Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,932
- 4,697
Yupo sasa hivi live akianza na historia yake ikiwa ni pamoja na ukweli wa uraia wake. Mfuatilie fm 98.1
Wakuu namsikiliza Prof. Lipumba sasa hivi kupitia WAPO Radio. Anasema alikuwa mwanachama wa TANU/CCM na hakuwahi kurudisha kadi yake alichofanya ni kutolipia Ada!
WAPO RADIO FM 98.0 - Dar es Salaam - Listen Online
My Take: Inawezekana Viongozi wote wa vyama vya upinzani wana kadi za Chama Tawala. Kwamba kwa sasa wao ni kama volkano iliyolala kwa kuwa tu hawalipii kadi. Hivyo wakisha lipia siku moja basi wanakuwa volkano hai!