Prof. Maghembe amekalia kuti kavu

Prof. Maghembe amekalia kuti kavu

Wilaya yake ya Mwanga amekuwa mbunge huu ni msimu wa tatu kama sijakosea ila mpaka leo kuna shida ya maji sana pako vile vile na bado walimchagua tena though wengi walionekana kumpinga Sana.

Wilaya tu imemshinda kwa muda wote aliokaa hata kwa jambo moja tu la shida ya maji hiyo wizara ataiweza vipi jaman japo sijafuatilia sana taarifa za utendaji wake ni wazi lazima ashindwe.

Tiba za jadi
 
Hii INA boa sana kumpakazi mhe rais wakati huyu waziri angeliweza fanyia kazi yy
 
Mkuu Lizabon, mimi kanishangaza hasa. Badala ya kumpongeza yeye anamsimamisha.

Labda kama kamsimamisha nje ya sababu iliyotajwa, kama ni kwa sababu ya kufuata sherua, basi naona Mh Waziri kakosea sana, na kwa hiyo hatoshi kwenye nafasi yake.
Tusubiri tuone, kama itatajwa sababu zingine. Mkuu Lizabon tuliwahi kuandika humu, viongoz waandamiz wanaiga ayafanyayo Mh JPM ya kusimamisha watu kazi lakini hawajui yeye anakua na data nyingi. Wao wanaiga lakini unakuta makosa makubwa kwani unaweza kufuatilia kumbe mtumishi hana kosa na tayari jina lake limeshatangazwa na anaonekana mtu asiyefaa kwenye jamii.

Wanadhan na wao ni system kumbe hawana wajualo
 
Mi magufuli namkubari hata kama maisha yanabana ila nina trust nae nampa muda nione anaitengeneza Tanzania ya namna gani? Maana angebana life then yeye angekuwa anakula bata na mimi ningepress blame zangu lakini huyu mzee hata kwa macho namuona kabisa ana nia njema na taifa langu.Sipo kichama zaidi nicoment kizalendo zaidi
 
Mbona huyo mulishamuita waziri mzigo tangu zamani,sijui na ninyi mnaogopa kutoa ushauri kwa mtu wenu Ili asimteue mtu ambaye mlikuwa mnajua kuwa ni mzigo,Hata aliyemteua alimteua akijua kuwa ni mzigo kwa hiyo Kuna hatari ya kutokuchukuliwa hatua zozote kwa kuwa aliyemteua alimjua kuwa ni mzigo na ana weza akaendelea kuubeba hivyohivyo kwa kuwa karidhika nao.
 
Ukiangalia vizuri ni kwa nini Prof. Maghembe alitoa waraka wenye utata wa kutetea wavamizi wa mapori, unapata mashaka wa fikra za Wazri. Hili jengine la kutetea wahalifu wa pembe za ndovu, ndo kabisaa inaashiria kwamba ni Waziri Mzigo. Huyu anatakiwa akae kando fasta na uchunguzi ufanyike ili kuangalia kwa nini alikuwa anatoa maamuzi yenye utata.
Asiri zetu huwa ni kama ngozi, hawa watu mpaka leo bado wanafikiria kuiba tu na ujanja ujanja halafu wasipoteuliwa utawasikia ..ohoo, mkabila!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Binafsi nilikuwa ni miongoni mwa watu ambao tulionesha wasiwasi wetu mara tu baada ya Prof Maghembe kuteuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii. Wasiwasi wangu haukutokana na location ambayo Prof Maghembe anatoka bali ni kutokana na ugumu wa Wizara hiyo na uwezo wa Maghembe kukabiliana na changamoto za Wizara.

Hakika nilikuwa sahihi kumjudge negatively. Huko Kagera, Mhifadhi Mkuu wa Pori amefukuzwa kazi kutokana na kuwaondoa watu waliovamia pori hilo kwa kukata miti na kuingiza mifugo mingi. Mhifadhi huyo amefukuzwa kutokana na amri ya Mamlaka ya Juu ya Wizara.

Kama hiyo haitoshi, kuna operesheni inayoendelea ya kuwakamata vibompa wa Meno ya Tembo. Operesheni hiyo imeanza juzi. Hata hivyo, mamlaka ya Juu ya Wizara ya Maliasili na Utalii ikaingilia kati ili wanaohusika na biashara hiyo akiwemo jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Mpemba asikamatwe. Bahati nzuri Mheshimiwa Rais aliinyaka hiyo hewani na akasimama yeye mwenyewe kuongoza Operesheni hiyo. Hivi tunavyozungumza hali ni mbaya sana kwa hao jamaa ambao walidhani kuwa kwa nguvu ya pesa waliyonayo hawawezi kukamatwa.

Kwa mifano hii michache, sioni wapi ataponea Prof Maghembe. Jipu tayari limeiva na litatumbuliwa soon.
Tujuzwe wale ng'ombe ni wa nani. Na Maghembe alitoa amri kwa mamlaka ya nani.
Mtaelewa tu kuwa Magu ni mnafiki fulani hatari sana. Amri ilitoka kwake kumlinda kagame!! Lile sakata litafishwa ili muendelee na ule ugonjwa wa kusahau!!
 
Mzigo ni mzigo tu, huwa haubadilikagi milele.
Professa Maghembe ni mzigo tu, yupo hivyo siku zote na bado anapewa uwaziri.
Sidhani kama Magufuli anaweza kumfukuza Profesa Maghembe, anaweza kumuhamishia wizara nyingine lakini sio kumfukuza kabisa.
We are waiting to see.

Kwa sisi tunaojua siasa za CCM vizuri tunajua sababu zake. Mambo mengine ni siri za jadi, sio vizuri kuyaanika humu JF.
 
Frankly hata mimi sikupenda uteuzi wake.He lacks seriousness.
Wadau, amani iwe kwenu.

Binafsi nilikuwa ni miongoni mwa watu ambao tulionesha wasiwasi wetu mara tu baada ya Prof Maghembe kuteuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii. Wasiwasi wangu haukutokana na location ambayo Prof Maghembe anatoka bali ni kutokana na ugumu wa Wizara hiyo na uwezo wa Maghembe kukabiliana na changamoto za Wizara.

Hakika nilikuwa sahihi kumjudge negatively. Huko Kagera, Mhifadhi Mkuu wa Pori amefukuzwa kazi kutokana na kuwaondoa watu waliovamia pori hilo kwa kukata miti na kuingiza mifugo mingi. Mhifadhi huyo amefukuzwa kutokana na amri ya Mamlaka ya Juu ya Wizara.

Kama hiyo haitoshi, kuna operesheni inayoendelea ya kuwakamata vibompa wa Meno ya Tembo. Operesheni hiyo imeanza juzi. Hata hivyo, mamlaka ya Juu ya Wizara ya Maliasili na Utalii ikaingilia kati ili wanaohusika na biashara hiyo akiwemo jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Mpemba asikamatwe. Bahati nzuri Mheshimiwa Rais aliinyaka hiyo hewani na akasimama yeye mwenyewe kuongoza Operesheni hiyo. Hivi tunavyozungumza hali ni mbaya sana kwa hao jamaa ambao walidhani kuwa kwa nguvu ya pesa waliyonayo hawawezi kukamatwa.

Kwa mifano hii michache, sioni wapi ataponea Prof Maghembe. Jipu tayari limeiva na litatumbuliwa soon.
 
Apewe Mwanry. Nadhani bado kuna nafasi ya Rais kuteua Mbunge hivyo basi amteue Mwanry akamate hii Wizara na naamini ataiweza bila shaka yoyote.
Wewe????!!!! humjui huyo jamaa? Uliza halmashauri alivyokuwa akitishia ili watoe.......
 
Back
Top Bottom