Prof. Mark James Mwandosya kuhamia upinzani?

na ndio maana umecoment, isingekuwa ivyo usingecoment, ungeendelea kumnyonyesha mwanao

Heading ina swali, content ina jibu, so unahitaji mchango gani kutoka kwetu mkuu???
 
Ondoka kwa dikteta.sipati picha akichaguliwa Magufuli wafanyakazi watakavyo timuliwa
 
hahah.. ukiwa unabishana na vichaa inabidi uwe na akili ya ukichaa kidogo, vijana wa ukawa wengi wao wanakichaa ivyo dawa ya moto ni moto, wakiweka tusi unawapa matusi ndio dawa yao maana hakuna namna, wakileta hoja basi mnaenda kwa hoja, kashfa kwa kashfa. maana hakuna namna lazima wakome tu

Naona vigongo unavyowatupia. Watakonda kwa mawazo na stress!
 
Tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya CCM Prof.Mark Mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za CHADEMA na UKAWA bwana Yeriko Nyerere na wenzake.

Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa Prof.Mwandosya na familia yake ameniambia kuwa PROFESA mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa HANA MPANGO WA KUHAMA CCM.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa PROFESA kwa sasa yupo nchini MAREKANI katika shughuli zake binafsi.
Kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama SUMAYE na mwizi mwenzie LOWASSA au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI UCHAGUZI
MUNGU MUONGEZE PROFESA MWANDOSYA KATIKA KUTOA MAAMUZI YAKE
AMEN.

Utanyooka tu
 
Tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya CCM Prof.Mark Mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za CHADEMA na UKAWA bwana Yeriko Nyerere na wenzake
Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa Prof.Mwandosya na familia yake ameniambia kuwa PROFESA mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa HANA MPANGO WA KUHAMA CCM.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa PROFESA kwa sasa yupo nchini MAREKANI katika shughuli zake binafsi.
Kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama SUMAYE na mwizi mwenzie LOWASSA au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI UCHAGUZI
MUNGU MUONGEZE PROFESA MWANDOSYA KATIKA KUTOA MAAMUZI YAKE
AMEN.

Kuhama au Kutokuhama, Inakuuma nini ?!
 
Tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya CCM Prof.Mark Mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za CHADEMA na UKAWA bwana Yeriko Nyerere na wenzake.

Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa Prof.Mwandosya na familia yake ameniambia kuwa PROFESA mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa HANA MPANGO WA KUHAMA CCM.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa PROFESA kwa sasa yupo nchini MAREKANI katika shughuli zake binafsi.
Kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama SUMAYE na mwizi mwenzie LOWASSA au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI UCHAGUZI
MUNGU MUONGEZE PROFESA MWANDOSYA KATIKA KUTOA MAAMUZI YAKE
AMEN.
Hivi nyinyi mna matatizo gani hasa? Kwa hiyo na yeye akitumia uhuru wake wa kikatiba kwenda vhama kingine kisivhokuwa CCM badi anakuwa mwizi, fisadi, mpumbavu na lofa? Hapa maandishi yako ni ya kiwoga na kutaka kumtisha au bipi!? Mnatakiwa sasa mkomae na mkubali kwamba watu wanao uhuru huo na tuuheshimu. Wewe binafdi yawezekana kabisa siku zijazo ukautumia uhuru huo. Ni ushauri tu
 
ok. tumekuelewa, nenda ukojoe ukalale.
 
naona hujaelewa kitu apo, tuliza akili yako kwanza, ndio tatizo lenu vijana wa ukawa mnakurupuka sana. hopeless

Wewe naona ndio huelew umeandika nn mkuu? au ulitaka tujue una karibu sana na mwandosya?? acha hzo mkuu
 
Tangu jana kumekuwa na taarifa za moja kati ya makada maarufu na wenye ushawishi ndani ya CCM Prof.Mark Mwandosya kuhamia upinzani, taarifa hizo zimekuwa zikienea kwa kasi sana na kuchagizwa vilivyo na vibaraka wa propaganda za CHADEMA na UKAWA bwana Yeriko Nyerere na wenzake.

Baada ya kuendelea kuzagaa kwa taarifa hizo nimeamua kufanya uchunguzi wangu binafsi dhidi ya madai hayo lakini nilichoambiwa na mmoja kati ya watu wa karibu sana wa Prof.Mwandosya na familia yake ameniambia kuwa PROFESA mara kadhaa amekuwa akihojiwa na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wanachama na makada waandamizi wa chama amekuwa akijibu na kusisitiza kuwa HANA MPANGO WA KUHAMA CCM.

Aidha duru za udadisi zinaeleza kuwa PROFESA kwa sasa yupo nchini MAREKANI katika shughuli zake binafsi.
Kwa kuwa wakati ni ukuta nadhani tusubiri tuone ataamua nini, kwenda kujivua nguo upinzani kama SUMAYE na mwizi mwenzie LOWASSA au ataendelea kulinda heshima na utu wake akiwa ndani ya CCM.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI UCHAGUZI
MUNGU MUONGEZE PROFESA MWANDOSYA KATIKA KUTOA MAAMUZI YAKE
AMEN.

Unajitekenya mwenyewe halafu unajilazimisha kucheka
 
Mzee wetu mark hawezi kuhama ccm mjitoe ktk mawazo yenu na kumlisha maneno.mzee wetu ni mtu makini mwenye hekima na busara na maono hakurupuki
 
ajivue mara ya pili? aliposema mwenyekiti kazama na majina ya wasumbufu mfukoni??
 
Back
Top Bottom