANI katika shughuli zake binafsi.
Kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama SUMAYE na mwizi mwenzie LOWASSA au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI UCHAGUZI
MUNGU MUONGEZE PROFESA MWANDOSYA KATIKA KUTOA MAAMUZI YAKE
AMEN.

Kujivua nguo..??
 
hakuji UKAWA ng'oooooo hata kwa uchawi wenu

kaka tuweke siasa pembeni na ushabiki,unakumbuka wakati sumaye anataka kuhamia ukawa maneno gani yalikanushwa?hata siku moja usipende kufuatilia au kuchunguza mambo binafsi ya mtu,kama anahama mbona ni sawa tu,ni mtu mzima na anafahamu anachokifanya,
kuna msemo unaseme "it is always impossible until it is done"
 
..mleta mada unaweweseka tu huna lolote, unadhani ccm ndio ilimzaa mwandosya?!
sisi sio chama cha kuchezewa hata kidogo na pia ccm haina mtu mmoja kulisibitisha hilo ni pale alipoondoka lowassa mpaka sasa bado kipo imara na watu wanazidi kuongezeka kila siku.
 
Kuna katetesi kanaenea kuwa "hali sio nzuri" na jamaa wamemfikiria Profesa kuwa kama alternative baada ya kuona sumu-ya-mawe hauziki., hali ya singida watu wameikalia kimya hawaiongelei maana inawahusu.

Kama mtoa mada alivyosema, wakati ukuta, tusubiri tuone, bado siku 40 ni nyingi sana, what I know "hakuna marefu yasio na ncha" tutaona yote ya ukweli.
 
mkuu dizaini umepanic sana naona unajambajamba tu hapo
Si ujibu tu masuali yangu ,tena nimekusaidia kuweka hitimisho ,kazi yako ni ndogo tu -utuelekeze utunzi wako ulikuwa umelenga hitimisho lipi ,kuasa,kutisha,kutukana au the obvious one kubwabwaja?
Hiyo mambo ya kuni label kama mtu aliyepanick loosely haikusaidii kujibu hoja za msingi Zaidi ya kuonekana mtu wa kuachilia kila kipitacho akilini mwako bila mchujo!! nataraji your next reply will not disappoint me !
 
mwandosya jitokeze ujibu tuhuma za kuhama ccm tumwage mapungufu yako hadharani
 
Back
Top Bottom