Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,405
Baadhi ya watu wanamhusisha Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Maghembe Jumanne na kashifa ya upotevu wa faru john, jamani tuache kutuhumu watu bila kuwa na ushahidi,
Waziri Maghembe aliteuliwa mwanzoni mwa mwaka huu 2016, Kashifa ya kupotea faru john aliikuta imeshatokea mwaka Jana na wakati inatokea kashifa hiyo Prof. Maghembe alikuwa waziri wa Maji na Umwagiliaji, Kwa hali kama hiyo Prof. Maghembe anahusikaje ?
Jamani tuwe na akiba ya maneno. Tusilete Chuki binafsi katika Kazi Za Taifa.