Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,252
- 98,255
Mkuu huyo keshazoea kuishi maisha ya kimalaika hivyo kuachia ngazi ili akaishi maisha ya kishetani huku manzese hawezikama anaona ngumu aachie ngazi waje wanaoweza. unaongea nini wewe?
Mkuu huyo keshazoea kuishi maisha ya kimalaika hivyo kuachia ngazi ili akaishi maisha ya kishetani huku manzese hawezikama anaona ngumu aachie ngazi waje wanaoweza. unaongea nini wewe?
Hapa tunaongelea ufisadi wa mali asili za taifa wacha virobaNi kweli kabisa lkn tunashangaa wale wa upande wa pili wanawachukua mafisadi na kuwasafisha kabla ya kuwapa nyadhifa kubwakubwa
huko kote hajaona wala hajapata kusikia,..hivi kwanini hawafuatilii kujua hatima ya wanyama wetu waliotoroshwa na ndege ya jeshi la nchi moja ya Kiarabu?
..au kwanini waziri mkuu hakutembelea Loliondo na kurudisha serikalini ardhi ambayo ina mgogoro tangu miaka ya 90.
Ikiwa hajahusika Kwa namna yoyote sawa.Baadhi ya watu wanamhusisha Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Maghembe Jumanne na kashifa ya upotevu wa faru john, jamani tuache kutuhumu watu bila kuwa na ushahidi,
Waziri Maghembe aliteuliwa mwanzoni mwa mwaka huu 2016, Kashifa ya kupotea faru john aliikuta imeshatokea mwaka Jana na wakati inatokea kashifa hiyo Prof. Maghembe alikuwa waziri wa Maji na Umwagiliaji, Kwa hali kama hiyo Prof. Maghembe anahusikaje ?
Jamani tuwe na akiba ya maneno. Tusilete Chuki binafsi katika Kazi Za Taifa.
![]()
Mahakama ya mafisadi ilishafunguliwa kitambo mnashindwa nini kumpeleka huyo lowasa?wacheni ujinga wenu wa kuchafua majina ya viongozi wa upinzani kisa tu yupo nje ya ccmCcm imeleta umaskini lini tulikuwa matajiri? Kweli ccm ina mafisadi wa kila aina lkn sio lowassa kwa sab hajatoka ccm.
Tunasubiria kauli ya mageembeeumejua? arobaini yake lini tukamsalie
Et eeeeeeeh unajua ukiwa ndani huwezi jua kama nje Kuna mvuaCcm imeleta umaskini lini tulikuwa matajiri? Kweli ccm ina mafisadi wa kila aina lkn sio lowassa kwa sab hajatoka ccm.
Daaaaa kupata aliye salama ndani ya ccm ni sheeeedahHawezi kuwagusa Waarabu wa Loliondo ndiyo wafadhili wakubwa CCM.Kinana anajua hilo yeye ndiye aliyekuwa mwenyeji wao alipokuwa naibu waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa.
Umesahau sifa kuu ya ccm?Mbona alishiriki kuandaa taarifa ya uongo kwa Waziri Mkuu?
Hasa ile mradi wa maji maarufu Kama mabomba ya mchina. Zaidi USD 300milioni zilipigwa maumviCCM bado inatupa na kutuletea umaskini mabaya yote yamejaa CCM, majangili. Mafisadi nk
Na mkuu alisha sema makaburi mengine hawazi kuyafukua kwani akisha yafukua yatamshinda kufukia.
Pia wasiwe na Shaka atawalinda tuuuuu
Tutalalamika sana bila msaada wowote kwani serikali haya inayaona na kuyajua
Baadhi ya watu wanamhusisha Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Maghembe Jumanne na kashifa ya upotevu wa faru john, jamani tuache kutuhumu watu bila kuwa na ushahidi,