Prof. Mark James Mwandosya kuhamia upinzani?

HANA UBAVU HUO...ILI UHAMIE UPINZANI LAZIMA UWE RISK TAKER...kama ni mwoga kama ke baki tu ccm.
 
Tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya CCM Prof.Mark Mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za CHADEMA na UKAWA bwana Yeriko Nyerere na wenzake.

Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa Prof.Mwandosya na familia yake ameniambia kuwa PROFESA mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa HANA MPANGO WA KUHAMA CCM.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa PROFESA kwa sasa yupo nchini MAREKANI katika shughuli zake binafsi.
Kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama SUMAYE na mwizi mwenzie LOWASSA au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI UCHAGUZI
MUNGU MUONGEZE PROFESA MWANDOSYA KATIKA KUTOA MAAMUZI YAKE
AMEN.
"#HESHIMA NA UTU WAKE NDANI YA ccm*#
:blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah:
 
Ninyi CCM msidhani kwamba watu wote ni wajinga.Lowassa might have problems,but he is not the worst.Tunajua what was at stake with Richmond.If lowasa had not agreed to resign,Msabaha tunajua angesema ukweli kuhusu the real people behind Richmond and it would have been a disaster for the government.Lowassa alikubali ku-resign so as to save the government from collapsing,kwa kuwa wahusika wakuu ni very highly placed people.Msituchefue.Lowassa sio fisadi kihivyo kama mnavyodai ninyi.Hamna soni kabisa,mbona mafisadi mnawajua.Mnamchafua mwenzenu namna hiyo bila aibu kabisa,yaani ubinadamu umewatoka kabisa.
Tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya CCM Prof.Mark Mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za CHADEMA na UKAWA bwana Yeriko Nyerere na wenzake.

Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa Prof.Mwandosya na familia yake ameniambia kuwa PROFESA mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa HANA MPANGO WA KUHAMA CCM.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa PROFESA kwa sasa yupo nchini MAREKANI katika shughuli zake binafsi.
Kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama SUMAYE na mwizi mwenzie LOWASSA au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI UCHAGUZI
MUNGU MUONGEZE PROFESA MWANDOSYA KATIKA KUTOA MAAMUZI YAKE
AMEN.
 
Professa Mark Mwandosya ni mmoja kati ya Ngozo kuu la Taifa letu Tanzania ni mtu anayeongozwa na hekima na Busara mmsimsemee anajua tulipo tulipotoka na wapi tunakoenda si mtu wa kukurupuka ana heshima yake Tanzania
 
Malofa na wapumbavu ktk ubora wetu...tatizo ccm mnaendesha Sera kianaloge wakat sasa ni digital kingine mlio shikilia nchi hamjui taabu za wana nchi .... Wananchi wanaona ukawa watawakomboa kila cku ccm mnawaza kukandamiza wananchi
 
Alafu babu zetu walipendelea kusema msemo huu "kizuri kikiwa kwako lakin kikienda mwenzako kibaya"
 
Ni haki yake kidemokrasia aende atakapoona panamfaa ndo mana vyama vipo vingi.
 
profesa hawezi enda kwa watu ambao wapo wapo tu kama hao jamaa. atakuwa amejivunjia heshima yake sana
 
lichama linaendeshwa na mtu kama kampuni binafsi ya biashara. profesa kuhamia kule atakuwa amechanganyikiwa.
 
chadema inabidi ijipange upya ili iweze kuvutia watu kama profesa mwandosya.
 
ntashangaa profesa ahamie chadema akaendeshwe na akili za watu kama mbowe
 
Tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya CCM Prof.Mark Mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za CHADEMA na UKAWA bwana Yeriko Nyerere na wenzake.

Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa Prof.Mwandosya na familia yake ameniambia kuwa PROFESA mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa HANA MPANGO WA KUHAMA CCM.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa PROFESA kwa sasa yupo nchini MAREKANI katika shughuli zake binafsi.
Kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama SUMAYE na mwizi mwenzie LOWASSA au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

KULINDA HESHIMA GANI?
1.ESCROW
2.EPA
3.MEREMETA
4.BUYANKULU
5.RADA..
5.KUUZWA NYUMBA ZA SEREKALI
6.MABEHEWA NA VICHWA VIBOVU etc???WHATSAPP DO YOU MEAN? KUSOMA HUWEZI NA UKITAZAMA PICHA PIA NI SHIDA???THINK BIG.!!!!
MUNGU BARIKI UCHAGUZI
MUNGU MUONGEZE PROFESA MWANDOSYA KATIKA KUTOA MAAMUZI YAKE.
 
chadema inanuka kuliko papuchi ya kahaba ivo haiwezi kuvutia watu makini kama prof mark mwandosya

Back
Top Bottom