Prof. Lipumba ndani ya WAPO FM 98.1

Prof. Lipumba ndani ya WAPO FM 98.1

Mkuu Kimbunga,
Kuna tofauti kubwa kumiliki kadi kati ya Prof. Lipumba na Dr.Slaa.

Tofauti kubwa iliyopo ni kwamba Prof Lipumba tayari amefunga ndoa (ameolewa) na CCM. Ndiyo maana hutamsikia Nape Nauye (CCM) akimsema mke MUPENZI
 
Mkuu Kimbunga,
Kuna tofauti kubwa kumiliki kadi kati ya Prof. Lipumba na Dr.Slaa.

Heri ya mwaka mpya 2013 mkuu!! Hebu tupe tofauti ya umiliki huu wa Dr. na Prof hata kwa ufupi ili tuelimike mkuu Ritz.
 
Tofauti kubwa iliyopo ni kwamba Prof Lipumba tayari amefunga ndoa (ameolewa) na CCM. Ndiyo maana hutamsikia Nape Nauye (CCM) akimsema mke MUPENZI

Na wanawe ni TLP, UDP na NSSR Mageuzi!! Ongezea na wengine kama unawafahamu hasa mziwanda!!
 
Back
Top Bottom