Prof. Mark James Mwandosya kuhamia upinzani?

Tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya CCM Prof.Mark Mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za CHADEMA na UKAWA bwana Yeriko Nyerere na wenzake.

Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa Prof.Mwandosya na familia yake ameniambia kuwa PROFESA mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa HANA MPANGO WA KUHAMA CCM.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa PROFESA kwa sasa yupo nchini MAREKANI katika shughuli zake binafsi.
Kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama SUMAYE na mwizi mwenzie LOWASSA au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI UCHAGUZI
MUNGU MUONGEZE PROFESA MWANDOSYA KATIKA KUTOA MAAMUZI YAKE
AMEN.

Andiko hili sijaelewa lina dhumuni gani;
1. Kutujulisha kuwa Mwandosya anahamia upinzani?

2. Kuwasema vibaraka wa Chadema/UKAWA kuwa wanaeneza uongo?

3. Kuonyesha kuwa Mwandosya hana mpango wa kuhamia upinzani na Mungu amtie nguvu asifanye maamuzi hayo?

4. Kumtisha Mwandosya kuwa akihamia upinzani atajidhalilisha kwa sababu ukihamia upinzani unakuwa mpumbavu na lofa?

5. CCM ina wasiwasi kumpoteza kada mwingine maarufu na hivyo kuzuia woga wa kuendelea kuonekana kuwa ni chama kilichochokwa?

Nina maswali mengine mengi najiuliza sijapata jibu, ebu tupe dhumuni hasa ni nini
 
Sometimes Njaa, sometimes kuwa desparate, sometimes Bongo dar es salaam.......yaani ujanja ujanja.
 
Umepaniki

Mmeshapoteza majerali wawili kwa kujiunga na maadui(ukawa), mnahofia kumpoteza wa tatu! Lazima mchanganyikiwe na ingeshangaza kama msinge! Any way, the war is hot and as it is with ur 2 Generals defected to the opponents, your chance of victory is incapacited. LOWASSA KWA MABADILIKO.
 
Tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya CCM Prof.Mark Mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za CHADEMA na UKAWA bwana Yeriko Nyerere na wenzake.

Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa Prof.Mwandosya na familia yake ameniambia kuwa PROFESA mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa HANA MPANGO WA KUHAMA CCM.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa PROFESA kwa sasa yupo nchini MAREKANI katika shughuli zake binafsi.
Kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama SUMAYE na mwizi mwenzie LOWASSA au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI UCHAGUZI
MUNGU MUONGEZE PROFESA MWANDOSYA KATIKA KUTOA MAAMUZI YAKE
AMEN.[/QUOTE

Epileptic symptoms!!
 
Si rahisi yeye kukubali kwamba anahama ila time will tell
 
Mimi nasema aende tu kwàni wao walizaliwa kuwa viongozi peke yao aende zake mtu mwenyewe ni waziri ambaye hana hata wizara.
 
Sijui unataka kueleza nini lakini kama matusi ndo sera ya ccm tumeshayazoea. Msimsemee Mwandosya, jiulizeni mnangoja nini huko?? Matusi yenu kwa wanaohama hayatafunga treni kuondoka. CCM mwisho 25 Oktoba. Unapenda au hupendi hiyo ndo habar ya mujin
 
Tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya CCM Prof.Mark Mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za CHADEMA na UKAWA bwana Yeriko Nyerere na wenzake.

Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa Prof.Mwandosya na familia yake ameniambia kuwa PROFESA mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa HANA MPANGO WA KUHAMA CCM.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa PROFESA kwa sasa yupo nchini MAREKANI katika shughuli zake binafsi.
Kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama SUMAYE na mwizi mwenzie LOWASSA au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI UCHAGUZI
MUNGU MUONGEZE PROFESA MWANDOSYA KATIKA KUTOA MAAMUZI YAKE
AMEN.

Amekwenda nje kikazi
 
Sumaye pia mlikataa nadhani atamkaribisha lowasa mbeya
 
Mbona anayehama ni mwandosya mapovu yanakutoka wewe kwani ulitakaje bwana kamaka.wa
 
Whoever posted this is too myopic.
The fact that someone chooses the other political party over CCM doesnt make him or her a fool.
I wonder if your schooling brought any positive impact in your life.
I doubt if u really understand the term democracy. You think decimally. Grow up

I couldn't write it better! Bravo
 
Kamwe hawezi, kama Kingunge kaona ni ushenzi kuhamia upinzani, sitegemei kwa Professor! Ishu ni ICON ya ufisadi.
 
Tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya CCM Prof.Mark Mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za CHADEMA na UKAWA bwana Yeriko Nyerere na wenzake.

Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa Prof.Mwandosya na familia yake ameniambia kuwa PROFESA mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa HANA MPANGO WA KUHAMA CCM.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa PROFESA kwa sasa yupo nchini MAREKANI katika shughuli zake binafsi.
Kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama SUMAYE na mwizi mwenzie LOWASSA au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI UCHAGUZI
MUNGU MUONGEZE PROFESA MWANDOSYA KATIKA KUTOA MAAMUZI YAKE
AMEN.

What is your basic concern here ..... ? loose mind at work

mbona hujatekenywa unaruka kijana?

msingi wa hoja huuoni au unajitia uzuzu?

Hoja Vioja
 
Back
Top Bottom