Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

Status
Not open for further replies.
Yaani ajiuzuru kwa sababu ya ukawa, huo upuuzi. Kwani alichaguliwa kuongoza cuf au ukawa. Kama shida inaanzia ukawa suluhu ya hilo ni kujitoa ukawa na sio kujitoa cuf.
 
Hatimaye Profesa Lipumba aamua kubwaga manyanga.
Shime wanapenda Mageuzi Kesho mjitokeze kwa wingi saa nne asubuhi makao makuu ya CUF buguruni.
Kesho Lipumba ataeleza mbivu na mbichi za UKAWA.
Na Kisha atajivua uenyekiti na uanachama wa CUF.

Atakuwa mpumbavu wa akili maana ye ndio kaanzisha ukawa halafu anaucha na km vp aage mapema na atahama peke yake si hatumfuati
 
Lete source ya habari yako ikiwa katibu mkuu alikuwa nae jana mpaka saa nne usiku na hajui hilo pia katiba ya cuf siyo kama magamba mwenyekiti hujitoi mpaka uandike barua ya kujiuzuru kwa katibu wako

aliileta hii mambo jamaa mmoja anaitwa manyerere kumhusu slaa akasema source ni yeye mwenyewe (manyerere) mkamtukana sana ila mwisho wa siku ilikua!
 
Ivi hii profile picture yako AK 47 kipind hiki cha uchaguzi unaashiria nini....nyie ndio wachochezi

Kwaajili ya Self Defense...Nina practice The Second amendment of consitution which states..."the right of the people to keep and bear arms shall not be infringed"
 
aliileta hii mambo jamaa mmoja anaitwa manyerere kumhusu slaa akasema source ni yeye mwenyewe (manyerere) mkamtukana sana ila mwisho wa siku ilikua!

Manyerere alisema dk slaa anarudisha gari, nyumba usiku na kujiudhuru je amefanya hivyo????????? Hamna walichoandika kimetokea ndugu
 
Huo uwongo unaweza kumdanganya mama yako mzazi tu
 
Mr Mbowe unania thabiti, ila bila kuweka sawa mahusiano na dr Slaa utakuwa unajidanganya na unatudangaya cc ili tucione unatudanganya fanya kila linalowezekana dr slaa aludi safu ya mbele ya ushambuliaji
 
Lipumba ndo aliitisha Press conference ya kumkaribisha Lowassa akiwa na Kina Mbowe na Mbatia. Leo Pia Maalim kasema alikuwa na Prof jana mpaka uck Mwingi wakiwa pamoja na Lowassa, taarifa hizi hazina ukweli. TUJIFUNZE kuwa Wakweli hata kwenye Siasa za Kampeni.

hivi mbona naona huwa mnabisha tu, afu mwisho wasiku mnabaki kulia lia. Dr.slaa yupo wap leo? nae simlibisha pia
 
hivi mbona naona huwa mnabisha tu, afu mwisho wasiku mnabaki kulia lia. Dr.slaa yupo wap leo? nae simlibisha pia

Acha kuishi kwa kukariri, Sijawahi kubisha kuondoka kwa Slaa nami ni mmoja wanaolaumu sana kuondoka kwa Dr.Fuatilia comments zangu za kabla ya hii, Tatizo lako wewe na Wenzio wengi ni kuishi kwa dhana, Ukweli hauna kambi, mi simkubali kabisa Lowassa lakini hainifanyi kushabikia Uongo. Pelekeni Uongo wenu kwenye Ma group yenu ya wasap sio huku
 
unless umesahau ulichokiandika! ulisema hv 'ungewashangaa sana waislamu wangeungana na mafisadi chadema..' sasa hapo ulikuwa unaongelea makundi ya watu! kwamba kundi flani la waislam na lingine umeliita mafisadi chadema....na habari inamhusu Lipumba....kwa logic ya kawaida hilo kundi ulimaanisha CUF coz ndo wanaongozwa na Lipumba! Ungekuwa unamrefer Lipumba peke yake ungetumia umoja!BT HAIPENDEZI KUENDEKEZA UDINI...hainaga faida

Mkuu, ukiona yeyote anazungumzia udini, ukabila, kujinasibisha makabila ama koo tambua ameishiwa wala hana hoja.

MPUUZE NA ACHANA NAE.

WAKOLONI WALITUTENGA, WAKOLONI MAMBOLEO WANAJARIBU KUTUTENGANISHA!!

TANZANIA KWANZA.
 
Kama ni kweli basi ni rushwa hiyo imempitia kutoka magambani!!! Wananchi wakikosea wakairudisha CCM madarakni tena basi wajilaumu wenyewe!

Kanunuliwa na CCM au Lowasa-chadema? Chadema sasa ndio kimekuwa pango la wanyang'anyi, wala rushwa na matapeli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom