Prof. Maghembe asihusishwe na kashfa ya Faru John

Hii wizara ni ngumu sana waziri Maghembe wanataka kumgeuza mbuzi wa kafara.Sitoshangaa operesheni mbalimbali za kukomesha ujangili zilizotekelezwa karibuni zikasababisha kibarua chake kuota nyasi.Kaghasheki yalimkuta pia baada ya kukamata shehena kuwa ya meno ya tembo Mikocheni.
Wizara inapambana na heavy weights.
Inahitaji watu makini sana.
Tena wababe wenye ujuzi na mbinu za hali ya juu.
Maghembe hawezi fua dafu pale baada ya Balozi Kaghasheki. Haswaa baada ya poor performance ya wizara zake chini ya JK.
Ni kama vile aliwekwa ili achemshe kisha asaulike ha ha ha
 
Baadhi ya watu wanamhusisha Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Maghembe Jumanne na kashifa ya upotevu wa faru john, jamani tuache kutuhumu watu bila kuwa na ushahidi,

Waziri Maghembe aliteuliwa mwanzoni mwa mwaka huu 2016, Kashifa ya kupotea faru john aliikuta imeshatokea mwaka Jana na wakati inatokea kashifa hiyo Prof. Maghembe alikuwa waziri wa Maji na Umwagiliaji, Kwa hali kama hiyo Prof. Maghembe anahusikaje ?

Jamani tuwe na akiba ya maneno. Tusilete Chuki binafsi katika Kazi Za Taifa.

bcf9f4a9143c48da162ec205d56a1ce4.jpg
Unajua JF inanguvu sana.
Vigogo wengi wameinuliwa na kuangushwa na JF.
Ndo maana kila kinayemwakia anakimbilia humu kujitetea
 
Baadhi ya watu wanamhusisha Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Maghembe Jumanne na kashifa ya upotevu wa faru john, jamani tuache kutuhumu watu bila kuwa na ushahidi,

Waziri Maghembe aliteuliwa mwanzoni mwa mwaka huu 2016, Kashifa ya kupotea faru john aliikuta imeshatokea mwaka Jana na wakati inatokea kashifa hiyo Prof. Maghembe alikuwa waziri wa Maji na Umwagiliaji, Kwa hali kama hiyo Prof. Maghembe anahusikaje ?

Jamani tuwe na akiba ya maneno. Tusilete Chuki binafsi katika Kazi Za Taifa.

bcf9f4a9143c48da162ec205d56a1ce4.jpg
nikimwangalia huwa namwonea hadi huruma le profeseri. kila wizara anayoenda huwa analaumiwa sijui kwanini ni yeye tu. wizara ya maji watu walikuwa wanabadilisha chaenel akitokea kwenye tv. maliasili nayo sijui hata sielewi.hata wenye masters au hata wenye degree au bila degree wanamshinda utendaji.
 
Hii wizara ni ngumu sana waziri Maghembe wanataka kumgeuza mbuzi wa kafara.Sitoshangaa operesheni mbalimbali za kukomesha ujangili zilizotekelezwa karibuni zikasababisha kibarua chake kuota nyasi.Kaghasheki yalimkuta pia baada ya kukamata shehena kuwa ya meno ya tembo Mikocheni.
kama anaona ngumu aachie ngazi waje wanaoweza. unaongea nini wewe?
 
kama faru john alifariki kabla yake au aliibiwa kabla yake, basi yeye akiingia alitakiwa kuadibisha aliyehusika. akinyamaza tu manake ameshindwa kazi.
 
Wizara inapambana na heavy weights.
Inahitaji watu makini sana.
Tena wababe wenye ujuzi na mbinu za hali ya juu.
Maghembe hawezi fua dafu pale baada ya Balozi Kaghasheki. Haswaa baada ya poor performance ya wizara zake chini ya JK.
Ni kama vile aliwekwa ili achemshe kisha asaulike ha ha ha

Awajibishwe tu!baada ya kuteuliwa angemuulizia kwanza marehemu John tupo wapi????
 
CCM bado inatupa na kutuletea umaskini mabaya yote yamejaa CCM, majangili. Mafisadi nk
Na mkuu alisha sema makaburi mengine hawazi kuyafukua kwani akisha yafukua yatamshinda kufukia.
Pia wasiwe na Shaka atawalinda tuuuuu
Tutalalamika sana bila msaada wowote kwani serikali haya inayaona na kuyajua
Ccm imeleta umaskini lini tulikuwa matajiri? Kweli ccm ina mafisadi wa kila aina lkn sio lowassa kwa sab hajatoka ccm.
 
..hivi kwanini hawafuatilii kujua hatima ya wanyama wetu waliotoroshwa na ndege ya jeshi la nchi moja ya Kiarabu?

..au kwanini waziri mkuu hakutembelea Loliondo na kurudisha serikalini ardhi ambayo ina mgogoro tangu miaka ya 90.
 
WaTZ hao kaka, piga ngoma ya Mdumange atacheza, ya Kitoto, atacheza, Sindimba atacheza, Maswezi atacheza, ili muradi kasikia mvumoo yeye kiuno uwanjani, na Umanjuu juu, sasa hivi tunatia aibu sana sana, vichwani hata hutufikiriii kabisaaaa, eti hili ni lipi limekujaje, nani anahusika, lilianza lini, kwa namna gani, duh
 
Back
Top Bottom