COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,622
- 3,696
Acha udini wewe gamba acha kuchafua dini na mambo ya siasa
Source? Gazeti la magamba Uhuru la leo.
Lakini ulisikia hotuba ya Maalim seif ktk mkutano wa Chadema kuhusu suala hilo hilo la uongo kabisa!!!!
Mkuu mimi wala sio gamba ila nimeumia sana MCHAGA alivyokiuza chama na kumtupia jalalani MPIGANAJI SLAA. HE MUST PAY.
Hatimaye Profesa Lipumba aamua kubwaga manyanga.
Shime wanapenda Mageuzi Kesho mjitokeze kwa wingi saa nne asubuhi makao makuu ya CUF buguruni.
Kesho Lipumba ataeleza mbivu na mbichi za UKAWA.
Na Kisha atajivua uenyekiti na uanachama wa CUF.
Lipumba ni mkristo?
Ningewashangaa sana WAISLAMU wangeunganga na MAFISADI chadema. Dini yao inakataza hata riba ktk mikopo.
Mkuu Mbowe anajifanya mjanja yule kijana wa kichagga. Dr.Slaa na Professa Lipumba wamemshtukiaRushwa hiyo kutoka kwa magamba! Pesa za Escro ndio wakati wake wa kufanya kazi!
Hii habari ni ya kweli kabisa
Umechanganyikiwa wewe
Ni uongo maana katibu kasema hajapokea barua na alikuwa nae hadi saa nne usiku. Ni majungu tu.
Ningewashangaa sana WAISLAMU wangeunganga na MAFISADI chadema. Dini yao inakataza hata riba ktk mikopo.
Acha uchawi mtoa maada