Prof. Maghembe amekalia kuti kavu

Prof. Maghembe amekalia kuti kavu

Magu hayuko makini katika uteuzi wake na haya ndio matokeo yake.

Historia ya Maghembe alikuwa haijui?Huyu si alikuwa mmoja wa mawaziri mizigo enzi za Kikwete?Haya alikuwa hayajui wakati anampa uwaziri?

Magu nae ni tatizo tena kubwa tu
Hii ni kweli mkuu, maana hata jimboni kwake raia walikuwa hawamtaki nashangaa hata kutangazwa mshindi, cjui ilikuwaje huko jimboni kwake!
 
Sasa hawa si ndio tulioaminishwa kuwa atateuwa watu makini sasa imekuaje?
 
Namshauri Rais JPM amng'oe huyo upesi sana.Amteue Kagasheki kwenye nafasi hiyo.
 
Bashe asingekuwa Team Lowassa angefaa sana kwa wizara hii!
Apewe Mwanry. Nadhani bado kuna nafasi ya Rais kuteua Mbunge hivyo basi amteue Mwanry akamate hii Wizara na naamini ataiweza bila shaka yoyote.
 
KUMJADILI MAGEMBE NI KUUMIZA KICHWA MAANA NI ZIGOO LISILO BEBEKA ,,NILISHANGAA KWA UMAKINI WA RAIS KUMTEUA MAGHEMBE KWENYE SERIKALI KAMA WAZIRI,, NIKAJIULIZA " HIVI HAKUNA MTANZANIA MWENYE WEREDI NA UWEZO WA KUIFANYA HIYO KAZI?"YAAANI MAGHEMBE ??? DAAAAH!! BORA RAIS UNGEULIZA WANANCHI MAANA TUNAJUA MENGI KULIKO UNAVYODHANIA.
 
Profesa wa nyuki
 
Kama kuna mamlaka ya kutengua Taaluma za watu NINGEANZA NA MAGHEMBE na kumwachia level ya six liver (form six) Nawasihi Maprofesa waandamane kupinga kudhalilishwa na MAGHEMBE ,NA LIPUMBA
 
Yeye ukishaitwa "Professor" tu tayari umetimiza vigezo vya yeye kukuteua. Halafu eti alitumia zaidi ya mwezi kuunda baraza kisha akamrudisha zuzu kama Maghembe.
Magu hayuko makini katika uteuzi wake na haya ndio matokeo yake.

Historia ya Maghembe alikuwa haijui?Huyu si alikuwa mmoja wa mawaziri mizigo enzi za Kikwete?Haya alikuwa hayajui wakati anampa uwaziri?

Magu nae ni tatizo tena kubwa tu
 
Hii ni kweli mkuu, maana hata jimboni kwake raia walikuwa hawamtaki nashangaa hata kutangazwa mshindi, cjui ilikuwaje huko jimboni kwake!
Alichakachua za mme wa Kiria
Hii ni kweli mkuu, maana hata jimboni kwake raia walikuwa hawamtaki nashangaa hata kutangazwa mshindi, cjui ilikuwaje huko jimboni kwake!
Alichakachua za mme wa Kiria
 
Wilaya yake ya Mwanga amekuwa mbunge huu ni msimu wa tatu kama sijakosea ila mpaka leo kuna shida ya maji sana pako vile vile na bado walimchagua tena though wengi walionekana kumpinga Sana.

Wilaya tu imemshinda kwa muda wote aliokaa hata kwa jambo moja tu la shida ya maji hiyo wizara ataiweza vipi jaman japo sijafuatilia sana taarifa za utendaji wake ni wazi lazima ashindwe.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Binafsi nilikuwa ni miongoni mwa watu ambao tulionesha wasiwasi wetu mara tu baada ya Prof Maghembe kuteuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii. Wasiwasi wangu haukutokana na location ambayo Prof Maghembe anatoka bali ni kutokana na ugumu wa Wizara hiyo na uwezo wa Maghembe kukabiliana na changamoto za Wizara.

Hakika nilikuwa sahihi kumjudge negatively. Huko Kagera, Mhifadhi Mkuu wa Pori amefukuzwa kazi kutokana na kuwaondoa watu waliovamia pori hilo kwa kukata miti na kuingiza mifugo mingi. Mhifadhi huyo amefukuzwa kutokana na amri ya Mamlaka ya Juu ya Wizara.

Kama hiyo haitoshi, kuna operesheni inayoendelea ya kuwakamata vibompa wa Meno ya Tembo. Operesheni hiyo imeanza juzi. Hata hivyo, mamlaka ya Juu ya Wizara ya Maliasili na Utalii ikaingilia kati ili wanaohusika na biashara hiyo akiwemo jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Mpemba asikamatwe. Bahati nzuri Mheshimiwa Rais aliinyaka hiyo hewani na akasimama yeye mwenyewe kuongoza Operesheni hiyo. Hivi tunavyozungumza hali ni mbaya sana kwa hao jamaa ambao walidhani kuwa kwa nguvu ya pesa waliyonayo hawawezi kukamatwa.

Kwa mifano hii michache, sioni wapi ataponea Prof Maghembe. Jipu tayari limeiva na litatumbuliwa soon.
Huyu mzee ni mjanja mjanja sana.....wamtoe tu akelee wajukuu huko kijijini......hawa ndio waatulostisha....
 
Magu hayuko makini katika uteuzi wake na haya ndio matokeo yake.

Historia ya Maghembe alikuwa haijui?Huyu si alikuwa mmoja wa mawaziri mizigo enzi za Kikwete?Haya alikuwa hayajui wakati anampa uwaziri?

Magu nae ni tatizo tena kubwa tu
Yupo makini sana ila tatizo ampe nani sasa kama nyanya kwenye tenga zote zimeoza.
 
Huyo Profesa ni mtu makini sana kwenye suala la miti/misitu na mambo yahusianayo na majani
 
Back
Top Bottom