Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,039
- 13,471
HiKI KIKARATASI CHA KUMCHAMBISHIA MWANANGU KUMBE BADO KIPO?
Mwanao anachambia magaazeti?
HiKI KIKARATASI CHA KUMCHAMBISHIA MWANANGU KUMBE BADO KIPO?
Gazeti la kufungia maandaz at work!!!
Akijiuzulu jua litachomoza magharib na kuzama mashariki.
huku niliko kuna mtu alisema gazeti hilo hata wakifungia maandazi hawezi kula.
Huku niliko kuna mtu alisema gazeti hilo hata wakifungia maandazi hawezi kula.
Taarifa za gazeti la Uhuru la leo ni kuwa Profesa Lipumba kajiuzulu uenyekiti CUF baada ya shinikizo kali kutoka kwa wanachama na viongozi wa CUF wasiotoa rushwa wala kupokea rushwa wa upande wa Zanzibar kutokana na sekeseke la yeye na al-maruhuni wenzie kumbeba Lowasa na kutaka awe mgombea UKAWA.
Kwa kujiuzulu kwake kunaonyesha wazi kuwa Lowasa kupitishwa na UKAWA itakuwa kazi ngumu kama CUF watatia ngumu UWEZEKANO AMBAO KWA SASA NI MKUBWA MNO.
Kama atakatwa basi safari yake ya Matumaini hewa sijui itaelekea wapi. Lakini taarifa zilizopo ni kuwa atatimkia ACT wazalendo kwa zitto kabwe kujaribu karata yake ya mwisho.
![]()

Tena alikuwa ni mmoja wa waanzilishi, seuze huyu mlowezi!!!Mapalala anajua habari ya Maalim Seif
Kama lohasa alivyoanza kuzeeka nywere akamalizia na akiliGazet la nape limezeeka kama chama chao ukawa mnawapa jambajamba wazee wa lumumba
Hoja yako ipo wapi hasa? Labda nikukumbushe tu hata kama unadhani unazifahamu siasa za Tanzania kuliko wenzako! Alianza James Mapalala... si tu kwamba alikuwa ndo mwasisi wa CUF ambayo baadae iliungana na ZUF na hatimae jina ZUF (for Zanzibar) kufa na kubaki CUF lakini pia ni mmoja wa wanamageuzi wa awali kabisa wa nchi hii wakati akina Lipumba wanakula mikate ya Ikulu! Ni fitina za akina Maalimu Seif na Shaaban Mloo ndio zilisababishwa kutimuliwa kwa James Mapalala 1994 na hatimae CUF kutamalaki zaidi Zanzibar ukilinganisha na bara kiasi cha kila mtu kuamini 1995 CUF walishinda kule Zanzibar! Hata hivyo, Mapalala nae alifanya kazi kubwa sana kuijenga CUF huku bara kiasi cha kuwa ndio chama kikubwa kabisa kabla ya ujio wa Mrema NCCR! Pamoja na yote hayo, Mapalala alitimuliwa mchana kweupe kwa tuhuma za kupika!Nani kakudanganya wewe,, CUF inawanachama wengi sana huku bara kuliko uifikiliavyo,,,, tena inawezekana wewe ni mgeni kwenye siasa za Bongo,, CUF ina wanachama tofauti sana na CDM,, CUF inawale wanachama kama wazee wa simba na yanga maana wanalishana mpaka yamini waulize CDM wanalifanyaga hili,, CUF hakuna wanachama maslahi kama vyama vingine.. Muungano hata ukivunjika huku CUF itaendelea kuwepo huku bara maana ndiko kwenye wanachama wake wengi kuliko visiwani...