East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Taarifa za gazeti la Uhuru la leo ni kuwa Profesa Lipumba kajiuzulu uenyekiti CUF baada ya shinikizo kali kutoka kwa wanachama na viongozi wa CUF wasiotoa rushwa wala kupokea rushwa wa upande wa Zanzibar kutokana na sekeseke la yeye na al-maruhuni wenzie kumbeba Lowasa na kutaka awe mgombea UKAWA.
Kwa kujiuzulu kwake kunaonyesha wazi kuwa Lowasa kupitishwa na UKAWA itakuwa kazi ngumu kama CUF watatia ngumu UWEZEKANO AMBAO KWA SASA NI MKUBWA MNO.
Kama atakatwa basi safari yake ya Matumaini hewa sijui itaelekea wapi. Lakini taarifa zilizopo ni kuwa atatimkia ACT wazalendo kwa zitto kabwe kujaribu karata yake ya mwisho.
================================
Updates;
Makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Maalimu Seif amekana habari hizi kwenye Mkutano mkuu wa CHADEMA unaoendelea Mlimani City Dar es Salaam.