Tetesi: Prof. Lipumba kuwaandikia barua ya onyo wabunge wa CUF waliotoka nje Bungeni

Ivi huyu Propesa mbona anazingua sana hivi.

Halafu watu wakorofi mara nyingi wanaishi miaka kibao aisee

Ndio maana Seif Sharif Hamad anaikimbiza Miaka 80 wakat Prof Nguli Lipumba hata Jk ni Mkubwa kwake
 
Nadhani akiwafukuza ndiyo itakuwa pouwa zaidi
Hilo ndio litakuwa jambo la kiume then uitishwe uchaguzi halafu aone kama atashinda bila support ya ukawa!Yaani CUF hadi 2020 kikipata japo jimbo moja bara watakuwa na bahati ya mtende.
 
KWA Tanzania yote yanawezekana, nchi ya kipuuzi sanaa hii nchi inatia hasira, nchi wajinga wengi sanaaa.
 
Hilo ndio litakuwa jambo la kiume then uitishwe uchaguzi halafu aone kama atashinda bila support ya ukawa!Yaani CUF hadi 2020 kikipata japo jimbo moja bara watakuwa na bahati ya mtende.

Akiwafuta watakachofanya ni kuwarudisha wabunge walewale kwa tikecti ya vyama vingine
 
Kweli wafukuzwe ili ule mpango wa kuuwa cuf ufanikiwe.Maana ukiitishwa uchaguzi mwingine cuf haitapata mbunge hata mmoja,hongera propesa kwakuiuwa cuf kwaajili ya njaa zako.
 
kuna watu wakuombea hata wage wanaturudisha nyuma kisa matumbo Yao na soon atawafukuza uanachama otherwise wasalimu amri
 
Ndio ni huyuhuyu ambaye hapo zamani CUF walimsifia sana.
Kuwa,
Ni msomi kuliko Watanzania wote.
Anafaa kufanya kazi Benki ya Dunia.
Raisi Museveni wa Uganda anamtegemea ktk kuimarisha uchumi wa Uganda.
Anafaa kuwa Raisi wa Tanzania.
Ndiye pekee anayeweza kuiinua nchi ya Tanzania kiuchumi na kidemokrasia.
Ndiye pekee mtetezi wa haki sawa kwa wote
nk.
Ni huyuhuyu Prof. Lipumba.
Na CUF ni hii hii.
Kaweka history,naona CUF ya Maalim Seif na wabunge wake kufutwa.
Haitaji kuwa mnajimu,CUF Maalim Seif kuungana na Chadema.
 
Habari wana jamvi.

Mnyetishaji wa karibu sana na huyu jamaa amenieleza kuwa huyu Bwana anakusudia kuwaandikia barua za onyo kali wabunge wote wa CUF waliotoka nje ya Bunge leo wakiungana na wenzao wa UKAWA kwa kile walichodai kutowatambua wabunge wa Profesa wanaoapishwa leo hii.

Hii habari ni kweli, alienipa habari hizi ni mtu wa karibu sana na Bwana yule. Taarifa zaidi zinasema Bwana yule amekuwa Trained toka pande zile za Ufukwe wa Bahari pembeni ya Soko kuu la Samaki. Ni lazima ahakikishe CUF inakufa kabla ya 2020.

Get tunned!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana naye huyo mkuu. Sie huku tunasubiri SULTANI aapishwe "hivi karibuni"
 
Kwa navyouona Mchezo ni wazi kua Li Pumba ndio kashika mpini, na Maalim kwenye makali. kadiri wanavyovutana basi Maalim ndio anaumia zaidi. Sababu ni kua Vyombo vyote vya dola pamoja na Bunge, Mahakama, Msajili, NEC wako nyuma ya Li Pumba.

Maalim afanye tu maamuzi magumu ya ku-reconcile na Li Pumba, otherwise aondoke na wabunge wake kuhamia CDM au kuanzisha chama kingne. Ni wazi kua kutafanyika uchaguzi mwengine ksha wananchi ndio watakaoamua
kureconcile na jamaa ni sawa na kutafta suluhu na aliyezini na mkeo
 
Back
Top Bottom