msemakweli-daima
Member
- Jul 15, 2015
- 11
- 0
Yatasemwa mengi sana
Huu ujinga sasa. Kama ni hivi basi CCM itatutawala milele.
Lipumba ni MUISLAM safi. hawezi changamana na fisadi LOWASA.
soma bandiko lako la kwanza umesemeje
Anaungana na Msaliti mwengine Dk Slaa.Harafu anahamia Act wasariti?
unamaanisha CUF ni chama cha waislamu?????
Ningewashangaa sana WAISLAMU wangeunganga na MAFISADI chadema. Dini yao inakataza hata riba ktk mikopo.
Ningewashangaa sana WAISLAMU wangeunganga na MAFISADI chadema. Dini yao inakataza hata riba ktk mikopo.
Nakuuliza wewe., je kama siyo. Unajua misingi ya imani yake?
Sasa Kikwete na Andrew change na Abdu kinena na Pombe makufulu na Samia sululu na Mramba na Yona Mbona naona ni Mchanganyiko wa mafisadi na Waislam wakiwemo mafisadi wa Kiislam na kikristo.
Lipumba ni MUISLAM safi. hawezi changamana na fisadi LOWASA.
wakati mwenyekiti mwenza wa ukawa james mbatia akiudanganya umma kwamba mwenyekiti wa cuf prof. Ibrahim lipumba anashughulikia kesi yake mahakamani na huenda ndio sababu ya kutohudhuria mkutano wa leo, imebainika tayari lipumba hayupo tena cuf.
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya chama hicho zinasema, lipumba amekusanya kila kitu kinachomuhusu kwenye ofisi za chama hicho na kuondoka. Inaelezwa, wakati anaondoka lipumba alitoa maneno makali dhidi ya katibu mkuu wa cuf maalim seif na kumuita mhuni huku akisisitiza hawezi kufanya nae kazi.
Taarifa zaidi zinasema, lipumba anatarajia kuzungumza na waandishi wa habari wakati wowote kuanzia sasa kuelezea sakata hilo.
Ni uongo maana katibu kasema hajapokea barua na alikuwa nae hadi saa nne usiku. Ni majungu tu.